Mkuu, hizo center zitachangamka, ila kuchangamka kwake kutafanya Dar ichangamke zaidi, hakuna mji wa kuipita Dar in our lifetimeYaani center zote hizi.
Dodoma
Tanga
Mtwara
Makambako
Mbambabay
Bado hatuamini kua dar inapigwa bao kiuchumi kweli wa afrika tuna akili NDOGO.
Usiweke Sheria tuongee fact Kwamba Nini? Ambacho Kwa Sasa Dar itaendelea kua nacho Cha kipekeeMkuu, hizo center zitachangamka, ila kuchangamka kwake kutafanya Dar ichangamke zaidi, hakuna mji wa kuipita Dar in our lifetime
Mkuu, kwanza elewa Dar ni moja,Usiweke Sheria tuongee fact Kwamba Nini? Ambacho Kwa Sasa Dar itaendelea kua nacho Cha kipekee
Mijiyote duniani kwa Sasa ukitaka iende kibiashara zaidi lazima uwe na miundombinu ya viwanda, reli nk pia mji uww na eneo la kutosha na kwa Sasa tanzania center zenye miundo mbinu HiYo tayari imeanza kujipambanua kwa kufanya hivyo mfano makambako,kahama,kwala pwani,dodoma hii system imeanza kuzaa matunda wawekezaji wakubwa wamwmeanza kufungua maviwanda makubwa maeneo hayo kitu ambacho watu wataanza kufata huduma hko kama kuchukua bidhaa mfano makambako wanajenga kiwanda kikubwa Cha nondo bado msd nk ukija pwani wamejenga kiwanda kikubwa Cha vioo nk ukienda dodoma kiwanda kikubwa Cha mbolea ,kahama hivohivo na bado haya maeneo yote tayar wame target kuweka bandari kavu kutokana na umuhimu wawekezaji tayar serikali imeshaona Kasi ya wawekezaji wakienda maeneo hayo shida ambayo watu wa dsm Hawaijui kuwa dsm imejaa hawezi kupokwa project kubwa ndo maana zimeanza kwenda kwenye center ambazo wawekezaji wanaona ni rahisi kusupply mizigo yaoYaani center zote hizi.
Dodoma
Tanga
Mtwara
Makambako
Mbambabay
Bado hatuamini kua dar inapigwa bao kiuchumi kweli wa afrika tuna akili NDOGO.
Uwanja wa ndege utahama, ila wasafiri watahama? Utawaambia leo hii Fly Emirates awe anatua Dom ? No way, labda miaka 50 ijayo,Mkuu usiweke Sheria kwanini embassies zisihame? wakati serikali itahama na pia uwanja wa Ndege nao utajengwa dodoma
Hii nimeiona Arusha ikifika saa 2 maduka yotr yameefungwa kupata mahitaji muhimu ni changamoto...daladala saa 3 ndo mwisho kupata ni ngumu mno...naskia iko hvo kwasababu ya usalama kuwa mdogoukitaka kujua dar kubwa angalia malalamiko ya foleni,halafu iangalie iyo dodoma yako ambayo ikifika saa moja jioni usafiri wa daladala ni wa tabu sana
Lini Mombasa ilikuwa zaidi ya Nairobi?Mnaosema dar itabaki kuwa juu nendeni Nairobi harafu mkatembee na mombasa muone nairobi ilivyoiacha mombasa
Anakariri kwa kuwa mombasa ina bandari kama dar alitegemea hukonkenya ndo ingekuwa mji maarufu.Lini Mombasa ilikuwa zaidi ya Nairobi?
Mkuu Dodoma hata miaka 100 mbele haiwezi kuifikia DarDodoma itaifikia Dar ya sasa hivi miaka 100 ijayo. Na wakati huo Dar itakuwa imekuwa zaidi.
Dodoma haikui kwa kasi,ni kwamba serikali bado inajenga.miaka buku dar haiwezi kupitwa na kamji kokote ka Tz, tena kuwa na no. 2, 3, 4 nk bado ni kuidhalilisha dar. Yaan ilitakiwa tuseme Dar ni ya kwanza, no 2 hadi 14 hakuna, no 15 ni mwanza, 16 ni arusha, 20 dodoma. Nakubali Dodoma inaweza kuipita miji mingine yote in 10 to 15 yrs but not Dar. So far ukitoa Dar, dodoma ndio mji unaoongoza kwa kukua kwa kasi
Quantity au quality? wengi kweli halina ubishi ila wenye uwezo kwa maana purchasing power labda 30% tu population. Dar maeneo yenywe watu wengi ni maneneo maskini sana uwezo wakununua sigara moja moja na mafuta ya kupima.Labda miaka 50 ijayo mkuu. Dar ina watu wengi mnooooooooo
Kweli kabisa watu wa mikoani wengi wao wanamaisha mazuri ukilinganisha na wa Dar sema tu wengi wanang'ang'ania kukaa DarQuantity au quality? wengi kweli halina ubishi ila wenye uwezo kwa maana purchasing power labda 30% tu population. Dar maeneo yenywe watu wengi ni maneneo maskini sana uwezo wakununua sigara moja moja na mafuta ya kupima.
Unajua kwa sasa Dar imefika hadi Mlandizi.Haiwezi kupunguza kihivyo. Watu wanaongezeka na jiji linazidi kukua.
Daslam imeiteka Pwani au sio😄Unajua kwa sasa Dar imefika hadi Mlandizi.
Sure sure Boss!Daslam imeiteka Pwani au sio😄