Hiyo Dar yenu inapigwa bao siku si nyingi

Kwani hivi kulima matosa na parachichi ni ajabu mbona wageni wengi wanalima wazungu, wachina wakenya ila sijaona wakifanya hizo biashara kama za kwenu.
Kwaiyo hujawahi kuwaona wachina wenye maduka na stores kariakoo mkuu acha kujifungia kwenye vibarua vya machimbo ya matosa utaona mengi
 
Kwaiyo hujawahi kuwaona wachina wenye maduka na stores kariakoo mkuu acha kujifungia kwenye vibarua vya machimbo ya matosa utaona mengi
Nimeshaona mengi nione mengi yapi wachina wenye store wapo wa chache sana ukilinganisha na wengine waliopo kwenye viwanda, ujenzi
 
Nimeshaona mengi nione mengi yapi wachina wenye store wapo wa chache sana ukilinganisha na wengine waliopo kwenye viwanda, ujenzi
Mzee wamatosani bhana mbona umesema hujawahi ona wachina wenye biashara kama tunazofanya sisi nipigie picha mchina anaeshika jembe kama kama wewe maana watakuwa wengi sana
 
Umeongea kishabiki sana hadi unasahau facts.
Dar inabebwa na bandari mengine yote ni influence ya bandari . Stationaries zinazotumika huko Dodoma bado zinanunuliwa kwenye maduka ya dar .wachina wameweka viwanda vingi pwani kwa sababu ni karibu na dar port.
Miji inayoweza kuja kuipiku dar huko mbele ni ile miji yenye bandari mf mtwara.
 
bandari baba bandaro muhimu landq nagamoyo
 
MSD industry park idofi makambako uzalishaji wa awali wa vifaa tiba umeanza na ukamilishaji wa viwanda Vingine vya dawa unaendelea.
 
hii INatoka huduma kama ccbrt imejengwa around makambako Barabara ya mbeya km 25 kutoka katikati ya mji
 
Unaijua Dar au unaota mwanangu. Dar kitu ingine mwanangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…