Hizbullah: Tumeishambulia Israel mara 961 tangu vilipoanza vita vya Gaza

Wafia dini bana ni wabishi sana wakianza kushushiwa kipondo wana lia lia wanaonewa wakiachwa wanajitangaza washindi
 
Wazayuni wa jf wanaona kila mtu mjinga kama walivyo wao
Na mwambie kuna maelfu ya watu wamehamishwa huko mpakani mwa Lebanon sababu ya dozi inayotembea imekua kubwa
hata km unashinda vita utawaacha raia wako kweny buffer zone ?
 
View attachment 2896356

Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon imetangaza kuwa tangu vilipoanza vita vya Gaza hadi sasa imetekeleza operesheni 961 dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel.
Kwa mujibu wa IRNA, katika mashambulizi hayo kambi na vituo vya kijeshi vya utawala wa Kizayuni na askari wa utawala huo katika eneo la kaskazini mwa Palestina inayokaliwa kwa mabavu wamelengwa mara kadhaa na mashambulizi ya makombora na ndege zisizo na rubani.

Aidha, Hizbullah ya Lebanon ilitangaza jana Jumapili kwamba imevilenga kwa makombora vituo vya Roysat al-Alam na Zabadin katika mashamba ya Shabaa ya ardhi za Lebanon zinazokaliwa kwa mabavu na utawala huo ghasibu.
4by72c21e3a73e1za8f_800C450.jpg

Sambamba na kuanza operesheni ya Kimbunga cha Al-Aqsa iliyotekelezwa na makundi ya muqawama ya Palestina Oktoba 7, 2023, harakati ya Hizbullah ya Lebanon imekuwa nayo ikitekeleza oparesheni kali kila siku dhidi ya ngome za utawala wa Kizayuni ili kuzidi kuwashughulisha askari wengi wa jeshi la Kizayuni kaskazini mwa Palestina inayokaliwa kwa mabavu na kupunguza mashinikizo dhidi ya muqawama katika eneo la Gaza.

Operesheni za Hizbullah zilianza siku moja tu baada ya kuanza operesheni ya Kimbunga cha al-Aqsa sambamba na uvamizi wa utawala wa Kizayuni katika Ukanda wa Gaza.

Kuhusiana na suala hilo, vyombo vya habari vya Kizayuni vimekiri mara kadhaa kwamba Hizbullah ingali ina nguvu kubwa zaidi za kijeshi katika eneo la kaskazini mwa ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na kwamba jeshi la Israel limenasa kwenye mtego wa eneo hilo.../
wamerusha roketi zaidi ya 900 lakini madhara ni zero. hapo sasa wanajisifu nini hawa magaidi wapumbavu?
 
Toka kipindi hicho wamefanya nini maana sasa hivi nasikia wanapigwa kipigo cha mbwa-kachoka huko Lebanon kusini,.
 
Mashambulizi 900 na bado Israel haijatikisika? Aisee hawa walikuwa wanarusha mawe na sio makombora, Israel ingekuwa imefanya mashambulizi kwa idadi hiyo ungekuta hiyo Beirut imekuwa Gaza, Israel inapigana kistaarabu sana
 
Back
Top Bottom