Hizbullah: Utawala wa Israel haukuwa na budi kukubali usitishaji vita kwa kushindwa kukomboa hata mateka mmoja

Hiyo umesema wewe sisi tunachojua so far jeshi la israel limeshindwa kuwakomboa watu wake na imewalazimu kukaa mezani na wanaowaita magaidi
Mnavyoandika utadhani mnaujua ukweli.Kwamba "mayahudi" wamewaomba Hamas wakae mezani?Kwa vichekesho hivyo tuwaombe Qatar waamulie.
 
Marekani kaomba na netanyahu akamshukuru bidden kwa kuwaokoa waisrael na kufanikisha deal hilo hata wakati israel anadundwa na hezbollah 2006 it was america aliyeomba ceasefire baada ya kuona hali siyo nzuri kwa ndugu yake
 
Mjinga yeyote lazima achezewe akili.
 
Lebanon ilikuwa chini ya Kristo, waislamu wakazaliana na mwisho wakaleta wakimbizi na baada ya hapo wakaanza kuvunja makanisa, ua wakristo na mpaka leo lebanon inaonekana ya waislamu, same is happening kwa ulaya, america etc, muislamu anazaa watoto mpaka 20 na dini nyingine mtoto mmoja au wawili, na bado wahamiaji na hili miaka inayokuja dunia itakuwa na waislamu
... hata huyo muislam akizaa Watoto 100, uislam au ukristo wa mtoto unabaki kuwa maamuzi yake mwenyewe! ... ni vigumu sana kumrisisha mtoto dini katika zama hizi za muingiliano mkubwa wa tamaduni, elimu kubwa ya sayansi na ugumu wa maisha unaomnyima kabisa muda mzazi kukaa na kuiathiri familia yake kiutamaduni!
 
Kwa waislamu, mtoto akikataa dini wanamuua, siyo option!
 
Mwehu wewe. Halafu unalishwa na bibi yako
Mwehu ni Mtume wako Mudy aliupata akaingiwa na Iblisi akaanza kuandika Aya ya Shetani Surah Jini Allah baadae akamuambia ataziondosha hizo aya za Shetani kwenye Koran na hakuwahi ziondoa hadi leo mnazisoma na kuzifuata.. uwehu ulipata akawa anadai kuwa anawalala wake zake wote aisha akasema Mumewe amewehuka baada ya kuingiwa na Iblisi..

Kulishwa na Bibi sio jambo baya kama Mtume wako alizaliwa Miaka minne baada ya kifo cha Baba yake Abdullah mmeaminishwa mkakubali hii inamaana Mudy ni mtoto za zinaa Son of ''Muta'' jina lake alirithi kwa Mjomba wake alipozaliwa akaitwa Qutham baadae akajipa jina la uungu Mohammad Praiseworthy yaani mwenye kustahili sifa atukuzwe hadi leo mnamuabudu na kumtukuza Mohammad
 
Hivi hao mateka wamefichwa wapi na Hamas aisee! Naona kama vile muvi kumbe ni laivu!

Kwenye muvi sasa huwa kuna ile hali ya kutaimiana, yaani mnakutana ile tu kupeana kisogo upande mmoja unataimu upande mwingine na kushambulia.

Sijajua katika makabidhiano ya mateka huko Gaza mbinu zipi zinatumika. Wanakutana sehemu moja au inakuwaje?

Hakika dunia ni uwanja wa fujo.
 
Nov 26, 2023 02:26 UTC

Naibu Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema, utawala wa Kizayuni umelazimika kukubali usitishaji vita baada ya kushindwa kumkomboa hata mateka wake mmoja kupitia mashambulio ya ardhini dhidi ya Ukanda wa Gaza.

Usitishaji vita wa siku nne kati ya utawala wa Kizayuni na Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS katika Ukanda wa Gaza ulianza kutekelezwa juzi Ijumaa saa moja asubuhi kwa wakati wa eneo hilo.

Kwa mujibu wa vyombo vya habari vya Lebanon, Sheikh Naim Qassem, Naibu Katibu Mkuu wa Hizbullah amesisitiza kuwa "baada ya siku 49, imeamuliwa kwamba usitishaji vita wa muda uliofikiwa unaweza kurefushwa. Israel haikutaka kusitisha vita, bali imelazimika kuukubali kwa sababu utawala huo wa Kizayuni ulikuwa umepiga upatu wa kuwakomboa mateka wake kwa kufanya mashambulio ya ardhini, lakini baadaye ikabainika kuwa haukuweza kukomboa hata mateka mmoja kupitia mashambulio yake hayo.

Sheikh Naim Qassem
Sheikh Qassem amebainisha kuwa, mmoja wa viongozi wa Hamas ametueleza kwamba, katika muda wote huu, miundomsingi ya Muqawama ya chini ya ardhi haijaharibiwa hata kidogo na baada ya kumalizika usitishaji vita, ikiwa adui atarudi, na sisi tutarudi na wataona harakati za kuwashangaza ambazo hawajawahi kuziona maisha mwao.

Sheikh Naim Qassem amesisitiza kwa kusema, "sisi tunapigana vita vya haki dhidi ya batili kupitia Muqawama; vita vya ukombozi wa ardhi kutoka kwa wavamizi na maghasibu na vita vya kuirejesha Quds. Vita hivi haviwahusu Wapalestina peke yao, bali ni vita vya usalama wa kiutamaduni, kijamii, kimaadili na kisiasa".

Naibu Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema, Kimbunga cha Al-Aqsa ni operesheni kubwa na ni mradi unaoonyesha imani iliyopo juu ya Muqawama na akaongeza kuwa operesheni hiyo ni mafanikio ya kihistoria ambayo yatabaki kuwa ya kudumu.

Kimbunga cha Al-Aqsa ni ushindi ambao umesajiliwa juu ya ardhi ya Palestina na nyoyo za Wapalestina; na kushindwa kwa Wazayuni pia kumesajiliwa juu ya nyoyo zao; na matokeo ya vita hivyo yatabainika katika siku au miaka ijayo.

Tupate commercial brake 👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇​

Hamas says key commander killed in Gaza

The armed wing of Hamas has revealed that senior commander Ahmed al-Ghandour, in charge of northern Gaza, was killed in the war.
Three other military leaders have also been killed in the fighting, the Qassam Brigades posted on its Telegram channel.
The US listed al-Ghandour as a “specially designated global terrorist” in 2017, putting him on an economic sanctions list.
 
Hawa jamaa ni mabingwa wa maneno mbele ya Mic na hisi ndio sifa moja wapo ya kuchaguliwa kuwa kiongozi wa kundi hili LA hamas. Yaani wenyewe ndio wameomba poo Israel isimamishe mapigano kwa mda ili misaada ya kibinadamu iwafikie wanagaza wakiwamo wapiganaji wa hamas ili isije kuwa catastrophic kwao lakini uwasilishaji wa huyu kiongozi as if Israel ndio kalemewa ile mbaya na mapigano .Israel's priority kwenda Gaza ni kuwaondolea hamas uwezo wa kijeshi na sio kuokoa mateka, maana bila hivyo mashambulizi ya aina ya oct 7 yatajirudia tena na tena na ndio maana IDF inaomba four days truce iishe haraka watimize malengo yake ya kijeshi hapo Gaza
 
Kama

Nov 26, 2023 02:26 UTC

Naibu Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema, utawala wa Kizayuni umelazimika kukubali usitishaji vita baada ya kushindwa kumkomboa hata mateka wake mmoja kupitia mashambulio ya ardhini dhidi ya Ukanda wa Gaza.

Usitishaji vita wa siku nne kati ya utawala wa Kizayuni na Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS katika Ukanda wa Gaza ulianza kutekelezwa juzi Ijumaa saa moja asubuhi kwa wakati wa eneo hilo.

Kwa mujibu wa vyombo vya habari vya Lebanon, Sheikh Naim Qassem, Naibu Katibu Mkuu wa Hizbullah amesisitiza kuwa "baada ya siku 49, imeamuliwa kwamba usitishaji vita wa muda uliofikiwa unaweza kurefushwa. Israel haikutaka kusitisha vita, bali imelazimika kuukubali kwa sababu utawala huo wa Kizayuni ulikuwa umepiga upatu wa kuwakomboa mateka wake kwa kufanya mashambulio ya ardhini, lakini baadaye ikabainika kuwa haukuweza kukomboa hata mateka mmoja kupitia mashambulio yake hayo.

Sheikh Naim Qassem
Sheikh Qassem amebainisha kuwa, mmoja wa viongozi wa Hamas ametueleza kwamba, katika muda wote huu, miundomsingi ya Muqawama ya chini ya ardhi haijaharibiwa hata kidogo na baada ya kumalizika usitishaji vita, ikiwa adui atarudi, na sisi tutarudi na wataona harakati za kuwashangaza ambazo hawajawahi kuziona maisha mwao.

Sheikh Naim Qassem amesisitiza kwa kusema, "sisi tunapigana vita vya haki dhidi ya batili kupitia Muqawama; vita vya ukombozi wa ardhi kutoka kwa wavamizi na maghasibu na vita vya kuirejesha Quds. Vita hivi haviwahusu Wapalestina peke yao, bali ni vita vya usalama wa kiutamaduni, kijamii, kimaadili na kisiasa".

Naibu Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema, Kimbunga cha Al-Aqsa ni operesheni kubwa na ni mradi unaoonyesha imani iliyopo juu ya Muqawama na akaongeza kuwa operesheni hiyo ni mafanikio ya kihistoria ambayo yatabaki kuwa ya kudumu.

Kimbunga cha Al-Aqsa ni ushindi ambao umesajiliwa juu ya ardhi ya Palestina na nyoyo za Wapalestina; na kushindwa kwa Wazayuni pia kumesajiliwa juu ya nyoyo zao; na matokeo ya vita hivyo yatabainika katika siku au miaka ijayo.
Kama Israel ameshindwa mbona hamas amekubali kuwaachia mateka 50.

Wao magaidi ndio walitaka sana vita isimame.

Hadi sasa wapalestina elfu 15 wamekufa na baadhi kuzikwa makaburi ya halaiki huku maelfu wengine wakijeruhiwa, halafu hizbolla anasema Israel amesbindwa. Israel ameishasema vita itaendelea kwa walau miezi miwili ili watimize malengo yao. Wao kama wanaona wanashinda basi vita iendelee tu ili waendelee kushinda kwani walnalalamika wao hawaufurahii ushindi?
 
Hawa jamaa ni mabingwa wa maneno mbele ya Mic na hisi ndio sifa moja wapo ya kuchaguliwa kuwa kiongozi wa kundi hili LA hamas. Yaani wenyewe ndio wameomba poo Israel isimamishe mapigano kwa mda ili misaada ya kibinadamu iwafikie wanagaza wakiwamo wapiganaji wa hamas ili isije kuwa catastrophic kwao lakini uwasilishaji wa huyu kiongozi as if Israel ndio kalemewa ile mbaya na mapigano .Israel's priority kwenda Gaza ni kuwaondolea hamas uwezo wa kijeshi na sio kuokoa mateka, maana bila hivyo mashambulizi ya aina ya oct 7 yatajirudia tena na tena na ndio maana IDF inaomba four days truce iishe haraka watimize malengo yake ya kijeshi hapo Gaza
Baada ya siku nne kipondo kwa panyarodi magaidi wa kipalestina kitapokuwa kinaendelea kama kawaidia kuna masheikh ubwabwa watakuja kulialia humo JF.
 
Mwehu ni Mtume wako Mudy aliupata akaingiwa na Iblisi akaanza kuandika Aya ya Shetani Surah Jini Allah baadae akamuambia ataziondosha hizo aya za Shetani kwenye Koran na hakuwahi ziondoa hadi leo mnazisoma na kuzifuata.. uwehu ulipata akawa anadai kuwa anawalala wake zake wote aisha akasema Mumewe amewehuka baada ya kuingiwa na Iblisi..

Kulishwa na Bibi sio jambo baya kama Mtume wako alizaliwa Miaka minne baada ya kifo cha Baba yake Abdullah mmeaminishwa mkakubali hii inamaana Mudy ni mtoto za zinaa Son of ''Muta'' jina lake alirithi kwa Mjomba wake alipozaliwa akaitwa Qutham baadae akajipa jina la uungu Mohammad Praiseworthy yaani mwenye kustahili sifa atukuzwe hadi leo mnamuabudu na kumtukuza Mohammad
sisi hatuwezi kutusi ila nyie munaweza maana ndivyo mulivyolelewa na yesu nae inajulikana kabisa hakuwa na baba nae utamsemaje nakuuliza wewe mwenye kujua matusi
 
Mwehu ni Mtume wako Mudy aliupata akaingiwa na Iblisi akaanza kuandika Aya ya Shetani Surah Jini Allah baadae akamuambia ataziondosha hizo aya za Shetani kwenye Koran na hakuwahi ziondoa hadi leo mnazisoma na kuzifuata.. uwehu ulipata akawa anadai kuwa anawalala wake zake wote aisha akasema Mumewe amewehuka baada ya kuingiwa na Iblisi..

Kulishwa na Bibi sio jambo baya kama Mtume wako alizaliwa Miaka minne baada ya kifo cha Baba yake Abdullah mmeaminishwa mkakubali hii inamaana Mudy ni mtoto za zinaa Son of ''Muta'' jina lake alirithi kwa Mjomba wake alipozaliwa akaitwa Qutham baadae akajipa jina la uungu Mohammad Praiseworthy yaani mwenye kustahili sifa atukuzwe hadi leo mnamuabudu na kumtukuza Mohammad
isitoshe sisi tunamuheshimu yesu maana ni mtume wa mungu tunamtambua kwa jina la isa mjumbe na mtume wa allah
 
Back
Top Bottom