Hizbullah warudi tena uwanjani kuungana na wenzao wa Houth na Hamas kuidonoa Israel

Hezbullah hakupiga walio piga ni kikundi cha wa Palestine, lakini Israel nasikia kashambulia target za Hezbullah. Nacho taka hapa Serekali ya Lebanon iwache kucheza mchezo wa double face akipigwa Hezbullah unawambia usirudishe huo ni ujinga sana.
 
Sasa hizo roketi huwa zinasaidia nini toka wameanza kurusha sioni madhara kwa Israel huwa zinaishia kupanguliwa mwenzao Israel anatumia ndege F 35 anakula vichwa vya magaidi kila kukicha Jana tu mashambulizi ya anga ya Israel yameondoka na msemaji wa Islamic Jihadi gaidi Abu Hamza
Ndio vita ni gharama hiyo inasaidia kuwadraine kumbuka hizo silaha zote zinatoka usa ... uchumi ukiwa mbaya na gharama za maisha zikiwa kubwa sana wananchi watapamnana na serikali na kutengeneza machafuko zaidi
 
Wenye kulia huko Lebanon hasa hasa watakua ni wanawake na watoto kwa maana kama kawaida ndio watakaokuwa ngao ya hao magaidi.
Rabi wa Metula naye ameanza kulio mapema.Wanataka waishi kwa starehe sio hofu kila siku ya kudondokewa na mapande ya mabomu mazima mazima au yaliyovurugwa angani. Si maisha hayo
 
Ndio vita ni gharama hiyo inasaidia kuwadraine kumbuka hizo silaha zote zinatoka usa ... uchumi ukiwa mbaya na gharama za maisha zikiwa kubwa sana wananchi watapamnana na serikali na kutengeneza machafuko zaidi
Vietnama baada ya miaka kadhaa ilianza kama hivyo na mwishowe ikashindikana kabisa.
 
Maroketi matatu kutoka Lebanon yamerushwa uwelekeo wa Israel.

Hii ni mara ya kwanza kwa Hizbullah kurusha maroketi tangu pale walipotiliana saina na Israel kusitisha vita.
Kama kawaida ving'ora vililia kwa sauti kali kwenye mji wa Metulla wa kaskazini ya Israel.

Inaonekana subira imewashinda Hizbullah baada ya kuvumila kwa muda mrefu ambapo Israel kama ilivyofanya Gaza imekwenda kinyume na mkataba wa kusitisha vita ,

Kwa ujumla mashambulizi ya vikundi vyote hivyo havijaweza kuirudisha nyuma Israel kuendelea na vita. Hata hivyo ni kipimo cha kueonesha maumivu wanayoyapata bila kuzuizi,na ni kunyme kabisa na zinavyofanya nchi kadhaa zinazopakana na taifa hilo dhalimu.
Screenshot_20250322-164359.jpg

Kwa mara ya kwanza ndio nawasikia Hizbullah ktk lugha hii kweli Hali ni mbaya kwao.
 
Hizbullah wamekanusha lakini
 
Ndio vita ni gharama hiyo inasaidia kuwadraine kumbuka hizo silaha zote zinatoka usa ... uchumi ukiwa mbaya na gharama za maisha zikiwa kubwa sana wananchi watapamnana na serikali na kutengeneza machafuko zaidi
Wewe uliyepo huko Mbande gari zisikofika unasema hivyo.Meya wa kaskazini ya Israel amlaumu Netanyahu kwa kuwarudishia tena hofu za kudondokewa na maroketi.
meya wa wapi huyo acha unafiki wewe mfia dini wakati Hezbollah wamekana
 
View attachment 3279777
Kwa mara ya kwanza ndio nawasikia Hizbullah ktk lugha hii kweli Hali ni mbaya kwao.
Tatizo we ni mtu hufahamu kukanusha sio kwamba anaogopa, hio ni warning anapewa serekali ya Lebanon na Hezbullah kuwa hawa Israel sio wakusign nao deal.

Hezbullah huwa analaumiwa na Serekali ya Lebanon kuwa hataki peace wakati asiye taka peace ni Israel.

We kama unadhani Hezbullah ni dhaifu we tulizana siku sio nyingi utaona mvua za missiles zikutua Tela Aviv.

Israel ataendelea kupiga Lebanon akidhani Hezbullah hata revenge, sababu serekali mpya ya Lebanon haitamruhusu Hezbullah kurevang, na huo ndio ujinga ambao Israel anao. Hajui hapo Hezbullah anatafuta point aone serekali ya Lebanon watafanya nini, akiona hawazui Israel kuleta ujinga wake paleLebanon itabidi wao waingie vitani sababu jeshi la Lebanon halina uwezo wa kuilinda Lebanon.
 
Hizbullah wamekanusha lakini
Wanaogopa kichapo kisije rudi tena ndio maana wamekanusha mapema, nikikumbuka walivyo kuwa wanapambwa na waarabu weusi humu kuwa jamaa ni kama mbuyu wana kila siraha lsrael inaenda kuangamizwa na blabla nyingi plus ushuzi, ila shoka moja tu mbuyu chini,kudadeki zako netanyau 😅😂😂 magaidi mavi debe mpaka kufikia kukanusha kama sio wahusika pumbavu zao si walijitangaza wanaweza palingi vipi wanakimbia ulingo hao mashoga?
 
Hezbollah hawamuogopi Trump? Trump,raisi anaye ogopwa kwa tabia zake?
 
Lkn kweli, ukipiga tathmini unakuta waarabu akili zao Ni finyu coz toka vita zimeanza sijaona shambulio lolote baya lakuharibu Israel zaidi ya wale watoto wa golani na mateka kuchukuliwa lkn hata mateka wenyewe baadhi yao wamewarudisha😀😀😀 inawezekana wanaroho nzuri 😁 maana wao wanapigwa kweli lkn hawarudishi mashambuliz😂😂😂
Wale wanapigana na wanajeshi ila Israel inaua raia .asa hapo ndio ujiulize gaidi nani
 
Wanaogopa kichapo kisije rudi tena ndio maana wamekanusha mapema, nikikumbuka walivyo kuwa wanapambwa na waarabu weusi humu kuwa jamaa ni kama mbuyu wana kila siraha lsrael inaenda kuangamizwa na blabla nyingi plus ushuzi, ila shoka moja tu mbuyu chini,kudadeki zako netanyau 😅😂😂 magaidi mavi debe mpaka kufikia kukanusha kama sio wahusika pumbavu zao si walijitangaza wanaweza palingi vipi wanakimbia ulingo hao mashoga?
Ungetafuta picha za israel kaskazini,ungejiuliza kwa nini wakati wa israel kaskazini walihama,ungejiuliza pia israel aliichukua ardhi ya lebanon kiasi gani miezi yote ya vita
 
HAyo makombora hayana msaada wowote kwa warushaji, zaidi ya show off za kijinga.

Yatarushwa, yanaangukia maporini, kiasi yanaweza kuvunja majengo. Hao Israel wakijibu tu, utasikia idadi ya waliouawa.

Vitendo hivyo vya vikundi vya kigaidi vitazidi kuwapa justification Israel, ya kuendelea kuwamaliza.
Ndio tumaini lako yaishie misituni lkn unajua wazi Hazbollah awanaga kazi mbovu !!!!

Muisrael wanatakiwa wajue kuwa kazi kipimo cha utu ajiandae Hezbollah

wkt wowote Wataichakaza Haifa!!!

ardhi ya Palestina itapiganiwa kwanguvu zote!!!! Nyie oteni ndoto tu Israel imechukua Gaza lkn ukiamka unakuta Gaza ipo na wenyewe Og
 
Tatizo we ni mtu hufahamu kukanusha sio kwamba anaogopa, hio ni warning anapewa serekali ya Lebanon na Hezbullah kuwa hawa Israel sio wakusign nao deal.

Hezbullah huwa analaumiwa na Serekali ya Lebanon kuwa hataki peace wakati asiye taka peace ni Israel.

We kama unadhani Hezbullah ni dhaifu we tulizana siku sio nyingi utaona mvua za missiles zikutua Tela Aviv.

Israel ataendelea kupiga Lebanon akidhani Hezbullah hata revenge, sababu serekali mpya ya Lebanon haitamruhusu Hezbullah kurevang, na huo ndio ujinga ambao Israel anao. Hajui hapo Hezbullah anatafuta point aone serekali ya Lebanon watafanya nini, akiona hawazui Israel kuleta ujinga wake paleLebanon itabidi wao waingie vitani sababu jeshi la Lebanon halina uwezo wa kuilinda Lebanon.
Serikali ya Lebanon iko pamoja na Hizbullah kwa namna za siri dhidi ya Israel.
Na serikali hiyo haina ubavu kuwazuia watu ambao wanafanya kazi ile ile serikali inayopenda kufanya dhidi ya Israel ikimuona ni adui yao wote.
 
Back
Top Bottom