Hivi wazungu hawawezi kutengeneza movies/ series bila gay scenes?

Hivi wazungu hawawezi kutengeneza movies/ series bila gay scenes?

Hizo ni kampeni za watu wanaotaka jamii zetu ziamin ushogo na usagaji ni jambo la kawaida
 
Zaman enzi za ITV na ABN mnakaa za baba na mama mnaangalia MUVI. Yakikaribia yale mambo ya kudendeka ITV wanaweka Tangazo. Sasa izi season za sasa huwezi amini hadi za kikorea zipo za kulana kisamvu mwa mwi. Asee muvi za kukaa sisi na watoto wetu kuziangalia kwa pamoja hazipo sokoni. Watoto wetu wataharibika sana.
 
Movies zao karibia zote lazima ziwe na characters ambao ni gays. Nlikuwa nangalia Bridgerton, nmeangalia mpk episode ya 3 sijaona scenes zenye hyo mambo mpk nkajisemea wamejtahidi kweli 😂
Kwa utamaduni wa magharibi,gayism ni kitu kinachokubalika,na Hawa gays,kama zilivyo jamii zingine zinazobaguliwa,huitaji kupata watetezi kwenye jamii,Ili waonekane ni wakawaida,

Kuna muvies wanatumia disabled people kwenye nafasi ambazo zinaweza kukushangsza,leo ni kuwapa nafasi na wao waonekane wanaweza,wasitengwe na jsmii
 
Nikweli movie na series mpya na za kisasa zinajaa ushoga ndani either gay au lesbian hii ni mbinu ya kuaminisha dunia kwamba ni jambo la kawaida haswa media za wazungu especially wamerekani wanaeneza sana ushiga na agenda zao binafsi kwenye movie, series kama vile tyrant, empire, elite, legacie, rome na nyingine nyingi sana
 
Huu mchezo uko kwenye series kwa sana, hata zile series zilizokuwa hazina haya mambo wakija kutoa season mpya wanaweka. Mfano ni power, mwanzoni ilikuwa na mikasi ya kawaida tuu, lakn walipokuja kutoa Power book 2 yaani ushoga wa kutosha.
 
Nikweli movie na series mpya na za kisasa zinajaa ushoga ndani either gay au lesbian hii ni mbinu ya kuaminisha dunia kwamba ni jambo la kawaida haswa media za wazungu especially wamerekani wanaeneza sana ushiga na agenda zao binafsi kwenye movie, series kama vile tyrant, empire, elite, legacie, rome na nyingine nyingi sana
Hata makampuni makubwa sasahivi duniani yanabadilisha rangi za logo zao kuwa kama ile bendera ya LGBT. Inatumika nguvu kubwa sana kuuaminisha ulimwengu kuwa ushoga ni kitu cha kawaida

Tunakoelekea ni hatari sana
 
Anaecotrol media ndie anaecotrol mind za watu na kuishape dunia atakapo
 
Movies zao karibia zote lazima ziwe na characters ambao ni gays. Nlikuwa nangalia Bridgerton, nmeangalia mpk episode ya 3 sijaona scenes zenye hyo mambo mpk nkajisemea wamejtahidi kweli 😂

Hee kufika episode ya 4 wameonyesha gays km kawaida yao. Halafu scene yenyewe ina km sekunde 5 tu hta wasingeweka kisingeharibika kitu.

Tena km netflix ndo lazma ziwepo scenes km hzo. Mfano kwnye tamthilia ya elite wamemfanya mtoto wa kiume wa kiarabu ambae anatokea familia ya islam kua gay. Halafu dada yke akawa na uhusiano na mwanaume mkristo.

Hivi wazungu hawawezi kutengeneza movies bila kuwa na homosexuality?
Dah Mbona umechelewa kubaini gay na lasb takriban movie zote na series zote hivi sasa wanatufanyia hivyo hii ni kampeni maalum wanajaribu kuifanyia duniani ili jambo lionekane lakawaida kabisa leo huoni Dunia ilivyoharibika waimbaji, wana michezo ,malaya ndio wanaonekana ndio wastarabu na ndio wanamitindo wakubwa ktk dunia wkt hata hawakusoma hawajui lolote lkn wanaonekana na wanaheshimiwa nini wamefanya ktk dunia au kuvumbua kitu ni Zero.Sasa wanatupeka huko ktk upumbavu.
 
Wanakuwa pressurised na hao magay kuweka hizo scene, maana wao gays wanalalamika ni ubaguzi kuwa kama mnaeka watu straight wanafanya mapenzi, kwanini msiweke na gays
 
Movies zao karibia zote lazima ziwe na characters ambao ni gays. Nlikuwa nangalia Bridgerton, nmeangalia mpk episode ya 3 sijaona scenes zenye hyo mambo mpk nkajisemea wamejtahidi kweli 😂

Hee kufika episode ya 4 wameonyesha gays km kawaida yao. Halafu scene yenyewe ina km sekunde 5 tu hta wasingeweka kisingeharibika kitu.

Tena km netflix ndo lazma ziwepo scenes km hzo. Mfano kwnye tamthilia ya elite wamemfanya mtoto wa kiume wa kiarabu ambae anatokea familia ya islam kua gay. Halafu dada yke akawa na uhusiano na mwanaume mkristo.

Hivi wazungu hawawezi kutengeneza movies bila kuwa na homosexuality?
FILM FUNDING COMPANIES WANATOA CONDITIONS ZAO. ILI WAWEKE MTONYO
 
Kama wafilipino tamthiliya zao ambazo dada zetu wanazipenda kuangalia, michicha haikosekani hata kidogo...
 
Marekani serikali inachangia kwa kiasi flani kwenye uzalishaji wa movies....pia wizara husika hua inatoa vibali kulingana na aina ya maudhui ya movie unayotoa

Kuna series nyiingi sana kama Forever na No ordinary family zimesitishwa kisa tu hazijameet maudhui yanayotakiwa(hasa wakijua movie inapendwa)

Marekan na ufilipino ni lazima maudhui ya ushoga yawepo ili support ya serikali...!!
 
Back
Top Bottom