Hizbullah warudi tena uwanjani kuungana na wenzao wa Houth na Hamas kuidonoa Israel

Webabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2010
Posts
10,509
Reaction score
16,734
Maroketi matatu kutoka Lebanon yamerushwa uwelekeo wa Israel.

Hii ni mara ya kwanza kwa Hizbullah kurusha maroketi tangu pale walipotiliana saina na Israel kusitisha vita.
Kama kawaida ving'ora vililia kwa sauti kali kwenye mji wa Metulla wa kaskazini ya Israel.

Inaonekana subira imewashinda Hizbullah baada ya kuvumila kwa muda mrefu ambapo Israel kama ilivyofanya Gaza imekwenda kinyume na mkataba wa kusitisha vita ,

Kwa ujumla mashambulizi ya vikundi vyote hivyo havijaweza kuirudisha nyuma Israel kuendelea na vita. Hata hivyo ni kipimo cha kueonesha maumivu wanayoyapata bila kuzuizi,na ni kunyme kabisa na zinavyofanya nchi kadhaa zinazopakana na taifa hilo dhalimu.
 
Attachments

  • 1742625124374.png
    1742625124374.png
    619.6 KB · Views: 39

Sasa hizo roketi huwa zinasaidia nini toka wameanza kurusha sioni madhara kwa Israel huwa zinaishia kupanguliwa mwenzao Israel anatumia ndege F 35 anakula vichwa vya magaidi kila kukicha Jana tu mashambulizi ya anga ya Israel yameondoka na msemaji wa Islamic Jihadi gaidi Abu Hamza
 
Wewe huwezi kuona, kwa sababu macho yako yanaona upande mmoja.
 
Lkn kweli, ukipiga tathmini unakuta waarabu akili zao Ni finyu coz toka vita zimeanza sijaona shambulio lolote baya lakuharibu Israel zaidi ya wale watoto wa golani na mateka kuchukuliwa lkn hata mateka wenyewe baadhi yao wamewarudisha😀😀😀 inawezekana wanaroho nzuri 😁 maana wao wanapigwa kweli lkn hawarudishi mashambuliz😂😂😂
 
Maroketi matatu kutoka Lebanon yamerushwa uwelekeo wa Israel.

Hii ni mara ya kwanza kwa Hizbullah kurusha maroketi tangu pale walipotiliana saina na Israel kusitisha vita.
Kama kawaida ving'ora vililia kwa sauti kali kwenye mji wa Metulla wa kaskazini ya Israel.

Inaonekana subira imewashinda Hizbullah baada ya kuvumila kwa muda mrefu ambapo Israel kama ilivyofanya Gaza imekwenda kinyume na mkataba wa kusitisha vita ,

Kwa ujumla mashambulizi ya vikundi vyote hivyo havijaweza kuirudisha nyuma Israel kuendelea na vita. Hata hivyo ni kipimo cha kueonesha maumivu wanayoyapata bila kuzuizi,na ni kunyme kabisa na zinavyofanya nchi kadhaa zinazopakana na taifa hilo dhalimu.
Soma isaya 10:33_34 Lebanon
 
Sasa hizo roketi huwa zinasaidia nini toka wameanza kurusha sioni madhara kwa Israel huwa zinaishia kupanguliwa mwenzao Israel anatumia ndege F 35 anakula vichwa vya magaidi kila kukicha Jana tu mashambulizi ya anga ya Israel yameondoka na msemaji wa Islamic Jihadi gaidi Abu Hamza
Wewe uliyepo huko Mbande gari zisikofika unasema hivyo.Meya wa kaskazini ya Israel amlaumu Netanyahu kwa kuwarudishia tena hofu za kudondokewa na maroketi.
 
Maroketi matatu kutoka Lebanon yamerushwa uwelekeo wa Israel.

Hii ni mara ya kwanza kwa Hizbullah kurusha maroketi tangu pale walipotiliana saina na Israel kusitisha vita.
Kama kawaida ving'ora vililia kwa sauti kali kwenye mji wa Metulla wa kaskazini ya Israel.

Inaonekana subira imewashinda Hizbullah baada ya kuvumila kwa muda mrefu ambapo Israel kama ilivyofanya Gaza imekwenda kinyume na mkataba wa kusitisha vita ,

Kwa ujumla mashambulizi ya vikundi vyote hivyo havijaweza kuirudisha nyuma Israel kuendelea na vita. Hata hivyo ni kipimo cha kueonesha maumivu wanayoyapata bila kuzuizi,na ni kunyme kabisa na zinavyofanya nchi kadhaa zinazopakana na taifa hilo dhalimu.
Mtu anaenda kupigwa kama mbwa koko tena
 
Wenye kulia huko Lebanon hasa hasa watakua ni wanawake na watoto kwa maana kama kawaida ndio watakaokuwa ngao ya hao magaidi.
 
Wewe huwezi kuona, kwa sababu macho yako yanaona upande mmoja.
HAyo makombora hayana msaada wowote kwa warushaji, zaidi ya show off za kijinga.

Yatarushwa, yanaangukia maporini, kiasi yanaweza kuvunja majengo. Hao Israel wakijibu tu, utasikia idadi ya waliouawa.

Vitendo hivyo vya vikundi vya kigaidi vitazidi kuwapa justification Israel, ya kuendelea kuwamaliza.
 
Haya athari huku yakirushwa watu wanakimbia makazi, au hufahamu athari zake kiuchumi?.
 
Back
Top Bottom