Nakadori
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 8,778
- 21,010
Wana wa Tanzania amani iwe kwenu.
Me Leo wala sina mambo mengi .....natamani tu kujua wale wenzangu mnaowapanga wanawake au wanaume zaidi ya mmoja, wawili au watatu au zaidi mnawezaje? Me ningekamatwa day 1 kwakweli.
Yule shost angu aliyetulizwa kimazabe mazabe ndo ilikuwa zake.... yule hata 10 walikuwa wanafika. Unaweza kuta mmeenda kwenye mishe flani mnachukua Lodge unashangaa tu anakwambia G me Leo sitalala hapa nna mtu wangu nshampanga.... nabaki nashangaa mtu gani huyu kila mahali ana wa kumlala ....?
Ngoja nimuite Carlos The Jackal mtaalam kabisa atupatie uzoefu wake...inakuwaje kuwaje hawakamatwii?
Updates baada ya kusoma comments
Carlos The Jackal ni bingwa wa kupanga wanawake
Kifupi ana nyota zake za kutosha na moto wake maalumu peponi.