Hizbullah: Tumeishambulia Israel mara 961 tangu vilipoanza vita vya Gaza

Wafia dini bana ni wabishi sana wakianza kushushiwa kipondo wana lia lia wanaonewa wakiachwa wanajitangaza washindi
 
Wazayuni wa jf wanaona kila mtu mjinga kama walivyo wao
Na mwambie kuna maelfu ya watu wamehamishwa huko mpakani mwa Lebanon sababu ya dozi inayotembea imekua kubwa
hata km unashinda vita utawaacha raia wako kweny buffer zone ?
 
wamerusha roketi zaidi ya 900 lakini madhara ni zero. hapo sasa wanajisifu nini hawa magaidi wapumbavu?
 
Mmeaua halafu bado mmekaliwa
Israhell iliikalia Lebanon kabla kuzaliwa kwa Hizbullah
Hizbullah ndio inarejesha sehemu za Lebanon zilizokua zimetekwa na hao mazayuni
 
Toka kipindi hicho wamefanya nini maana sasa hivi nasikia wanapigwa kipigo cha mbwa-kachoka huko Lebanon kusini,.
 
Mashambulizi 900 na bado Israel haijatikisika? Aisee hawa walikuwa wanarusha mawe na sio makombora, Israel ingekuwa imefanya mashambulizi kwa idadi hiyo ungekuta hiyo Beirut imekuwa Gaza, Israel inapigana kistaarabu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…