Mikoa yote ya kanda ya ziwa imepakana na ziwa Viktoria lakini sina hakika na Shinyanga. Je ziwa Viktoria limefika Shinyanga?
Unauona huo mkia wa kushoto? Huo ndiyo unanipa utata. Unahesabika ni ziwa limefika Shinyanga? Wenyeji wanaopajua wanasemaje? Si swala la kugoogle tu na kupata jibu.Angalau nafahamu ukigoogle utaweza kupata ramani ya Tanzania na tawala zake za mikoa, maziwa yote makuu, mito, bahari n.k
Hivyo ungeweza kuona namna ambavyo kwa upande wa Tanzania, ziwa Viktoria limepakana na mikoa gani
Naanza kukupata. Ramani hii imeonyesha Kano.Je, huo mkondo umefika Kano? Kama umefika sechi sehemu inaitwa Mhangu iko huko Shinyanga karibu na hiyo Kano au Salawe watu wanakula sana samaki wa ziwa Viktoria. Kiufipi kuna mkondo mithiri ya ziwa unagisa eneo hilo toka ziwani.
Unaishia wapi huo mkondo? Haufiki Shinyanga?
Unapajua buyagu boss?Muongo kabisa wewe mkondo wa mwisho lake Victoria ni wa buyagu(kigongo-busisi)
Hapana huo mkia wa kushoto unaishia Kijiji kimoja kinaitwa isole kipo sengerema isipokuwa kuna mto ambao unamwaga maji ziwa Victoria unaitwa ‘nyaruhwa' huo ndio unaoweza kufika sehem ya shinyangaUnauona huo mkia wa kushoto? Huo ndiyo unanipa utata. Unahesabika ni ziwa limefika Shinyanga? Wenyeji wanaopajua wanasemaje? Si swala la kugoogle tu na kupata jibu.
View attachment 1991273
Shukrani. Nilijua maji yakijaa yanafanya kote kuwa ziwa. Shukrani.Hapana huo mkia wa kushoto unaishia Kijiji kimoja kinaitwa isole kipo sengerema isipokuwa kuna mto ambao unamwaga maji ziwa Victoria unaitwa ‘nyaruhwa' huo ndio unaoweza kufika sehem ya shinyanga
Nadhani hili ndio jibu sahihiHapana huo mkia wa kushoto unaishia Kijiji kimoja kinaitwa isole kipo sengerema isipokuwa kuna mto ambao unamwaga maji ziwa Victoria unaitwa ‘nyaruhwa' huo ndio unaoweza kufika sehem ya shinyanga
Mkoa wa Shinyanga una majabali mengi kama yaliyopo hapo Tinde Geologically yanaashiria nini ?Hiyo Tinde ni Gio point ya ziwa Victoria ...ukifika Tinde yatazame sana yale Majabali kuna kitu utagunduwa kama uko interest na GIOLOJIA
Unapajua buyagu boss
Unaishia wapi huo mkondo? Haufiki Shi
Haufiki mkuu mkondo upo Kati ya geita na mwanza shinyanga haufiki kabisa au labda Mimi ndiye sifahamu maana ya mkondoUnaishia wapi huo mkondo? Haufiki Shinyanga?
Kiserikali Shinyanga ni kanda ya Magharibi.Shinyanga ni Kanda ya kati?? We jamaa hebu acha basi! Kiserikali, Shinyanga ni Kanda ya Ziwa! Lakini NMB na CRDB Shinyanga ni Kanda ya Magharibu,ikiwa pamoja na Tabora na Kigoma!
Hii catchment ndiyo inaanzia Lyabukande kupitia Salawe ?
Ndiyo maana unajiita Nindo ?Hapo Iselamagazi kwetu
Ndiyo maana unajiita Nindo ?
Hivi bado lile bonde la Nindo linazalisha mpunga kwa wingi ?
Tabora, Katavi na Kigoma ni kanda ya MagharibiWw wawapi Shinyanga, Simiyu, Mwanza, Geita, Mara, na Kagera ni kanda ya Ziwa, Tabora na Kigoma ni kanda ya magharibi
Muongo kabisa wewe mkondo wa mwisho lake Victoria ni wa buyagu(kigongo-busisi)
Acha uongo mkuu...Shinyanga ni kanda ya ziwa ila ziwa halijafika kwao...limeishia Misungwi tuShinyanga sio kanda ya ziwa mkuu ile ipo ukanda mmoja na Tabora