"Hiyo hela itume kwenye namba hii mpya: +252 799 80090011"

HAO JAMAA nilowajibu subiri kidogo na kutumia ETI baba. Baadae nika uliza VIPI umeioma NMETUMA YOTE .......

Kwishaaaaaaa

Bro Alex on da beats
 
Mimi namwambia sawa,natuma, nakaa baada ya muda namwambia nimeshatuma.

Wakigombana ni furaha kwangu.
 
Wewe umerudi kufanyaje ...si ulisema umeondoka...
 
HAO JAMAA nilowajibu subiri kidogo na kutumia ETI baba. Baadae nika uliza VIPI umeioma NMETUMA YOTE .......

Kwishaaaaaaa

Bro Alex on da beats
Wewe sasa umeingia kwenye mtego huohuo wa kusema uongo. Waambie tu ukweli watubu maana ufalme wa mbinguni umekaribia (Mathayo 3:2)
 
Adui unayemuweza usimwachie Mungu
Kwanza hao ni vigumu kuwaweza kwa sababu wamebobea kwenye wizi wa mtandaoni. Hata hivyo Mungu hapendi tulipe kisasi.
Warumi 12:19
“Wapenzi, msijilipizie kisasi, bali ipisheni ghadhabu ya Mungu; kwa maana imeandikwa, Kisasi ni juu yangu Mimi; Mimi nitalipa, asema Bwana.”
 
Hivi ni kitabu gani kilisema jino kwa jino tena
 
Wewe si ulituaga hapa jamvini, inakuwaje unarudi kinyumenyume......
 
Imeandikwa katika Agano la Kale. Yesu alipokuja alibadili amri hiyo. Alifanya "reforms" ya sheria kadhaa za Musa.
Mathayo 5:38-39
“Mmesikia kwamba imenenwa, Jicho kwa jicho, na jino kwa jino;
Lakini mimi nawaambia, Msimshindane na mtu mwovu; bali mtu akupigaye shavu la kuume, mgeuzie na la pili.”
 
Wewe si ulituaga hapa jamvini, inakuwaje unarudi kinyumenyume......
Mbona nimepiga hodi, mkuu, kwamba narudi. Wanaorudi kinyume nyume ni wachawi. Mimi nimeokoka kisawasawa.
By the way, ulifurahi nilipoaga?
 
"Hiyo hela itume kwenye namba hii mpya: +252 799 80090011, jina litakuja: Chaelmi Majuu. Simu yangu ya kawaida inadaiwa."

Ukipokea meseji zenye ujumbe kama huo, usikasirike, usimtukane aliyekutumia, wala usifanye haraka kum-block. Mhubiri Injili. Mwambie: "Je, kuna faida gani ukiyapata mapesa yote ya ulimwengu huu kisha uyapoteze maisha yako na kutupwa motoni milele?" (Rum 8:36-37). Au mwambie: "Waongo hawataurithi ufalme wa Mungu (Ufu 21:8). Tubu leo huo udanganyifu, uokoke halafu umuombe Mungu akupe kazi itakayokuingizia pesa halali." Au mwambie: "Mshahara wa dhambi ni mauti."(Warumi 6:23). Mkaribishe pia aje kanisani Jumapili.

Kuna Mkuu alisema: "Binadamu wote ni ndugu zangu..."
Kama tunakubaliana na kauli hiyo, kwanini tusiwape habari njema ndugu zetu tunaoona wazi kabisa kwamba watapotea milele?
Nimefurahi umerudi kutuhubiria tena! Ubarikiwe mtumishi wa Mungu aliye juu!
 
Nakupendea kitu kimoja tu.

Una kiingereza kizuri sana. I like you.
 
Nakupendea kitu kimoja tu.

Una kiingereza kizuri sana. I like you.
Wow, your compliment means a lot to me Mjuni Lwambo . Thank you for seeing the good in me. May God reward your kindness, for as the Scripture says, ‘Pleasant words are as a honeycomb, sweet to the soul and healing to the bones’ (Proverbs 16:24). I pray that our interaction continues to reflect His love and light, and that His grace abounds in all you do.
 
Back
Top Bottom