Hiyo Dar yenu inapigwa bao siku si nyingi

kuna hoja zngne znaboa Aisee ata alieishia la pili hawezi fikiria utumbo kiasi iko
“Et wenye viwanda wanajenga karibu na ofisi za serikali ili iweje?”

Shda akili kama hujaipa exposure
ukiona hata barabara tu inarekebishwa unaona Miundo mbinu ya kjijin kwenu n hatari Tanzania nzima

Pata exposure bro hizo treni znazokuchanganya wenzio huku n daladala

Speaking of dodoma?, Mwanza?
Nmetoka dodoma juzi, week tatu nmeona kama mwezi..”
 
Nilikuuliza pale juu Dar inazidiwa au inakaribiwa na mkoa gani hukujibu!!
Umehania kwenye gdp !!nilichokuwa naamaanisha ni kwamba international stores huwa hawaweki maduka yao sehemu za wachovu
Habari mbaya zaidi kwako ni kuwa hata mkoa wa viwanda wa Pwani kwa sasa wanaupaisha mkoa wa Dar. Viwanda vingi vya pwani ofisi zao za mauzo zipo Dar
 
Hivi Ile point ya kwenye Geography ya GOVERNMENT SUPPORT ulikuwa unaielewa au ndo umeamua kutumia akili za Darasa la pili.
 
Nilikuuliza pale juu Dar inazidiwa au inakaribiwa na mkoa gani hukujibu!!
Umehania kwenye gdp !!nilichokuwa naamaanisha ni kwamba international stores huwa hawaweki maduka yao sehemu za wachovu
Habari mbaya zaidi kwako ni kuwa hata mkoa wa viwanda wa Pwani kwa sasa wanaupaisha mkoa wa Dar. Viwanda vingi vya pwani ofisi zao za mauzo zipo Dar
Watu wamepost statistics huko hujaona au?
 
kuna hoja zngne znaboa Aisee ata alieishia la pili hawezi fikiria utumbo kiasi iko
“Et wenye viwanda wanajenga karibu na ofisi za serikali ili iweje?”

Shda akili kama hujaipa exposure
ukiona hata barabara tu inarekebishwa unaona Miundo mbinu ya kjijin kwenu n hatari Tanzania nzima

Pata exposure bro hizo treni znazokuchanganya wenzio huku n daladala

Speaking of dodoma?, Mwanza?
Nmetoka dodoma juzi, week tatu nmeona kama mwezi..”
Kwamba SGR nikama daladala? Dah we jamaa una chembechembe za umaskini jeuri. Afu we jamaa acha kutufanya kama sisi sijui ni wawapi?
 
Unamaanisha Nini?

Kwa mujibu wa National Bureau of Statistics,Mikoa ya Kanda ya Nyanda za Juu Kusini ya Mbeya,Iringa,Ruvuma na Njombe ndio inaongoza Tanzania kwa kuwa na watu wenye mapato Makubwa kushinda Mikoa mingine yote Tanzania kasoro Mkoa wa Rukwa.Nyanda za Juu Kusini inazidiwa na Dar tuu.

Kwenye Mikoa 10 Inayoongoza Kwa GDP per Capita Income,

1.Nyanza za Juu Kusini Mikoa -4
(Iringa,Mbeya,Njombe,Ruvuma)

2.Kanda ya Kaskazini Mikoa-4
(Kilimanjaro, Arusha,Manyara,Tanga)

3.Kanda ya Mashariki na Mkoa-1
(Dar es Salaam)

4.Kanda ya Ziwa Mkoa 1
(Mwanza)

5Kanda ya Kusini,Kanda ya Kati na Kanda ya Magharibi Mikoa-0

Hivyo basi Kwa Kufuata Mpangilio wa Kipato/Regional Per Capita Income List imekaa hivi:-

1.Dar (5,392,046)
2.Iringa (4,492,839)
3.Kilimanjaro (4,074,022)
4.Mbeya (4,055,102)
5.Njombe (3,476,147)
6.Ruvuma (3,458,329)
7.Arusha (3,395,577)
8.Mwanza (3,301,349)
9.Manyara (3,059,208)
10.Tanga (3,028,018)

My Take
Licha ya Kanda ya Ziwa Kukaa migodi ya Dhahabu ila Haiwanufaishi Watu wake zaidi ya Wazungu.

Hivyo basi napendekeza Sheria ya Serikali za Mitaa iboreshwe zaidi ili tuimalishe Ugatuaji wa Madaraka Kwa kuanzishe Utawala wa Kikanda Ili kuleta ushindani,Tija na kuepusha mgawanyo usio sawa wa Rasilimali.

Credit NBS,Tanzania in Figures 2022.(Mods msiunganishe Uzi una maudhi tofauti).

View: https://twitter.com/TheChanzo/status/1712122817989185938?t=tqREV3t-EEiJZXfFQV3k8xg&s=19

E😂😂 mnailinda bahari yenu
 
DP WORLD YAFUATA FURSA ZA UWEKEZAJI MKOANI NJOMBE

Mwenyekiti na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya DP World ya Dubai Sultan Ahmed bin Sulayem mara baada ya kusaini Mkataba wa Uendeshaji wa Gati namba 4 mpaka 7 za Bandari ya Dar es Salaam Jana Oktoba 22,2023 alianza safari kwenda Mkoa wa Njombe kwa lengo la kutazama fursa mbalimbali za uwekezaji.

Leo Oktoba 23, 2023 amekutana na Mkuu wa Mkoa wa Njombe Mhe. Anthony Mtaka pamoja na Mkuu wa Wilaya ya Njombe Bi. Kissa Gwakisa na viongozi wengine wamekutana na kufanya mazungumzo katika Uwanja wa Ndege wa Mkoa wa Njombe.

Pamoja na Mambo mengine wamejadili kuja kufanya uwekezaji kwenye eneo la Utalii,Ujenzi wa Hotel kubwa yenye hadhi ya nyota 5, Kilimo cha chai na mazao ya Miti pamoja na Uwekezaji mkubwa kwenye eneo la Madini ya Chuma na Makaa ya Mawe.

"Ninamshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dokta Samia Suluhu Hassan kwa kufungua fursa za kiuwekezaji nchini kwetu Tanzania, Leo hii muwekezaji mkubwa katika bandari yetu ya Tanzania amefika Mkoani Njombe akiongozana na mfanyabiashara mkubwa kwenye Mkoa wetu akitokea nchini kenya Bw. na ameahidi kuwa atafanya uwekezaji kwenye eneo la Ujenzi wa Hotel kubwa za Kitali, lakini pia tumetumia nafasi hii kama Mkoa kumkaribisha kwenye uwekezaji kwenye eneo la Ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Mkoa wa Njombe". Alisema Mhe. Mtaka
IMG-20231023-WA0040.jpg
 
DP WORLD YAFUATA FURSA ZA UWEKEZAJI MKOANI NJOMBE

Mwenyekiti na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya DP World ya Dubai Sultan Ahmed bin Sulayem mara baada ya kusaini Mkataba wa Uendeshaji wa Gati namba 4 mpaka 7 za Bandari ya Dar es Salaam Jana Oktoba 22,2023 alianza safari kwenda Mkoa wa Njombe kwa lengo la kutazama fursa mbalimbali za uwekezaji.

Leo Oktoba 23, 2023 amekutana na Mkuu wa Mkoa wa Njombe Mhe. Anthony Mtaka pamoja na Mkuu wa Wilaya ya Njombe Bi. Kissa Gwakisa na viongozi wengine wamekutana na kufanya mazungumzo katika Uwanja wa Ndege wa Mkoa wa Njombe.

Pamoja na Mambo mengine wamejadili kuja kufanya uwekezaji kwenye eneo la Utalii,Ujenzi wa Hotel kubwa yenye hadhi ya nyota 5, Kilimo cha chai na mazao ya Miti pamoja na Uwekezaji mkubwa kwenye eneo la Madini ya Chuma na Makaa ya Mawe.

"Ninamshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dokta Samia Suluhu Hassan kwa kufungua fursa za kiuwekezaji nchini kwetu Tanzania, Leo hii muwekezaji mkubwa katika bandari yetu ya Tanzania amefika Mkoani Njombe akiongozana na mfanyabiashara mkubwa kwenye Mkoa wetu akitokea nchini kenya Bw. na ameahidi kuwa atafanya uwekezaji kwenye eneo la Ujenzi wa Hotel kubwa za Kitali, lakini pia tumetumia nafasi hii kama Mkoa kumkaribisha kwenye uwekezaji kwenye eneo la Ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Mkoa wa Njombe". Alisema Mhe. MtakaView attachment 2790495
NI makampuni makubwa pekee na wanaccm ndio wanafahamu kua Kuna mikoa hapa tz ni tajiri ya kuweza kuitikisa Dar Kwa uchumi. Voda wanalijua hilo ndio maana 5G IPO Njombe pia IPO iringa
 
Yaani njombe mbwana. Viwanda vya playwood ndio kwanza vinaanza, parachichi ndio usiseme. Kule ludewa kumenoga miti ya Makete nayo imepanda nau. Hafu ipo katikati ya matajiri yaani Ruvuma ng'o, iringa ng'o na mbeya ng'o. Ndio maana maji ya kitulo yanapeta, ikonda naye ananufaika kuwa katikati Nosci naye mnufaika. Makambako Nako mambo ni mengi. Hafu Dar isipigwe bao.
 
kuna hoja zngne znaboa Aisee ata alieishia la pili hawezi fikiria utumbo kiasi iko
“Et wenye viwanda wanajenga karibu na ofisi za serikali ili iweje?”

Shda akili kama hujaipa exposure
ukiona hata barabara tu inarekebishwa unaona Miundo mbinu ya kjijin kwenu n hatari Tanzania nzima

Pata exposure bro hizo treni znazokuchanganya wenzio huku n daladala

Speaking of dodoma?, Mwanza?
Nmetoka dodoma juzi, week tatu nmeona kama mwezi..”
Exposure kweny treni za miaka 60s kaka 😁,saiv watu wapo kwenye trums sio hizo vurugu.

Ukweli mchungu ni kuwa dar imeanza kupoteza ushawishi kiuchumi na sababu kuu ni serikal kuhamia dodoma.

Dar iko hapo ilipo kwa ushawishi wa serikali.Wawekezaji wanapokuja Tanzania wanaambiwa dar.Wawekezaji wengi kutoka nje na ndani wamewekeza dar sabab ya ushawishi wa serikali na labda ukiritimba wa kudhoofisha maeneo mengne kwa maslah wanayoyajua wao.

Mfano kuna tycoon mwanza anaviwanda vya chuma aliambiwa atoe viwanda vyake mwanza apeleke pwani sio huyo tu wapo wengi.

Natural wealth kati ya mwanza na dar mwanza iko juu zaidi.Tofauti ya viwanda biashara mambo ambayo ni common dar inakitu gani special.

Usidhani serikal inavyosita kupeleka miundombinu mwanza like international airport, barabara ukadhani hawana akili.Serikali inajua international airport mwanza and some few gvnt infrastructure ni kiama kwa dar.

Mwanza inabust dar sabab HQ za migodi zipo dar wakati dhahabu inachimbwa mwanza na kanda ya ziwa kwa ujumla,kodi inalipwa dar.

Siku serikal ikiamua kuwa na haki kodi ilipwe eneo la operation trust me pato la dar litapungua huenda ikafika 500B huku mikoa kama arusha mwanza pato la kodi TRA likiongezeka.JUST IMAGINE PROMO NDOGO TU KWA ZANZIBAR SAIVI UWANJA WA NDEGE ZANZIBAR NDO UNAPOKEA WAGENI WENGI KULIKO JKNIA.

NARUDIA TENA KODI YA MIZIGO YA WAFANYABIASHARA IKIKATWA HUKO WANAPOIPELEKA BASI NI KIAMA KWA DAR.HIZI ICDs ZIKITOZA KODI SEHEM MZIGO UNAPOCHUKULIA TEGEMEA KUSHUKA KWA HIO DAR YENU.

IKIFIKA HATUA KODI KWENYE MITANDAO YA SIMU IKALIPWA BY PERCENTAGE i mean TRA tabora ikachukua kodi kweny mitandao ya simu kutokana na mitandao ya simu ilivyofanaya biashara tabora,hapa ndo kutakua na ushindani sahihi sio saiv kodi ya mitandao nchi nzima inahesabika dar
 
Exposure kweny treni za miaka 60s kaka [emoji16],saiv watu wapo kwenye trums sio hizo vurugu.

Bro mawazo yako skuping though yako nje ya uhalisia
yan kuna vtu vilivyo ndo vishakua na ndio uhalisia wenyew,
na uhalisia sku zote huwez ukalinganisha na imagination
Mfano mambo ya natural wealthy unayoongelea n kweli lakini sio guarantee

Ni sawa na kusema Africa ina natural wealth kuliko uzunguni,
yeah ni kweli je kuna siku tumuone bongoland yuko mbele ya china??
it’s impossible bro, Ever na huo ndo uhalisia

Excuse zako be like, tukipata wasomi wengi
let’say Ma mineralogists af na madini tunayo ya kutosha tunawapiku wazungu…?
Tukipaata Ma Engineer Wengi kwa kuwa natural resources za kutosha mchina tumpiku[emoji1][emoji1]
We ulisikia wapi bro izo n just imagination bro uhalisia ushachukua nafasi na itabaki kuwa hivyo
Ma engineer wenyew Coet ndo hao wanalalamika Boom halitoshi[emoji28]

Na ndio Nature ya nchi za Africa iko ivo yan kuna Local Areas na jiji moja ambalo limetangulia mbali sanaaaah
yan majiji mengne hata yaandamane yaungane
yapigekura za hapana yachague raisi wao mbunge wao,
kushika main city n hamna hata kusogelea tu haiwezekani
Look at Lagos, Nairobi,kinshasa,Abuja Bila kusahau bandari ya salama, mzizima The DAR ES SALAAM[emoji91] hakuna mapinduzi yatawahi tokea
yan ndo vile vitu vikitokea ndo tiketi ya kusonga mbele /
au kuendelea kutokea Wazee wa cuba wanaelewa
n kama positive feedback Mechanism it Amplifies Changes rather than reversing the initials[emoji28][emoji28]

Kweli kaka mkubwa unakuja linganisha dsm na dodoma?
ambayo majengo makubwa/mazuri n ya serikali pekee???
ivi apo kati ukitoa ayo majengo ya gavoo ambayo
hata nkisema niyahesabu hapo naweza.’ Judicially square, takwimu, kikwete cc, Bot,pssf, Au basi🥲
Kuna nn knabaki au ndo mradi wa nyumba ef2 za mlimani pale

Airport inatia huruma airport majengo kama frem za kariakoo’’
Emirate ikishuka apo ina Burn out
Uwanja wa mpira ndo kabisa
Au ndo bandari kavu ya ihumwa kwenye vumbi la kufa mtu ile bandari ni kama store yan tena store ndogo ya mizigo kutoka bandar ya dar
Kama n SGR apo mbna imepita tu kawaida wenzio imepita juu ya jiji na hawasemi

Bro Dar watu wameinvest kuliko unavyodhania na ambavyo huwezi hata kudhania
You know TPA pale ndo Gateway ya East Africa na Central africa??
Dar ni mlango wa bahari kwa Almost East Africa na Kati
pia ndo maana unaona makontena bandarini yamepangw kama biscuit
malori huko mikoani
yanapishana hayaishii huko tu
mengi yanatoboa ndani hukooo congo sjui uganda sjui zambia
na taka taka zote unazozijua

JNIA ni International kuliko
unavyofikilia Emirates na Qatar zinaflow kama nyumban
Umesema Airport ya znzr iko juu nowadays kuliko jnia
ni kweli ila nataka tu nkurekebishe sio kwamba iko juu airpot ya znzbr,
ni just iko BUSY kuliko jnia
yan just anga lake liko busy kuliko anga la jnia that is..,
Na hio sio issue na huwezi kuilinganisha na jnia hata sku moja
kilichopo n kwamba airport ya zenji ina vijindege vdogo vdogo ving
ikiwemo vi private vya wazungu na watu wengine
wanavikodi wanpiga misele ya bara to and fro..
ndege nyingi n ndogo na ni sababu ya route za watalii pia,

Dar kuna five star kuliko unavyodhania yan kungekuepo na seven star zngekuwepo hata 10star

Unawajua sheraton? Wazee wa four points..’
Unawajua rotana?
kina johari hao[emoji2955] Majengo yao yote Mawili yapo Top 10 ya Highest Building in Africa
Then Dar ina majengo matatu kwenye Top 10 ya Majengo Marefu zaidi Africa (imagine Africaa bro South Africa, Naijeria, Morroco na wababe kibao still Majengo ma3 kati ya 10 yako Dar)
na hapo umeyahesabu kwa
grouping ukiyahesbu moja moja ni 5 Buildings[emoji913] yako top 10

HyattRegency na nyota tano kibao
na hapo ni just baadhi tu ya waliopo posta
Unadhani ni leo kuja huko kijijin waje kufata nn
sio leo bro Hii mikoa yetu unakuta
mkoa mzima unategemea Morena hoteli (sjataja mtu🥲)
Heshimu basi ata nguvu ya bahari kwenye progress za jiji, kuna jiji huko linategemea kitulo kama resort ya jiji[emoji16]
Kuna jiji huko hata miti haitaki kuhamia🫣🥲[emoji846]
Ukija Mall ya mji daah hata nsiongee

Makampuni yote ya mambele HQ zao Tz ziko Dar
Makampuni ya kubeti,
Macasino Legrand,WinPrincess na yoote unayo jua
Makampuni ya mitandao Airtel,Voda,Tigo na yote
Makampuni ya Magari Luxury BMW na Mashangingi kibao yako
Mtu akaweke show room ya MBW huko kijijin hana akili au

You guys Stop Comparing linganishen vitu zngne ukishndwa sana
bora tubishane kulinganisha Mat#ko ya zuchu na Manyonyo ya Masha Love yapi Makubwa[emoji23][emoji23]. apo sawa tutachangia

Dar tuiweken pemben then tuangalie tupambanishe nani na nani
Na sio Dodoma tu
hata izo Mwanza, Arusha sjui moro wapi Kujeni na vivid Example apa
hizo sehemu zote mi nazijua nje ndani[emoji119][emoji119] ndo maana mambo ya kulinganisha nishayaacha

Bro Dar is EVerything na haiji poteza ushawishi never

hata leo hii serikali ichomoe majengo yake yote ikaya pande dodoma af ichote na maji ya bahar ikayamwage dodoma
au ihamie dodoma af na Mwanza kama nyumba ndogo[emoji23][emoji23]
still nothing changes bro
sio Muonekano tu hata uchumi huwezi linganisha na local Areas
Hizo n Local Areas tu haipingiki
sasa kama kwenye top cities Africa
Dar iko nyuma ya nairobi kwahyo ni sawa na kusema Dodoma au Mwanza skumoja itaipita Nairobi[emoji913][emoji28][emoji28]

kama ulitoka kdogo kwenda kutafuta usiwe unakaa sana

#Tunauza viwanja na Mikoani Tunatuma[emoji23][emoji23][emoji23]

(Jokes[emoji39])
i much respect my former cities mwisho wa siku huko ndo tulikozaliwaa[emoji91][emoji119][emoji110][emoji110]
 
Wakuu ni hivi kutokana Hali ilivyo sasa naona kuna kila sababu ambayo itaitoa Dar kama namba moja katika swala Zima la uchumi. Sababu ni hizi.

1. Kuhamishwa Kwa ikulu na ofisi za Serikali. Hii imepunguza idadi kubwa ya watu ambao wangelazimika kusafiri na kuwepo mjini Dar. Hivyo imepunguza wananuzi wa mahitaji na huduma mji Dar es Salaam.

2. Ujenzi wa SGR ya Dar Hadi Dodoma hii itapelekea kuhamishwa kwa viwanda vingi kwani vikiwepo Dodoma kutakuwa na urahisi wa usafirishaji wa mizigo na magarifi kutoka mikoa mingine. Pia viwanda vingi vitapenda kuwa karibu na ofisi za Serikali.

3. Ujenzi wa miundo mbinu Bora Kwa mikoa mingine Kwa kipindi kifupi kilichopita tumeshuhudia ujenzi wa miundo yenye tija Kwa mikoa mingine Mfano mpango wa upanuzi wa bandari ya Mtwara na ya Mbambabay pia ujenzi wa reli ya Mbambabay Hadi Mtwara. Kwa hiyo baadhi ya mizigo itapungua bandari ya Dar pia baadhi ya viwanda vitajengwa huko Mtwara.

4. Ukuaji wa science na technology Kwa Sasa rasilimali nyingi ambazo zilikua hazivuniki lakini Kwa Sasa Kwa mashine za kisasa za bei nafuu. Zimefanya hata wazawa na wageni wakizitumia kuvuna rasilimali zilipo mkoani Mfano Iringa kumekuwepo na viwanda vingi vya playwood ambavyo Kwa Sasa vingi vinamatawi Njombe hivi vimeifanya Dar kupunyuliwa mkiani Kwa uchumi na Iringa na uwepo wa solar na bodaboda n.k umefanya watu waweze kulima hata sehemu za mbali.

5.Ukuwaji wa center nyingine za kibiashara kama vile Mwanza, Makambako na Dodoma kutapunguza umaarufu wa Dar.

Karibu Kwa mjadala
Sahihi kabisa
 
Bro mawazo yako skuping though yako nje ya uhalisia
yan kuna vtu vilivyo ndo vishakua na ndio uhalisia wenyew,
na uhalisia sku zote huwez ukalinganisha na imagination
Mfano mambo ya natural wealthy unayoongelea n kweli lakini sio guarantee

Ni sawa na kusema Africa ina natural wealth kuliko uzunguni,
yeah ni kweli je kuna siku tumuone bongoland yuko mbele ya china??
it’s impossible bro, Ever na huo ndo uhalisia

Excuse zako be like, tukipata wasomi wengi
let’say Ma mineralogists af na madini tunayo ya kutosha tunawapiku wazungu…?
Tukipaata Ma Engineer Wengi kwa kuwa natural resources za kutosha mchina tumpiku[emoji1][emoji1]
We ulisikia wapi bro izo n just imagination bro uhalisia ushachukua nafasi na itabaki kuwa hivyo
Ma engineer wenyew Coet ndo hao wanalalamika Boom halitoshi[emoji28]

Na ndio Nature ya nchi za Africa iko ivo yan kuna Local Areas na jiji moja ambalo limetangulia mbali sanaaaah
yan majiji mengne hata yaandamane yaungane
yapigekura za hapana yachague raisi wao mbunge wao,
kushika main city n hamna hata kusogelea tu haiwezekani
Look at Lagos, Nairobi,kinshasa,Abuja Bila kusahau bandari ya salama, mzizima The DAR ES SALAAM[emoji91] hakuna mapinduzi yatawahi tokea
yan ndo vile vitu vikitokea ndo tiketi ya kusonga mbele /
au kuendelea kutokea Wazee wa cuba wanaelewa
n kama positive feedback Mechanism it Amplifies Changes rather than reversing the initials[emoji28][emoji28]

Kweli kaka mkubwa unakuja linganisha dsm na dodoma?
ambayo majengo makubwa/mazuri n ya serikali pekee???
ivi apo kati ukitoa ayo majengo ya gavoo ambayo
hata nkisema niyahesabu hapo naweza.’ Judicially square, takwimu, kikwete cc, Bot,pssf, Au basi🥲
Kuna nn knabaki au ndo mradi wa nyumba ef2 za mlimani pale

Airport inatia huruma airport majengo kama frem za kariakoo’’
Emirate ikishuka apo ina Burn out
Uwanja wa mpira ndo kabisa
Au ndo bandari kavu ya ihumwa kwenye vumbi la kufa mtu ile bandari ni kama store yan tena store ndogo ya mizigo kutoka bandar ya dar
Kama n SGR apo mbna imepita tu kawaida wenzio imepita juu ya jiji na hawasemi

Bro Dar watu wameinvest kuliko unavyodhania na ambavyo huwezi hata kudhania
You know TPA pale ndo Gateway ya East Africa na Central africa??
Dar ni mlango wa bahari kwa Almost East Africa na Kati
pia ndo maana unaona makontena bandarini yamepangw kama biscuit
malori huko mikoani
yanapishana hayaishii huko tu
mengi yanatoboa ndani hukooo congo sjui uganda sjui zambia
na taka taka zote unazozijua

JNIA ni International kuliko
unavyofikilia Emirates na Qatar zinaflow kama nyumban
Umesema Airport ya znzr iko juu nowadays kuliko jnia
ni kweli ila nataka tu nkurekebishe sio kwamba iko juu airpot ya znzbr,
ni just iko BUSY kuliko jnia
yan just anga lake liko busy kuliko anga la jnia that is..,
Na hio sio issue na huwezi kuilinganisha na jnia hata sku moja
kilichopo n kwamba airport ya zenji ina vijindege vdogo vdogo ving
ikiwemo vi private vya wazungu na watu wengine
wanavikodi wanpiga misele ya bara to and fro..
ndege nyingi n ndogo na ni sababu ya route za watalii pia,

Dar kuna five star kuliko unavyodhania yan kungekuepo na seven star zngekuwepo hata 10star

Unawajua sheraton? Wazee wa four points..’
Unawajua rotana?
kina johari hao[emoji2955] Majengo yao yote Mawili yapo Top 10 ya Highest Building in Africa
Then Dar ina majengo matatu kwenye Top 10 ya Majengo Marefu zaidi Africa (imagine Africaa bro South Africa, Naijeria, Morroco na wababe kibao still Majengo ma3 kati ya 10 yako Dar)
na hapo umeyahesabu kwa
grouping ukiyahesbu moja moja ni 5 Buildings[emoji913] yako top 10

HyattRegency na nyota tano kibao
na hapo ni just baadhi tu ya waliopo posta
Unadhani ni leo kuja huko kijijin waje kufata nn
sio leo bro Hii mikoa yetu unakuta
mkoa mzima unategemea Morena hoteli (sjataja mtu🥲)
Heshimu basi ata nguvu ya bahari kwenye progress za jiji, kuna jiji huko linategemea kitulo kama resort ya jiji[emoji16]
Kuna jiji huko hata miti haitaki kuhamia🫣🥲[emoji846]
Ukija Mall ya mji daah hata nsiongee

Makampuni yote ya mambele HQ zao Tz ziko Dar
Makampuni ya kubeti,
Macasino Legrand,WinPrincess na yoote unayo jua
Makampuni ya mitandao Airtel,Voda,Tigo na yote
Makampuni ya Magari Luxury BMW na Mashangingi kibao yako
Mtu akaweke show room ya MBW huko kijijin hana akili au

You guys Stop Comparing linganishen vitu zngne ukishndwa sana
bora tubishane kulinganisha Mat#ko ya zuchu na Manyonyo ya Masha Love yapi Makubwa[emoji23][emoji23]. apo sawa tutachangia

Dar tuiweken pemben then tuangalie tupambanishe nani na nani
Na sio Dodoma tu
hata izo Mwanza, Arusha sjui moro wapi Kujeni na vivid Example apa
hizo sehemu zote mi nazijua nje ndani[emoji119][emoji119] ndo maana mambo ya kulinganisha nishayaacha

Bro Dar is EVerything na haiji poteza ushawishi never

hata leo hii serikali ichomoe majengo yake yote ikaya pande dodoma af ichote na maji ya bahar ikayamwage dodoma
au ihamie dodoma af na Mwanza kama nyumba ndogo[emoji23][emoji23]
still nothing changes bro
sio Muonekano tu hata uchumi huwezi linganisha na local Areas
Hizo n Local Areas tu haipingiki
sasa kama kwenye top cities Africa
Dar iko nyuma ya nairobi kwahyo ni sawa na kusema Dodoma au Mwanza skumoja itaipita Nairobi[emoji913][emoji28][emoji28]

kama ulitoka kdogo kwenda kutafuta usiwe unakaa sana

#Tunauza viwanja na Mikoani Tunatuma[emoji23][emoji23][emoji23]

(Jokes[emoji39])
i much respect my former cities mwisho wa siku huko ndo tulikozaliwaa[emoji91][emoji119][emoji110][emoji110]
We jamaa umri wako please? Maana naona unalazimisha tuamini kuwa dar itaendelea kua juu Kwa kuangalia hayo majengo hivi unajua Guangzhou ya china imejengeka sana kuliko London ya uingereza lakini London kiuchumi iko juu zaidi Guangzhou ya china.
 
HUUU NI UTOTO

"Bro Dar is EVerything na haiji poteza ushawishi never

hata leo hii serikali ichomoe majengo yake yote ikaya pande dodoma af ichote na maji ya bahar ikayamwage dodoma
au ihamie dodoma af na Mwanza kama nyumba ndogo[emoji23][emoji23]
still nothing changes bro
sio Muonekano tu hata uchumi huwezi linganisha na local Areas
Hizo n Local Areas tu haipingiki
sasa kama kwenye top cities Africa
Dar iko nyuma ya nairobi kwahyo ni sawa na kusema Dodoma au Mwanza skumoja itaipita Nairobi[emoji913][emoji28][emoji28]”
 
We jamaa umri wako please? Maana naona unalazimisha tuamini kuwa dar itaendelea kua juu Kwa kuangalia hayo majengo hivi unajua Guangzhou ya china imejengeka sana kuliko London ya uingereza lakini London kiuchumi iko juu zaidi Guangzhou ya china.

Spo hapa kupinga mtu, Keep on believing what you imagine

Kesi closed, Am out[emoji741]
 
Back
Top Bottom