Hivi yale majini yakike yaliyokuwa yanapenda wanaume yameishia wapi?

[emoji23][emoji23][emoji23]story hizi na mimi nimezikuta nakumbuka ni Mashujaa primary (Sahivi imekuwa secondary) wanafunzi wanasikia haruf ya pilau, mara vibwengo vifupi eti ukikutana navyo vinauliza mimi na baba yako nani mrefu ukisema baba yako vinakuchapa bakora[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ila aya maisha watanzania tumeanza kupigwa kitambo
 
Majini hayo siku hizi yote yanadanga huko ujinini
[emoji1787][emoji23][emoji23]yalikuwa majini wadangaji maana story za magazetini zilikuwa zinasema eti mchumba wa jini(binadam) alivyopelekwa ujinini ikatokea migogoro kati ya binti jini na ndugu zake kwanini analeta binadam mara wakapigania bwana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ila Shigongo[emoji1487]
 
Punyeto na vilainishi vilifika kabla ya putin na ccm.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…