Hivi wenzetu mnaowapanga wanaume au wanawake huwa mnawezaje

Hivi wenzetu mnaowapanga wanaume au wanawake huwa mnawezaje

Wana wa Tanzania amani iwe kwenu.
Me Leo wala sina mambo mengi .....natamani tu kujua wale wenzangu mnaowapanga wanawake au wanaume zaidi ya mmoja, wawili au watatu au zaidi mnawezaje??
Me ningekamatwa day 1 kwakweli.

Yule shost angu aliyetulizwa kimazabe mazabe ndo ilikuwa zake.... yule hata 10 walikuwa wanafika. Unaweza kuta mmeenda kwenye mishe flani mnachukua Lodge unashangaa tu anakwambia G me Leo sitalala hapa nna mtu wangu nshampanga.... nabaki nashangaa mtu gani huyu kila mahali ana wa kumlala ....?

Ngoja nimuite Carlos The Jackal mtaalam kabisa atupatie uzoefu wake...inakuwaje kuwaje hawakamatwii?

View attachment 2557599
😀😀😀😀😀ni kipaji
 
Ndo nataka kujua inakuwaje hawakamatwii?
Utamkamata vipi mtu ambaye ni tabia yake, jichunguze wewe kama siyo muongo ukijaribu kusema uongo unajishtukia mwenyewe.

Lakini Sasa matapeli yenyewe kuongopa wala hayapati shida wakavuu.

Unakuta jitu liongo linamwambia demu akaguwe apartment mikocheni akiipenda ampangie wakati hiyo pesa hana, au unakutana na matapeli wa Ccm wanakuahidi lami mpaka kilele cha mlima Kilimanjaro.
 
Utamkamata vipi mtu ambaye ni tabia yake, jichunguze wewe kama siyo muongo ukijaribu kusema uongo unajishtukia mwenyewe.

Lakini Sasa matapeli yenyewe kuongopa wala hayapati shida wakavuu.

Unakuta kitu liongo linamwambia demu akaguwe apartment mikocheni akiipenda ampangie wakati hiyo pesa hana, au unakutana na matapeli wa Ccm wanakuahidi lami mpaka kilele cha mlima Kilimanjaro.
Hahahah dr katika ubora wako
 
Wana wa Tanzania amani iwe kwenu.
Me Leo wala sina mambo mengi .....natamani tu kujua wale wenzangu mnaowapanga wanawake au wanaume zaidi ya mmoja, wawili au watatu au zaidi mnawezaje??
Me ningekamatwa day 1 kwakweli.

Yule shost angu aliyetulizwa kimazabe mazabe ndo ilikuwa zake.... yule hata 10 walikuwa wanafika. Unaweza kuta mmeenda kwenye mishe flani mnachukua Lodge unashangaa tu anakwambia G me Leo sitalala hapa nna mtu wangu nshampanga.... nabaki nashangaa mtu gani huyu kila mahali ana wa kumlala ....?

Ngoja nimuite Carlos The Jackal mtaalam kabisa atupatie uzoefu wake...inakuwaje kuwaje hawakamatwii?

View attachment 2557599
Wazoefu wa mjini hawashindwi kuuza kiwanja kimoja kwa watu 8 tofauti.

Mjini shule!!
 
Watu makomandoo naka, 🤣 watu 7 hamjuani na kila mmoja anajiona yeye ndio alfa na omega,
ila kuna baadhi ya wanaume huwa tunajua, ila tunachukulia easy kikubwa utelezi unapatikana.. unajua kabisa hapa kuna ima,peter n.k lakini mtu unapuuzia, huchukulii serious.

Umalaya ni tabia ya mtu naka,
 
Hahahaha
Na nyie mnafanyeje wasijuane?
 
Kwanza, Simu yangu Ina Password kwenye contact, Calls, msg, gallery na pia Nina App zangu za kuficha Baadhi ya Taarifa.

Pili, Ukiwa na wengi kama wee ni mwanaume lazima Ujiamin, úsiwe na woga au wasiwasi wa kukamatwa n.k.

Tatu, Lazima uwe umeshatengeneza mazingira Kwa Wife ya yeye kujua unaopendwa na Wanawake wengine huko mtaani ila huwataki,unamtaka wife wako tuu .

Nne, Ongea na simu au chat Kwa kujiamin hata kama mko na Wife, ukipigiwa simu na Mchepuko, wee pokea tu alafu Lopokaa "Nambieee Mpenzi wangu , wee unapiga simu muda Huu Niko na Mkalia Moyo wangu je huogopi Mwenye Mali kukupiga finboo??. Alafu chekaa chekaaaa ... hapo mchepuko atajiongeza , mtapiga Stori zingine na Hata ukikata Simu, Wife atajua ni masihara akitaka kujua zaidi ,unazugaa, Aaahhh Kadada fulan ka kazin huko kana visaaaaaa akooo!!

Tano, Hakikisha Michepuko yako inajua wee ni Mume wa mtu ,yaan akupe mbususu akijua huwezi kumuoa na kwamba wee ni Mume wa mtu.

Sita, Hakikisha unamjali sana Mkeo, na familia, yaaan wasipungukiwe kitu, hakikisha hakikisha hata shooo unampa ya maana mkeo , msifie sana Mkeo ,wakati unamla unamwambia yaan Wife kiukweli Toka nizaliwe sikuwah kutana na utamu huuu ,umenifanya Wanawake wengine ni waone kama wanaume wenzangu, Sina hamu nao hataaaaa !!.

Kwa ufupi, mambo mengi nishayaeleza humu kupitia nyuzi zangu, naweza kuhitimisha Kwa kusema
👉kua Alpha Male !!
👉Mfanye Mkeo / michepuko wawe watumwa wako KIHISIA !!.
👉Jua wajibu na majukumu yako kama Kichwa Cha familia, na kama Bwana wa michepuko.
 
Back
Top Bottom