Hivi yale majini yakike yaliyokuwa yanapenda wanaume yameishia wapi?

Nasikia ukiliambia libadilike liwe rihanna au beyonce
Chap tu li najibadilisha unakula mzigo!
 
Kweli kila mtu atachanganyikiwa kwa wakati wake, na sasa ni zamu ya Komwe.
Poleee sanaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bado zamu yako..😅
 
Nayataka yanipende mimi, hivi viumbe vyakike vimeshanichosha vimebakiza kuninyang'anya uhai tu!.
Heri yale majini yanamapenzi ya dhati nijipatie moja niitulize nafsi kwa anaelijua lolote anikonekti nalo, life la mapenzi na hawa watoto wa eva it's too miserable!, at any time, any where you can loose your soul!, they are very dramatic and confused!.
Kwamba lengo lako unatafuta utamu wa kufinywa kwa MBELE na uisikie radha isiyokuwepo kwenye uhalisia, mnasumbuka na unyabezi wa GENTAMYCINE , mkiambiwa muoe hamtaki.
 
Nayataka yanipende mimi, hivi viumbe vyakike vimeshanichosha vimebakiza kuninyang'anya uhai tu!.
Heri yale majini yanamapenzi ya dhati nijipatie moja niitulize nafsi kwa anaelijua lolote anikonekti nalo, life la mapenzi na hawa watoto wa eva it's too miserable!, at any time, any where you can loose your soul!, they are very dramatic and confused!.
Mcheki Z Anto
 
we nae lioga sana!
Wewe hujui hizo story zinavyotisha kama umesoma boarding school utaelewa… yaani mimi ilikuwa ikifika muda wa kwenda chooni nachanganyikiwa hata nikijisaidia haja kubwa ni kama nakimbizwa narukaruka chooni 🤣
 
Hata kama mkuu ndo ujipupuu...🤣
 
Hata kama mkuu ndo ujipupuu...🤣
Uoga mkuu yaani nilikuwaga muoga mno
Nakumbuka kuna tukio fulani lilitokea I think mwaka 2010 kuna mwanajeshi alimchomaga visu mke wake mpk kufa na watoto wakashuhudia kwaiyo baada ya msiba kuisha na ndugu kutawanyika ile familia ikawa haina wa kukaa nao na sisi tulikuwa family friend wakaniomba mimi nikawape kampan haswa kulikuwa na mdogo wao lastborn alikuwa na miaka 5 halafu mimi hapo na Miaka 11, basi walikuwa wanaogopa kuingia ndani kwenda chooni halafu choo kilikuwa nnje kinaangaliana na kaburi la mama yao🥹
Huwezi amini walikuwa wananiona kama mimi ndio mtu Mzima wao watoto wakati walikuwa wakubwa hata kunizaa yaani ilikuwa ni kukimbizana nilitesekaa mno kwa uoga.. nilikuwa nahisi yule mama ananitokea 🤣🤣🤣
 
kazi ipo!
 
Mambo ya

"jamaa alichukuliwa kutambulishwa ukweni kwa mtumbwi Ila walipofika katikati ya ziwa, mwanamke akawaambia ameshafika, akatupa mabegi ziwani lakini maji yakapasuka, zikatokea ngazi. Walipoingia kule chini kuna mji mkubwa na Mzuri kuliko huku duniani" 😁
Tulipangwa sana zamani aisee 😃
 
Back
Top Bottom