Ujue nyie mnawateteaUmeona eeh?
Nimebarikiwa na somo hili"Hiyo hela itume kwenye namba hii mpya: +252 799 80090011, jina litakuja: Chaelmi Majuu. Simu yangu ya kawaida inadaiwa."
Ukipokea meseji zenye ujumbe kama huo, usikasirike, usimtukane aliyekutumia, wala usifanye haraka kum-block. Mhubiri Injili. Mwambie: "Je, kuna faida gani ukiyapata mapesa yote ya ulimwengu huu kisha uyapoteze maisha yako na kutupwa motoni milele?" (Rum 8:36-37). Au mwambie: "Waongo hawataurithi ufalme wa Mungu (Ufu 21:8). Tubu leo huo udanganyifu, uokoke halafu umuombe Mungu akupe kazi itakayokuingizia pesa halali." Au mwambie: "Mshahara wa dhambi ni mauti."(Warumi 6:23). Mkaribishe pia aje kanisani Jumapili.
Kuna Mkuu alisema: "Binadamu wote ni ndugu zangu..."
Kama tunakubaliana na kauli hiyo, kwanini tusiwape habari njema ndugu zetu tunaoona wazi kabisa kwamba watapotea milele?
I feel good kwamba umebarikiwa. Haleluya!Nimebarikiwa na somo hili
Amen Mama Mtumishi mimi hua nawafikishia taarifa TCRA wakamkamateKuna Mkuu alisema: "Binadamu wote ni ndugu zangu..."
Kama tunakubaliana na kauli hiyo, kwanini tusiwape habari njema ndugu zetu tunaoona wazi kabisa kwamba watapotea milele?
Usipowatukana watakuzoeaKuwakanya waache uovu ni kuwatetea?
2075 nitakuja kuisoma hii nikiwa naangalia Dira ya Maendeleo 2100Usipowatukana watakuzoea
Kwamba utakua hai2075 nitakuja kuisoma hii nikiwa naangalia Dira ya Maendeleo 2100
Nani anayejua siku yake ya kufa? Wanaweza kufa ghafla wakiwa kwenye kutumbua maisha. Waambie mapema watubu. Hatupaswi kushughulika nao kichwa kichwa. Ubaya tunaulipa kwa kutenda wemaWalitaka kufaz wanatubu Dhambi zao ,wanasamehewa, wanakufa, kwenye ufufuo wa Uzima wamooo.
Hao wanaopata pesa kwa njia haramu hawaendi kanisani. Na kama wanaenda, basi wanaenda kwenye makanisa yasiyohubiri Injili iliyo hai.Mtu anapata pesa kwa njia ya haramu, anakwenda kutoa sadaka na mtumishi wa Mungu anambariki kwa kazi ya mikono yake 🔥 na hy sadaka inaenda kusambaza neno la Sir God 😎