Hivi wazungu hawawezi kutengeneza movies/ series bila gay scenes?

my name is my name

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2015
Posts
2,016
Reaction score
2,397
Movies zao karibia zote lazima ziwe na characters ambao ni gays. Nlikuwa nangalia Bridgerton, nmeangalia mpk episode ya 3 sijaona scenes zenye hyo mambo mpk nkajisemea wamejtahidi kweli πŸ˜‚

Hee kufika episode ya 4 wameonyesha gays km kawaida yao. Halafu scene yenyewe ina km sekunde 5 tu hta wasingeweka kisingeharibika kitu.

Tena km netflix ndo lazma ziwepo scenes km hzo. Mfano kwnye tamthilia ya elite wamemfanya mtoto wa kiume wa kiarabu ambae anatokea familia ya islam kua gay. Halafu dada yke akawa na uhusiano na mwanaume mkristo.

Hivi wazungu hawawezi kutengeneza movies bila kuwa na homosexuality?
 
Movies zao karibia zote lazima ziwe na characters ambao ni gays. Nlikuwa nangalia Bridgerton, nmeangalia mpk episode ya 3 sijaona scenes zenye hyo mambo mpk nkajisemea wamejtahidi kweli πŸ˜‚

Wenzako wanafanya misheni kwa malengo; hapa Bongo sanasana ni kutafuta chakula mezani. Gayism, homosexuality, is part of the religion --- New World Order, Satanism, Luciferianism, Spiritualism, Superstition, and so forth. Ni kama baadhi huku kwetu, nyimbo mpaka waimbe matusi na kudansi uchi ndipo maprodyuza wa kuzimuni waridhie kuzipeleka sokoni.
 
Mkuu umezaliwa lini.
Hebu nambie movies kama war bus ,,predator,, terminator,delta force.,commando.

Kuna dalili ya scene za ushoga?

Tatizo directors wengi wa sasa wanakwenda na dunia inavyotaka.

Ila zipo movies nyingi za kibabe ambazo huoni hata dalili za ushoga ndani yake...
 
Duh inawezekana kweli wko kwenye malengo yao
 
Hzo ulizotaja zpo kama za ngumi mimi sipendi muvi za ngumi na kupigana
 
Hata bongo new world order freemason wapo nyuma ya tamthilia au movies hizi wametageti kuharibu ndoa kubomoa familia, jiulize why wanawake wote wanaonyesha wakiwafokea wananume zao,wakikosa heshima kwa waume zao,wakiwadharau waume zao,hakuna heshima Hakuna ndoa.

Lengo kuu la tamthilia hizi ni Ili mwanamke aige ajifunze ukosefu wa heshima.
Mfano halisi check tamthilia ya HUBA mcheki kibibi ni ajenda ya shetani nyuma yake.
Ni rahisi kwa mwanamke kucopy chochote kama kilivyo kwenye tamthilia yeyeto na kukipaste kwenye ndoa yake maana wengi elimu ya mambo ya kiroho hawana.

Nani wateja wakuu au ukaa mda mwingi kuangalia hizi tamthilia ni wanawake na watoto na hapa ndipo shetani anataka.
Gaysim ni kwa sababu ya maadili yetu na sheria zetu thus wanaogopa lakini hawashindwi wabongo.
 
Who controls the world in the one control the future
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…