Msemaji wa yanga akijieleza kwa mashabiki wake kuhusu mchango wa milioni 100 kwa ajili ya ccm,amesema kuwa timu yao ina historia ndefu ya kupigania ukombozi wa wananchi.
Mimi nauliza tu,wanapigania ukombozi dhidi ya nani?
Tunajua kuwa ninyi sio club ya mpira tu bali mnatumika sana kwa maslahi ya kikundi cha watu wachache wanaofaidika na uchumi wa nchi hii.
Hata hivyo kwa kuwa tuna aina ya watu wasio na akili,jambo hili hawawezi kuliona kwa urahisi sana.
Jambo hili sio sawa kuufanya mchezo wa soka ujipambanue kwenye mlengo fulani wa kisiasa tens wazi wazi.