Hivi yale majini yakike yaliyokuwa yanapenda wanaume yameishia wapi?

Mcheki mwamba mmoja wa kuitwa Arsis alisema analo moja ni pisi ila lenyewe ni swala tano ni rafiki yake.
 
Nayataka yanipende mimi, hivi viumbe vyakike vimeshanichosha vimebakiza kuninyang'anya uhai tu!.
Heri yale majini yanamapenzi ya dhati nijipatie moja niitulize nafsi kwa anaelijua lolote anikonekti nalo, life la mapenzi na hawa watoto wa eva it's too miserable!, at any time, any where you can loose your soul!, they are very dramatic and confused!.
Huna mvuto mkuu!! Wale wanachagua binaadamu wanaovutia kimwili na kiroho pia hawaokotezi tu kama wanavyofanya wakazi wa tabata
 
unanitusi ushawahi kuniona..?
mimi handsome
 
Sasa maana ya u handsome unafikiri unaishia kwenye sura tu..??
ukishaitwa handsome inamaana utanashati,muonekano, unadhifi wa uongeaji n.k

Wewe unasema hivyo na mimi kama mwanamke nakwambia haya, unaweza kuwa mrembo wa kiume na usivutie mwanamke kihisia za mapenzi
 
Utajua mwenyewe sasa mimi ndo nataka jini sasa!
 
You may be right, with these daughters of Eve you may loose your soul. But as for Majini, are you really prepared to sell your soul to the Devil himself? I do not think it's a better alternative to your predicament.
Muhimu aache mzaha, kuna mambo si ya masihara hata kidogo.
Huu uzi aliouandika ni heavy sana kiroho.
 
Nayataka yanipende mimi, hivi viumbe vyakike vimeshanichosha vimebakiza kuninyang'anya uhai tu!.
Heri yale majini yanamapenzi ya dhati nijipatie moja niitulize nafsi kwa anaelijua lolote anikonekti nalo, life la mapenzi na hawa watoto wa eva it's too miserable!, at any time, any where you can loose your soul!, they are very dramatic and confused!.
Una bei gani nikukodishe matatu
 
Jamaa umeshiba makande ya nn leo?
 
Kweli kila mtu atachanganyikiwa kwa wakati wake, na sasa ni zamu ya Komwe.
Poleee sanaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom