Hiyo Dar yenu inapigwa bao siku si nyingi

Nimezaliwa na kukua Dar ila ni pamawaida sana labda kwa idadi ya watu na bandari ila kama umetembea miji ya Nairobi N. K ndio utaamini na kujua kwamba maendeleo sio bandari tu
Na bandari Ipo moja ya mombasa tu still Nairobi imeipiku Mombasa Sasa bongo bandari zipo tatu. Huku ya tanga ishaanza kuchanganya. Na ya mtwara ikiisubiri Ile ya mbambabay bado Kuna mtu anakaza fuvu.
 
Quantity au quality? wengi kweli halina ubishi ila wenye uwezo kwa maana purchasing power labda 30% tu population. Dar maeneo yenywe watu wengi ni maneneo maskini sana uwezo wakununua sigara moja moja na mafuta ya kupima.
Yaani mda mwingine mi nashangaa mtu analipwaje elfu tatu, nne, Tano kutwa nzima. Kuna mikoa ukitangaza Hilo dau mikoa mingine hiyo kazi unaweza fanya mwenyewe.
 
Haya sasa Mtwara[emoji95][emoji95][emoji95][emoji95]
 
Ukitaka kujua kama Kuna siku dar itapigwa bao, Angalia taarifa ya uwekezaji kwenye kituo Cha uwekezaji TIC . Uwekezaji unaofanyika nchini zaidi ya 85% unafanyika Dar na Pwani.Na ukisema Dar kwa Sasa hivi hauwezi itenganisha na pwani.Kwa hiyo siyo rahisi Dar kuwa nyuma au kuzidiwa na Mkoa wowote.
 
Hivi kwani Dar ina maajabu gani yani kwa mfano? Dar ni mji wa hivyo sana, Dar utaiona ya maana kama haujatoka nje ya nchi. Ukitembea utaiona ni Jalala tu, mipangilio ya miundombinu, hovyo, huduma za kijamii shaghalabaghala, Dar ni takataka tu linalobebwa na serikali.
 
Kupitia maboresho haya Kuna centre zinaenda kukua zaidi kibiashara kama makambako mikoa ya iringa,njombe,ruvuma na baadhi ya wilaya za mbeya zitachukulia mizigo hapo mabus yanaenda kupungua na maroli ya mizigo wachina lazima waende kibiashara zaidi
 
Wachina kazi washajua fursa ziko wapihttps://www.facebook.com/100064759594121/posts/pfbid031tXHpMd8QJgVfWR9FwETprDWyQai5U7z9Dx5YNLNo2SNwuV5rqxYjLAxB6ULntadl/?app=fblhttps://www.facebook.com/100064759594121/posts/pfbid031tXHpMd8QJgVfWR9FwETprDWyQai5U7z9Dx5YNLNo2SNwuV5rqxYjLAxB6ULntadl/?app=fbl
 
Kwa mabadiliko ya kimiundombinu kama sekta ya reli tukubaliane lazima Kuna centre za miji zinaenda kukua zaidi kibiashara na dar Kuna vitu vinaenda kupungua Sana mfano centre zinazoenda kukua zaidi ni dodoma ,makambako,,mwanza hii ni kutokana na ujenzi wa hizi rel I miji hii lazima fursa zinaenda kuongezeka maana watu wengi watatumia treni kusafirisha mizigo yao na hizi centre mikoa mingi itachukulia mizigo yao na ndio maana tayari maeneo husika yamesha Tenga maeneo ya bandari kavu shida ya watu wanabeza Hawa fatilii mambo yanavo Enda tazara inaenda kuwa chini ya mchina na Hawa wapo kibiashara zaidi na tayari ukienda makambako huko wanafungua maviwanda ya kutosha wanajua kinacho fuata https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/100064759594121/posts/pfbid031tXHpMd8QJgVfWR9FwETprDWyQai5U7z9Dx5YNLNo2SNwuV5rqxYjLAxB6ULntadl/?app=fbl
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…