Setfree
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 6,238
- 8,194
- Thread starter
- #61
Swali lako limejibiwa vizuri kwenye uzi huu:Hivi nikuulize swali mchungaji alieoa mwanamke msumbufu je akitafuta mwanamke mwingine hii kitaaluma ni dhambi ya uzinzi au afanyaje
Je, unajua kwamba huyo mke/mme uliye naye sasa sio wako?
Naongea na wewe uliyeachana na mwenzi wako wa kwanza na kuoa au kuolewa tena. Nakujulisha kuwa huyo mke/mume uliye naye sasa sio wako mbele za Mungu — unazini. Katika dunia ya sasa ambapo talaka na ndoa ya pili au ya tatu zinaonekana kama jambo la kawaida, ni muhimu sana kwa watu wanaotamani...