Exposure kweny treni za miaka 60s kaka [emoji16],saiv watu wapo kwenye trums sio hizo vurugu.
Ukweli mchungu ni kuwa dar imeanza kupoteza ushawishi kiuchumi na sababu kuu ni serikal kuhamia dodoma.
Dar iko hapo ilipo kwa ushawishi wa serikali.Wawekezaji wanapokuja Tanzania wanaambiwa dar.Wawekezaji wengi kutoka nje na ndani wamewekeza dar sabab ya ushawishi wa serikali na labda ukiritimba wa kudhoofisha maeneo mengne kwa maslah wanayoyajua wao.
Mfano kuna tycoon mwanza anaviwanda vya chuma aliambiwa atoe viwanda vyake mwanza apeleke pwani sio huyo tu wapo wengi.
Natural wealth kati ya mwanza na dar mwanza iko juu zaidi.Tofauti ya viwanda biashara mambo ambayo ni common dar inakitu gani special.
Usidhani serikal inavyosita kupeleka miundombinu mwanza like international airport, barabara ukadhani hawana akili.Serikali inajua international airport mwanza and some few gvnt infrastructure ni kiama kwa dar.
Mwanza inabust dar sabab HQ za migodi zipo dar wakati dhahabu inachimbwa mwanza na kanda ya ziwa kwa ujumla,kodi inalipwa dar.
Siku serikal ikiamua kuwa na haki kodi ilipwe eneo la operation trust me pato la dar litapungua huenda ikafika 500B huku mikoa kama arusha mwanza pato la kodi TRA likiongezeka.JUST IMAGINE PROMO NDOGO TU KWA ZANZIBAR SAIVI UWANJA WA NDEGE ZANZIBAR NDO UNAPOKEA WAGENI WENGI KULIKO JKNIA.
NARUDIA TENA KODI YA MIZIGO YA WAFANYABIASHARA IKIKATWA HUKO WANAPOIPELEKA BASI NI KIAMA KWA DAR.HIZI ICDs ZIKITOZA KODI SEHEM MZIGO UNAPOCHUKULIA TEGEMEA KUSHUKA KWA HIO DAR YENU.
IKIFIKA HATUA KODI KWENYE MITANDAO YA SIMU IKALIPWA BY PERCENTAGE i mean TRA tabora ikachukua kodi kweny mitandao ya simu kutokana na mitandao ya simu ilivyofanaya biashara tabora,hapa ndo kutakua na ushindani sahihi sio saiv kodi ya mitandao nchi nzima inahesabika dar
Bro mawazo yako skuping though yako nje ya uhalisia
yan kuna vtu vilivyo ndo vishakua na ndio uhalisia wenyew,
na uhalisia sku zote huwez ukalinganisha na imagination
Mfano mambo ya natural wealthy unayoongelea n kweli lakini sio guarantee
Ni sawa na kusema Africa ina natural wealth kuliko uzunguni,
yeah ni kweli je kuna siku tumuone bongoland yuko mbele ya china??
it’s impossible bro, Ever na huo ndo uhalisia
Excuse zako be like, tukipata wasomi wengi
let’say Ma mineralogists af na madini tunayo ya kutosha tunawapiku wazungu…?
Tukipaata Ma Engineer Wengi kwa kuwa natural resources za kutosha mchina tumpiku[emoji1][emoji1]
We ulisikia wapi bro izo n just imagination bro uhalisia ushachukua nafasi na itabaki kuwa hivyo
Ma engineer wenyew Coet ndo hao wanalalamika Boom halitoshi[emoji28]
Na ndio Nature ya nchi za Africa iko ivo yan kuna Local Areas na jiji moja ambalo limetangulia mbali sanaaaah
yan majiji mengne hata yaandamane yaungane
yapigekura za hapana yachague raisi wao mbunge wao,
kushika main city n hamna hata kusogelea tu haiwezekani
Look at Lagos, Nairobi,kinshasa,Abuja Bila kusahau bandari ya salama, mzizima The DAR ES SALAAM[emoji91] hakuna mapinduzi yatawahi tokea
yan ndo vile vitu vikitokea ndo tiketi ya kusonga mbele /
au kuendelea kutokea Wazee wa cuba wanaelewa
n kama positive feedback Mechanism it Amplifies Changes rather than reversing the initials[emoji28][emoji28]
Kweli kaka mkubwa unakuja linganisha dsm na dodoma?
ambayo majengo makubwa/mazuri n ya serikali pekee???
ivi apo kati ukitoa ayo majengo ya gavoo ambayo
hata nkisema niyahesabu hapo naweza.’ Judicially square, takwimu, kikwete cc, Bot,pssf, Au basi🥲
Kuna nn knabaki au ndo mradi wa nyumba ef2 za mlimani pale
Airport inatia huruma airport majengo kama frem za kariakoo’’
Emirate ikishuka apo ina Burn out
Uwanja wa mpira ndo kabisa
Au ndo bandari kavu ya ihumwa kwenye vumbi la kufa mtu ile bandari ni kama store yan tena store ndogo ya mizigo kutoka bandar ya dar
Kama n SGR apo mbna imepita tu kawaida wenzio imepita juu ya jiji na hawasemi
Bro Dar watu wameinvest kuliko unavyodhania na ambavyo huwezi hata kudhania
You know TPA pale ndo Gateway ya East Africa na Central africa??
Dar ni mlango wa bahari kwa Almost East Africa na Kati
pia ndo maana unaona makontena bandarini yamepangw kama biscuit
malori huko mikoani
yanapishana hayaishii huko tu
mengi yanatoboa ndani hukooo congo sjui uganda sjui zambia
na taka taka zote unazozijua
JNIA ni International kuliko
unavyofikilia Emirates na Qatar zinaflow kama nyumban
Umesema Airport ya znzr iko juu nowadays kuliko jnia
ni kweli ila nataka tu nkurekebishe sio kwamba iko juu airpot ya znzbr,
ni just iko BUSY kuliko jnia
yan just anga lake liko busy kuliko anga la jnia that is..,
Na hio sio issue na huwezi kuilinganisha na jnia hata sku moja
kilichopo n kwamba airport ya zenji ina vijindege vdogo vdogo ving
ikiwemo vi private vya wazungu na watu wengine
wanavikodi wanpiga misele ya bara to and fro..
ndege nyingi n ndogo na ni sababu ya route za watalii pia,
Dar kuna five star kuliko unavyodhania yan kungekuepo na seven star zngekuwepo hata 10star
Unawajua sheraton? Wazee wa four points..’
Unawajua rotana?
kina johari hao[emoji2955] Majengo yao yote Mawili yapo Top 10 ya Highest Building in Africa
Then Dar ina majengo matatu kwenye Top 10 ya Majengo Marefu zaidi Africa (imagine Africaa bro South Africa, Naijeria, Morroco na wababe kibao still Majengo ma3 kati ya 10 yako Dar)
na hapo umeyahesabu kwa
grouping ukiyahesbu moja moja ni 5 Buildings[emoji913] yako top 10
HyattRegency na nyota tano kibao
na hapo ni just baadhi tu ya waliopo posta
Unadhani ni leo kuja huko kijijin waje kufata nn
sio leo bro Hii mikoa yetu unakuta
mkoa mzima unategemea Morena hoteli (sjataja mtu🥲)
Heshimu basi ata nguvu ya bahari kwenye progress za jiji, kuna jiji huko linategemea kitulo kama resort ya jiji[emoji16]
Kuna jiji huko hata miti haitaki kuhamia🫣🥲[emoji846]
Ukija Mall ya mji daah hata nsiongee
Makampuni yote ya mambele HQ zao Tz ziko Dar
Makampuni ya kubeti,
Macasino Legrand,WinPrincess na yoote unayo jua
Makampuni ya mitandao Airtel,Voda,Tigo na yote
Makampuni ya Magari Luxury BMW na Mashangingi kibao yako
Mtu akaweke show room ya MBW huko kijijin hana akili au
You guys Stop Comparing linganishen vitu zngne ukishndwa sana
bora tubishane kulinganisha Mat#ko ya zuchu na Manyonyo ya Masha Love yapi Makubwa[emoji23][emoji23]. apo sawa tutachangia
Dar tuiweken pemben then tuangalie tupambanishe nani na nani
Na sio Dodoma tu
hata izo Mwanza, Arusha sjui moro wapi Kujeni na vivid Example apa
hizo sehemu zote mi nazijua nje ndani[emoji119][emoji119] ndo maana mambo ya kulinganisha nishayaacha
Bro Dar is EVerything na haiji poteza ushawishi never
hata leo hii serikali ichomoe majengo yake yote ikaya pande dodoma af ichote na maji ya bahar ikayamwage dodoma
au ihamie dodoma af na Mwanza kama nyumba ndogo[emoji23][emoji23]
still nothing changes bro
sio Muonekano tu hata uchumi huwezi linganisha na local Areas
Hizo n Local Areas tu haipingiki
sasa kama kwenye top cities Africa
Dar iko nyuma ya nairobi kwahyo ni sawa na kusema Dodoma au Mwanza skumoja itaipita Nairobi[emoji913][emoji28][emoji28]
kama ulitoka kdogo kwenda kutafuta usiwe unakaa sana
#Tunauza viwanja na Mikoani Tunatuma[emoji23][emoji23][emoji23]
(Jokes[emoji39])
i much respect my former cities mwisho wa siku huko ndo tulikozaliwaa[emoji91][emoji119][emoji110][emoji110]