Hizbullah yaitwanga tena kwa makombora Israel, Wazayuni wakimbia kwa umati

Wewe na huyo Shetani wenu MKUBWA ALLAH-jidanganyeni tu. Mtakapoanza kupigwa na huko Lebanon msianze tena kulialia kuwa Israel wanauwa mpaka raia
 
Huwezi kujibizana nao maana Wewe unatumia logic wao wanatumia ubishi na matusi.
Hawaielewi na hawataki kuelewa chochote....Kwahyo Hawa dawa ni kuachana nao tu wapayuke.
 
Mpuuzi mmoja wewe , unajua maana ya multiple entry underground tunnels and bunkers system ?,we unadhani kulipua au kuziba entry point moja ndio unakuwa umeua watu walioko huko mita 20 mpaka thelathini chini ya ardhi ?
Fool
Hasira za nini Ostaz?
 
Aliyekwambia kuwa ni ardhi ya waarabu ni nani.
 
Nimefuatitilia mkutano wa arab league leo jamaa wana kazi ya ziada ila hawana pa kuanzia
 
Hezbollah 2006 iliwachapa Israel ikaomba amani🤣🤣🤣
wayahudi walikufa wangapi, na majengo israel yalibomolewa mangapi? na kwa upande wa pili ninavyokumbuka, Beiruti ilichakaa kabisa magorofa yalisawazishwa na walebanoni including hezbollah walikuwa wengi zaidi. hapo utasema hezbolah walishinda? kama hujui, idadi ya wayahudi 1400 ndio idadi ya wayahudi wengi zaidi kufa katika uvamizi wa magaidi, zamani ulikuwa unakuta muisrael mmoja akifa wapalestina wanakuwa si chini ya 20 au hata 100.na bado kuna watu wanasema israel alishindwa vita.
 
Tumia akili , usiwe kama zezeta , wazayuni Wangekuwa wanazijua hizo entry points za mfumo wa maficho chini ya ardhi wangekuwa wanahangaika kupiga majengo ya hospitali na miundombinu ya kiraia kwa visingizio vya kipuuzi kwamba wanawasaka Hamas ? Huku ikijulikana wazi Hamas operations command centers zao ,maghala ya maji ,chakula ,silaha na kambi ziko chini kwenye hiyo underground metro city ya hapo Gaza na possibly ina extend mpaka nchi za jirani ?
Kama wana uelewa huo Ni nini kimewashinda mpaka wanalipua majengo ya kiraia na kuua watoto na wanawake ? Hali wakijua hawamdhoofishi Hamas kwa namna yoyote kwa kufanya hivyo ?

Hao mashoga kama wana ubavu kweli si wangeingia mguu kwa mguu tangia mwanzoni kwenda direct kwenye entry points na kuingia kwenye maficho na kuwasaka Hamas ?
 
Ile ndiyo nchi ya asili ya Israel. Wangeenda kwingine kama Uganda ingekuwa ni uvamizi halisi
 
Huu ni uongo. Kama wameyapiga na kukimbiwa yakabaki matupu kwanini wasiyakalie. Yaani wanapiga tu yanabaki matupu na wanayaangalia tu. Total rubbish
 
Historia inaongelewa sana unaonesha u mvivu wa kuisoma, ngoja niweke video clips kwa Kiswah8li labda itakuwa wepesi kwako.
 
.
 
Kafiri.upo ? Nilidhani umeenda kuwakoa majususi
Mdogo wangu Malaria 2 jitaidi saana kujifunza ku control your Emotional not everyone will agree on your idea matusi kejeli na lugha mbaya inaonesha uwezo wako wa kufikiri trust me through your writing people know who you're
Learn more about Emotional quotient (EQ)

Showing your Emotional is like bleeding next to sharks
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…