Zile ni gari za Azam nyingi ni International bwana si Benz ama Scania kama mtoa mada alivyosema. International ni gari ya kimarekani hiyo inakimbia sana hata ikiwa kwenye mzigo. Ukiwa na basi huwezi kuacha mbali na ikikutangulia ufanye kazi kuiovertake
Mkubwa nenda kacheki tena hana international hata moja. Ile unayoiona ni Volvo VNL 12 470 mpaka 500 Horse power from america convetional cabin.
ushauri wa bure tafuta kiwanja maeneo ya kibaigwa,ubaruku,mtwara,mkuranga,mafia jenga hotel ka vyumba 10 self,kuwe na restaurant bed & breakfast kuwe na parking hutajutia!!!ipo siku utanikumbuka
International anazo yule jamaa wa TRH tena mpya.. Na za kutosha.. Biashara hii inahitaji moyo.. Ni pasua kichwa hasa kama pesa zako za mawazo
mjini kuna mambo kila pikipiki watot walikuwa wanaita hondaAu Muhimbili ya Uganda inaitwaje?
Mirembe ya Burundi iko wapi?
Hizi bei mnazitoaga wapi aisee!!!???
Stor za vijiweni hizi et 600 hata scania ile imetoka mwaka jana R730 bei ake haifiki hivo hata ukute 0 Mileage.
Asante sana mkuu...naona leo ulikuwa na hamu ya kutukana na kweli umefanikiwa.....
Ninachokukumbusha ni kwamba aliyekujaalia wewe mgao wa escrow ndio katunyima sisi....wakati wewe unawaza ule chakula cha aina gani ,wengine tunawaza tutakula nini maana tumakula tunachopata na sio tunachotaka....
Wakati wewe unatupa chakula kilicho lala.....
Kuna mtu mwingine anakufa na njaa....
Wakati wewe unamnunulia kimada wako zawadi ya gari, kuna mtu anakaribia kukata roho kwa kukosa hela kwa ajili ya matibabu......wakati wewe unamwagilia maua maji safi na salama kwa kunywa ,kuna mtu anakunywa maji ya mtaroni.....
Ninachokukumbusha ni kwamba duniani hatulingani........hayo maneno uliyoyaandika ni ya mtu aliyevimbiwa na shibe na kamwe hatamkumbuka mwenye njaa.....wakati wewe unanishangaa kumaliza mwaka wa tatu kudunduliza hela ya baiskeli kuna watu wanamaliza mwaka wa nne wanatafuta hela ya kandamabili.......hii ndio dunia....
Asante kwa taarifa maana kuna mzigo natarajia kuuagiza toka Japan hivyo nitaku pm kwa msaada zaidi.bandarini kwenu pamejaa wezi sana! rushwa bado tra wanakupiga za kutosha ndiyo maana tumewahama
teh teh teh vipi kuhusu buses
Kama umeamua kuwekeza kwenye biashara ya magari makubwa usiwe na presha wala haraka. Usitaraji makubwa sana kwenye biashara hii,utasifiwa tuu kwamba una mende mbili tatu ila itakuwa siri yako. Kila la kheri.
Kweli kabisa labda utumie gari hizo kupakia mizigo yako binafsi au company yako lakini ni pasua kichwa
asante sana mdau nimepata kitu hapa..
We mavi kweli ..scania benz ndio nini? Kwenda huko na akili zako za kupoga vidufu unashindwa hata kujua scania na benz ni brands mbili tofauti....