Hivi Waziri Mkuu Kassim Majaliwa anaweza kuonesha chochote cha kujivunia kwa kipindi ana mamlaka haya? Anayekiona atuoneshe!

Jamani hata mumpige majungu vipi, hamuwezi kumharibia kwa wananchi. Aisee tunampenda sana PM wetu. Katika utawala huu, huyu tu ndiye tunamuelewa.
Nani kampiga majungu? Sema katika utawala huu yeye ndiye Sukuma gang
 
Fitna kwa Kassim Majaliwa zimeanza baada ya yeye kukaa kimya kwenye hili sakata la kuuza bandari.

Mnamchukia kwa sababu amegoma kushirikiana na nyinyi wezi, mashetani msiowajali watanzania. Tunasimama na Waziri Mkuu wetu dhidi yenu!

SAMIA ATUPISHE!
Wewe ni Sukuma gang
 
Nini kazi ya Waziri Mkuu katika Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ?

Kama mambo yanakwenda mrama hakuna sababu ya kutoa lawama kwa mafungu ulaumiwe uongozi mzima especially the head....
 
Pamoja na yote huyo mzee anao uvumilivu mkubwa sana.

Maana amedharaulika kwa Muda mrefu Toka kwa maboss wake na waliochini yake.

Still ametulia tu Wala Hana tabu nao mzee wa watu.

Mpaka kufika hapo ni mafanikio makubwa sana Ukizingatia hakuwa na godfather yeyote.

Maadui zake ni wenye magodfather.

Mi ushauri kwake kama kijana mzee ukimakiza muda wako Wala usihaingaike na mishe za urais sijui Nini we chili kwako Fanya Yako kama una biashara zako basi jikite huko maana watoto wa magodfather hawakupendi watataka vita wewe.

Tayari ni PM historia ya nchi haiwezi kusahau.maisha yanataka Nini zaidi!?
 
Majaliwa yuko sawa, Sa100 ndio anamnyongony'eza...kila akitaka kudili na mafisadi Mama anamshika mikono aache.
 
Fitna kwa Kassim Majaliwa zimeanza baada ya yeye kukaa kimya kwenye hili sakata la kuuza bandari.

Mnamchukia kwa sababu amegoma kushirikiana na nyinyi wezi, mashetani msiowajali watanzania. Tunasimama na Waziri Mkuu wetu dhidi yenu!

SAMIA ATUPISHE!
Mi namwomba akae kimya Wala asifungue mdomo wake

Hata VP nae naona Yuko kimya wake kimya tu waache wahuni wajitetee
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unakuta kuna watu wanakuheshimu
 
Heshima kwako mkuu.....unasemaje kuhusu PM kukaa kimya kwenye bandari ......?
 
Mm huyu jamaa namkubali mno mno Basi tu anahujumiwa ndani ya serkali na Kuna tetesi Simba chawene akawa waziri mkuu
 
Kwa hiyo Vijana wameacha pombe Kwa Sasa? Mbona kuna pombe Kali kuliko virona za kupima Kwa 500 tu?
 
Nini PM, jee umemsikia mwanasheria yeyote pro government aki comments?. Maadam hili analisimamia Maza mwenyewe, sio vyema kila mtu ku comment.
P
Wanasheria ni wazee wa fursa yoyote we twende. This time wako kimya.

Inawezekana wahafidhina wa chama, serikali na mitaa hawajalipenda hili swala.

Anyway ngoja tuone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…