Hivi wazungu hawawezi kutengeneza movies/ series bila gay scenes?

Ipo genre kwenye movies inaitwa FAMILY. Angalia hizo mkuu na familia yako.

Au angalia animations. Hazina mambo ya ushoga na adult scenes. Zinafaa kuangalia na familia yako.

Movies kama; UP, WRECK IT RALPH, COCO, BABY BOSS, LUKA, THE INCREDIBLES, HOTEL TRANSVANNIA, etc.

Zipo series za familia mfano KYLE XY , na YOUNG SHELDON. Hutojutia, hazina ushoga wala nudity scenes.
 
Hamia za kichina, huku ni mkono na kupaaa tu...
Tafuta ya kichina inaitwa inaitwa "Frozen Flower" mfalme gay anayapakuliwa na mlinzi wake, akamruhusu amle mkewe ili wapate mtoto, jamaa kanogewa.
 
Hamia za kichina, huku ni mkono na kupaaa tu...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Dah nimechekaaaa
 
Mpango maalum
 
Wakati mwingine chuki yangu kwa Taliban inapungua ninapowakumbuka HAO JAMAA.....
 
Exquisite 👊
 
Mleta uzi hajasapoti comment yoyote inayomuelekeza movie zisizo na gayism
 
Tafuta ya kichina inaitwa inaitwa "Frozen Flower" mfalme gay anayapakuliwa na mlinzi wake, akamruhusu amle mkewe ili wapate mtoto, jamaa kanogewa.

Yaani nitafute movie ili nione tu namna mwanaume anavyopakuliwa samvu...yuck!!!!
 
Lengo la lucifa kutumia movie hizo ni kuipandikiza roho ya ushoga kwa vijana waone kitu cha kawaida.
TB Joshua alikuwa anatibu ushoga wakamuua.
Hakuna dhambi inayomfurahisha shetani kama ushoga baada ya kuyaachilia mapepo ya ushoga duniani yawaingie wanadamu.
 
Tena wanaharakati wakikusoma hapa watakuangukia kama nyuki. LGBTQ ni suala kama uonavyo mambo ya gender(jinsia). Wenzako wanaamini hao ni binadamu, ni kundi lililobaguliwa kwa muda mrefu. Kwahiyo, hicho unachokiona ni sehemu ya kampeni kama unavyoona kwa wanawake. Kuwa na wabunge, mawaziri, walimu n.k toka kundi hilo ili kuleta usawa kwa binadamu wote. Kwahiyo,hapo jamii inazoeshwa, watoto wakiwaona humo kwa movie, hawawezi kuja kuwashangaa mtaani. Na wao wakijisikia wanaunga mkono hoja.

So, kama hutaki vitu hivyo kwako na jamii yako, fikiria mara mbili namna ya kuvitazama.
 
Au zawakorea wanaruka ruka tu na mashuka yao wanapigana mapanga
Wakorea wanazo mbona Mkuu tena mfalme ndio gay na anapelekewa moto wakutosha, hio series inaitwa Prince kama sikosei ila uyo dogo mfalme alikufa akiwa na uyo jamaa general aliyekuwa anamjegeja alafu walivyo wahuni wanakwambia ameenda kwenye dream world yake akiedesha farasi akiwa na uyo general mjegenyaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…