Hivi Wazee wetu wa kuanzia Miaka ya 70 hawa Mabinti wa 20's na 30's Mnaowaoa na Kuzaa nao huwa hampigiwi na hambambikiwi Watoto kweli?

Mkuu una ugomvi na Professor Kapuya?[emoji1787][emoji1787]

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Wazee wana msemo wao "KITANDA HAKIZAI HARAMU".

KWAHYO WANAMESHAKUBALIANA NA LOLOTE.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Vijana tuu ndio wanamindi vitu vya kijinga kama kuchapiwa demu/mke wako. Mbususu yenyewe uzuri hainaga makombo
 
UGANDA!!! mzee wa miaka 110 amuua mkewe mwenye miaka 109 kwa kumnyima unyumba!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…