KERATO MOMBAA
Senior Member
- Feb 4, 2025
- 161
- 227
Nchi ngumu sana hii!Mh! mi si zwazwa
We si ulikuwa unataka jini au?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nchi ngumu sana hii!Mh! mi si zwazwa
Stori za vijaridaniNayataka yanipende mimi, hivi viumbe vyakike vimeshanichosha vimebakiza kuninyang'anya uhai tu!.
Heri yale majini yanamapenzi ya dhati nijipatie moja niitulize nafsi kwa anaelijua lolote anikonekti nalo, life la mapenzi na hawa watoto wa eva it's too miserable!, at any time, any where you can loose your soul!, they are very dramatic and confused!.
😂Acha kabisa majini yapite pembeni
Jamaa mchangamsha genge mzuri sana [emoji23]we nae lioga sana!
Dramatic gelz huwa hawajakupenda wako kimaslahi nakushauri mkuu achana na mapenzi wekeza nguvu zako sehemu nyingine TUNayataka yanipende mimi, hivi viumbe vyakike vimeshanichosha vimebakiza kuninyang'anya uhai tu!.
Heri yale majini yanamapenzi ya dhati nijipatie moja niitulize nafsi kwa anaelijua lolote anikonekti nalo, life la mapenzi na hawa watoto wa eva it's too miserable!, at any time, any where you can loose your soul!, they are very dramatic and confused!.
Hata na yenyewe yatakuua tu 😅Nayataka yanipende mimi, hivi viumbe vyakike vimeshanichosha vimebakiza kuninyang'anya uhai tu!.
Heri yale majini yanamapenzi ya dhati nijipatie moja niitulize nafsi kwa anaelijua lolote anikonekti nalo, life la mapenzi na hawa watoto wa eva it's too miserable!, at any time, any where you can loose your soul!, they are very dramatic and confused!.
Yatakukaba usiku
... pole sana mkuu! Hao wadudu huwa wanapenda vijana bikra na sio watu waliomaliza staili zote mpaka wakakopa na zile hazipo kihalali!Nayataka yanipende mimi, hivi viumbe vyakike vimeshanichosha vimebakiza kuninyang'anya uhai tu!.
Heri yale majini yanamapenzi ya dhati nijipatie moja niitulize nafsi kwa anaelijua lolote anikonekti nalo, life la mapenzi na hawa watoto wa eva it's too miserable!, at any time, any where you can loose your soul!, they are very dramatic and confused!.
Mara unaambiwa choo Cha mwishoo usiingie utakuta sufuria na kitunguu kinachojikata chenyewe kwa kisu bila kumuona MTUPia kuna na zile stories za mashuleni ndani ya vyoo kuna majini mafupi🤣
We umejuaje... pole sana mkuu! Hao wadudu huwa wanapenda vijana bikra na sio watu waliomaliza staili zote mpaka wakakopa na zile hazipo kihalali!
🤣
Heee ulikuwa mtu mzimaaa kabisaaa 😂 Daah kumbe inawezekanaNishawahi kujinyea kisa huo upuuzi yaani nilikuwa naogopa kwenda chooni nimeacha kuogopa kwenda mwenyewe chooni nikiwa chuo