Hivi wewe mwanamke (modern woman) unapata wapi nguvu ya kumuita mwanamke mwenzako malaya au hajatulia

Hivi wewe mwanamke (modern woman) unapata wapi nguvu ya kumuita mwanamke mwenzako malaya au hajatulia

Najua fika wanajichosha tena mwenzao unawasoma huku una glass ya téquila huna habareeee.!! 😹😹
Naongeza uzito leo niko huku
1000004229.jpg
 
Unanitamanisha ujue 😂😂😂
Ngoja nifanye jambo nilikuwa sina ratiba ya kutoka
🤣🤣🤣unapenda kuzurura tu na wewe si umtume boda akuletee chupa kiasi upendacho au mpaka ukaoshe macho huko kwenye maeneo elekezi.....uzuri wa kunywa home unapata na muda wa kulala halafu ukiamka unaendelea😁
 
Unajijua mwenyewe na chuki zako juu ya wanawake...you will die lonely...bye
Sina chuki juu ya wanawake huwa napenda kusema kweli kuhusu wanawake. Kitu ambacho wanawake hamtaki kusikia
 
Kwa mwanamke mapenzi ni biashara, tatizo ukishafanya nae iyo biashara halafu akajitokeza client mwingine hapo ndipo shida inaanzia, anaanza kumwita client mwenzake malaya wakati kimsingi format ile ile ambayo imetumika kumpata na ku-maintain mahusiano ndio itayotumika kwa uyo client mwingine anayemuita malaya.
Umesema vyema
 
Kila mtu inawezekana ni malaya ila kiwango sasa,
uyo dada wakisure inawezekana ni malaya kweli lakini kuna matendo ya kimalaya anayafanya mwenzake ni makubwa mpaka yanastua.
 
Back
Top Bottom