Hivi wazee wa Kihaya wana mtazamo gani kuhusu hawa mabinti

Ukikuta Dada anayetoka Bukoba mjini au Bukoba vijijini anajiuza nitfute nitakupa zawadi
Wako wengi, Kuna rafiki yangu alioa hapo bukoba mjini Maeneo ya karibu na Omumwani sec sijui ndo wanaita Nshambya. Waliachana na mkewe na by now yuko dar anauza hiyo kitu. Si kwa kuhadithiwa ni present and confirmed.
 
Wako wengi, Kuna rafiki yangu alioa hapo bukoba mjini Maeneo ya karibu na Omumwani sec sijui ndo wanaita Nshambya. Waliachana na mkewe na by now yuko dar anauza hiyo kitu. Si kwa kuhadithiwa ni present and confirmed.
Mabinti wakihaya kufanya biashara ya ngono wanafanya kama walivyo makabila mengine hata sio big issue sema wengi wanaojiuza kwa kigezo cha uhaya ni uongo.Niliwahi kwenda mitaa ya Sudan(Temeke) na Mwananyamala ambako wanasema ni machimbo ya wahaya lakini huwezi amini namba nzuri ni wanyambo(Mnyambo akiongea kama wewe sio mhaya utasema ni mhaya)
 
Huo ndio ukweli, mimi nimezunguka Maeneo mengi ya nchi hii. Umalaya upo Kila sehemu, sasa hivi Kila sehemu yenye kasenta kanakochangamka hawakosi wauzaji. Kila Mji utakuta una chimbo la wauzaji na siyo wahaya. Sema wahaya kinachowabrand ni mfumo wao wa biashara wa kuweka permanent place na kuongea sana lugha ya nyumbani. Ila wauzaji ni wengi nchi hii ila hawatambuliki kwasababu wanatumia zaidi kiswahili. Mtafiti ajitahidi kupanua research area aende hata mikoa 10 aone wanaouza huko ni makabila Gani. Kwa mfano aende Mwanza, Dodoma, Arusha,Tanga, Mara, Singida, Mbeya, Songwe, na Mtwara afu alete majibu.
 
Research yake inachangamoto nyingi kwa maana huenda hajui kutambua uhusiano uliopo wa karibu kati ya kihaya,kinyambo au kisubi ikiwekazana ongeza kikiga na kinyakole(kama ametumia kigezo cha lugha kubaini hao malaya).Hizo lugha zote nimekutajia hapo watu wake wanasikilizana na kama wewe sio sehemu ya hizo jamii ni rahisi kuwaweka kundi moja.

Kujiuza binti wa kihaya sikatai(Kahama kuna sehemu moja inaitwa Bijampora huwa wanasema ni chimbo la wahaya lakini ukienda pale malaya wa pale sio wahaya sema tu labda kwasababu ya matumizi ya neno Bijampora(huenda aliyekuwa anamiliki sehemu hiyo alikuwa mhaya)).Kumbuka anayejiuza ni mtu sio kabila(kwahiyo inawezekana sana kupata malaya kutoka kabila la wahaya)
 
Hao wanyayangiro ni jamii au kabila gani?
Tunajua mna matabaka, Sasa wale wa pale bukoba mjini wanaitwaje?
Wanyayangiro ni wahaya wenyeji wa Muleba kusini sema itakuwa alichanganya matamshi yao maana ukiwasikiliza wana matamshi yao sio kama wahaya wengine kama ilivyo kwa waziba(wenyeji wa Misenyi nadhani kwa sasa maana zamani ilikuwa ni sehemu ya Bukoba vijijini)
 
Kwa hiyo ni wahaya kama ilivyo kwenye mgawanyo wa wachaga na Wasukuma.

Kwa hiyo jamii ipo sahihi kusema ni wahaya hivyo kuhusu jamii gani wao wenyewe ndio watajua.
 
Kwa hiyo ni wahaya kama ilivyo kwenye mgawanyo wa wachaga na Wasukuma.

Kwa hiyo jamii ipo sahihi kusema ni wahaya hivyo kuhusu jamii gani wao wenyewe ndio watajua.
Hii ya kujiuza ni kesi nyingine kabisa kiongozi.Kuna kipindi nilipata kukaa huko wanakosema wanajiuza na story zilikuwa hivyo sema nikasema ngoja nikathibitishe lakini namba nzuri nliowasikia ni wanyambo(ambao sio sehemu ya wahaya japo lugha yao ni kama kihaya)

Kuweka sawa,wahaya hawana matabaka sema nachojua kuna koo.Mfano,Abasimba,abayango,abahiyuzi,abasita,abayozi,abahinda nakuendelea.
Matabaka yanakuja kwenye misingi ya watu wa koo fulani kujiona bora labda kwa wengine lakini hakuna matabaka ambayo yako defined kwenye kabila la wahaya

Kujiuza ni jambo la mtu wala sio kabila.Kwa mfano nikisema Wagogo ni omba omba nitakuwa sawa eti kisa Dodoma kuna ombaomba wengi
 
Mh
 
Wahaya kwa asili ni Malaya. Ukioa mwanamke wa kihaya anaweza kuwa mwaminifu kabisa ila siku ukimvuruga kisasi chake lazima akagawe utamu nje ndo msameheane! Kifupi simshauri mtu kuoa Muhaya japo mi nishajichanganya tayari!
kila mtu na tabia yake mkuu kwani hujawai kuona mrangi ambaye siyo malaya
 
Wewe ndiye umeingia chocho. Amesema Prof Mukandala siyo Mkenda.

Hebu rejea kuangalia hapa chini kuona originally aliandika je?



Kwa hIyo aliyeingia chaka ni mimi au wewe?

Itoshe kusema umeuonyesha ujuha wa kitanzania uliotamalaki vilivyo.

Looh!
 
Hakuna kabila la waziba, hakuna kabila la wanyaiyangiro. Rudi kusoma upya historia ya mkoa wetu. Kagera makabila yapo manne wahaya, bukoba, misenyi na muleba, wanyambo karagwe na kyerwa, wasubi biharamuro na wahanganza ngara. Hayo makabila ya waziba na wanyaiyangiro unayatoa wapi Mzee?.
 
Hajui kitu huyu nilikuwa namuona kwenye profile kaandika Dk Haya nikajua doctor wa uhakika ila bado. Kama analeta hizi chiefdom kama iyangiro na waziba, atakuja asemekuwa ni makabila baada ya kusema matabaka ya kiutawala, bado anatakiwa kujifunza upya historia ya mkoa wetu.

Atakuja kusema wayamba pale kamachumu ni kabila, atasema wahyoza pale bukoba town ni kabila, nk.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…