"Hiyo hela itume kwenye namba hii mpya: +252 799 80090011"

Ukiwapotezea, watapoteza pesa za ndugu zako wasiojua udanganyifu huo. Waambie watubu dhambi ya wizi
mwenyew nina dhambi ya uzinzi inanisumbua hivyo siwezi toa kibanzi wakat na mm na boliti
 
Afadhali umekuwa mkweli didy muhenga . Hata hivyo sioni sababu kwanini unakubali dhambi ya uzinzi iendelee kukusumbua. Yesu yuko tayari kukuondolea hiyo dhambi ya uzinzi na kukupumzisha. Yesu anasema hivi katika Mathayo 11:28–30
"Njoni kwangu, ninyi nyote msumbukao na kulemewa na mizigo, nami nitawapumzisha...nanyi mtapata raha nafsini mwenu."

Fuatisha sala hii ya toba kwa moyo wako wa dhati, utaona kiu ya uzinzi inatoweka ghafla. Omba hivi:
"Ee Mungu Baba, nimetambua mimi ni mwenye dhambi. Leo nakuja mbele zako nikiomba msamaha wako. Natubu dhambi ya uzinzi na dhambi zangu zote. Nimeamua kuziacha kabisa. Nakiri kuwa Yesu Kristo ni Bwana, na Yeye ndiye Mwokozi wa ulimwengu. Yesu karibu moyoni mwangu utawale maisha yangu kuanzia leo. Naomba unipe nguvu ya kushinda dhambi na kuishi maisha matakatifu. Namkataa shetani na kazi zake zote. Asante Yesu kwa kuniokoa. Katika Jina la Yesu Kristo, ninaomba na kushukuru. Amen.”
Kama umeomba sala hiyo kwa moyo wako wa dhati, tayari umeokoka. Anza kusoma Biblia kila siku na kumuomba Mungu akusaidie kuishi maisha ya utakatifu. Tafuta pia Kanisa lolote linalohubiri wokovu na kufundisha utakatifu, ujiunge nalo, watakupa msaada zaidi wa jinsi ya kuendelea kiroho.

Mungu akutunze, akufunike kwa ulinzi wake, sasa na hata milele. Amen.
 
Mungu saidia niachane na masuala ya mbususu mpaka nioe
 
Ni wengi wameumizwa kwa mchezo huu, ni hivyo tu duniani ina kila aina ya watu
 
Nimeifuatisha
Amina. Ubarikiwe sana. Tayari umeokoka na dhambi umesamehewa. Kiri hivyo kuanzia sasa na usisikilize sauti zinazokuambia bado hujaokoka. Chukua hatua ile ya pili ya kuanza kusoma Biblia. Anzia Agano Jipya. Kama huna Biblia unaweza ku-download app ya Biblia, Play Store. Na uanze kumuomba Mungu kila siku akusaidie kushinda dhambi na majaribu yote. Jumapili hii tafuta pia Kanisa linalohubiri wokovu na utakatifu ujiunge nalo. Waambie umeokoka kwa njia ya mtandao. Watakusaidia jinsi ya kuendelea mbele. Mungu akupe ushindi daima.
 
Swali la pili kwanini muda wa usiku wa maneno ndiyo inasemekana ndiyo muda Mungu usikiliza maombi yetu kwa ufasaha na hujibu haraka maombi yetu
 
Kwa sababu kunakua na utulivu Meditation inafaaanya kazi vizuri kuliko mchana makelele ni mengi Mungu anakosa usikivu, sasa hivi hapo kunja goti muombe Mungu uwe Malaika niamini mimi Mungu atakutimizia ombi lako shahidi Kiranga
 
Wow, your compliment means a lot to me Mjuni Lwambo . Thank you for seeing the good in me. May God reward your kindness, for as the Scripture says, ‘Pleasant words are as a honeycomb, sweet to the soul and healing to the bones’ (Proverbs 16:24). I pray that our interaction continues to reflect His love and light, and that His grace abounds in all you do.
You are welcome, setfree.

I like English, but am not too much familiar about it, i just try.

One day, not too long, I will aks you about the God you believe, i think it will be a nice discusion.
 
Thank you for your honesty and willingness to try English. it’s a great start! I look forward to that day when we can have a meaningful discussion about God. I believe it will be a wonderful and enriching conversation. Feel free to ask anytime you’re ready!
 
Thank you.
 
Mama Paroko, mimi nina swali nataka nikuswalike
 
Back
Top Bottom