antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 47,274
- 126,778
Baada ya kuteka, kujeruhi vibaya na kutelekeza msituni, na kusweka ndani mwingine!Kupita bila kupingwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baada ya kuteka, kujeruhi vibaya na kutelekeza msituni, na kusweka ndani mwingine!Kupita bila kupingwa
Nitamkumbuka waziri mkuu Lowasa kwa kuhimiza serikali kujenga shule za kata nchi nzimaTuonyeshe cha kwako kwanza!
Nani kampiga majungu? Sema katika utawala huu yeye ndiye Sukuma gangJamani hata mumpige majungu vipi, hamuwezi kumharibia kwa wananchi. Aisee tunampenda sana PM wetu. Katika utawala huu, huyu tu ndiye tunamuelewa.
Vp kuhusu JiweKwa kua boss wake ni incompetent ameona asimu outshine.
Wewe ni Sukuma gangFitna kwa Kassim Majaliwa zimeanza baada ya yeye kukaa kimya kwenye hili sakata la kuuza bandari.
Mnamchukia kwa sababu amegoma kushirikiana na nyinyi wezi, mashetani msiowajali watanzania. Tunasimama na Waziri Mkuu wetu dhidi yenu!
SAMIA ATUPISHE!
Punguza wivu, husda, roho mbaya, uchoyo ni stress zinakufnya utukane watu ovyo kosa la mtoa mada ni nn kauliza mjibu,Pumbavu mkubwa fisadi malaya
Mi namwomba akae kimya Wala asifungue mdomo wakeFitna kwa Kassim Majaliwa zimeanza baada ya yeye kukaa kimya kwenye hili sakata la kuuza bandari.
Mnamchukia kwa sababu amegoma kushirikiana na nyinyi wezi, mashetani msiowajali watanzania. Tunasimama na Waziri Mkuu wetu dhidi yenu!
SAMIA ATUPISHE!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ngoja nikusaidie kukumbusha alichokifanya. Wakati serikali ya awamu ya tano inaingia madarakani ilikuta vijana wengi wanateketea kwa unywaji wa viroba, na ni PM majaliwa ndio aliyepiga marufuku ya utengenezwaji wa vile viroba. Hii ni kazi kubwa sana aliyoifanya ya kuokoa maisha ya watu.
Heshima kwako mkuu.....unasemaje kuhusu PM kukaa kimya kwenye bandari ......?Uendeshaji wa nchi yetu ni kwa a collective responsibility, na sio kwa individual initiatives, anayefanya kila kitu ni Mkuu wa nchi, Rais wa JMT, hivyo kila kinachofanywa na wasaidizi wa rais, wanafanya kwa niaba ya rais, hivyo credits, sifa na utukufu ni kwake tuu, rais wa JMT na sio kwa watendaji individual.
P
Yaani hata Sumaye anabeba Kombe mbele ya Diblo.Katika Mawaziri Wakuu wote wa JMT , yeye ndiye mwenye uwezo mdogo sana!
Kwa hiyo Vijana wameacha pombe Kwa Sasa? Mbona kuna pombe Kali kuliko virona za kupima Kwa 500 tu?Ngoja nikusaidie kukumbusha alichokifanya. Wakati serikali ya awamu ya tano inaingia madarakani ilikuta vijana wengi wanateketea kwa unywaji wa viroba, na ni PM majaliwa ndio aliyepiga marufuku ya utengenezwaji wa vile viroba. Hii ni kazi kubwa sana aliyoifanya ya kuokoa maisha ya watu.
Nini PM, jee umemsikia mwanasheria yeyote pro government aki comments?. Maadam hili analisimamia Maza mwenyewe, sio vyema kila mtu ku comment.Heshima kwako mkuu.....unasemaje kuhusu PM kukaa kimya kwenye bandari ......?
Wanasheria ni wazee wa fursa yoyote we twende. This time wako kimya.Nini PM, jee umemsikia mwanasheria yeyote pro government aki comments?. Maadam hili analisimamia Maza mwenyewe, sio vyema kila mtu ku comment.
P