Hizbullah yaitwanga tena kwa makombora Israel, Wazayuni wakimbia kwa umati

Hizbullah yaitwanga tena kwa makombora Israel, Wazayuni wakimbia kwa umati

Vyombo vya habari vya utawala wa Kizayuni wa Israel vimetangaza kuwa, wakazi wa miji na vitongoji vya walowezi wa Kizayuni vilivyoko kwenye mpaka wa Lebanon wanakimbia kwa umati kwa namna ambayo haijawahi kutokea katika historia ya Israel sambamba na kuendelea Hizbullah ya Lebanon kuyapiga kwa makombora maeneo tofauti ya utawala wa Kizayuni kama sehemu ya kuwaunga mkono wananchi wa Ghaza.
Televisheni ya al Mayadeen imevinukuu vyombo vya habari vya Kizayuni vikitangaza kuwa, miji na vijiji vyote vya eneo la al Khalil al A'laa pamoja na kituo kikuu cha komandi kuu ya kijeshi ya Israel wamekimbia eneo hilo kwa kuhofia mashambulizi ya wanamapambano wa Kiislamu. Vyombo hivyo vya Israel vimesema, hadi hivi sasa haijawahi kutokea wimbi kubwa kiasi hiki cha Wazayuni kukimbia maeneo yao tangu ulipounda utawala pandikizi wa Kizayuni zaidi ya miaka 75 iliyopita.
Vyombo hivyo vya Kizayuni vimesema, tangu Hizbullah ya Lebanon ilipoanzisha mashambulizi ya kuwaunga mkono wananchi wa Ghaza, makumi ya vitongoji vya walowezi wa Kizayuni karibu na mpaka wa Lebanon vimebaki vitupu bila ya watu. Lakini kuondoka kikamilifu watu wote katika miji ya eneo la al Khalil al A'laa ni jambo ambalo halijawahi kutokea katika historia yote ya utawala wwa Kizayuni wa Israel.

4c3q41086d84102dko1_800C450.jpg

Huku hayo yakiripotiwa, harakati ya Hizbullah ya Lebanon imeendelea kuyapiga kwa makombora maeneo tofauti ya Israel ikiwa ni kuwaunga mkono wanamapambano wa Palestina wanaendesha mapambano ya kishujaa kwenye Ukanda wa Ghaza pamoja na wananchi madhlumu lakini wenye nguvu na subira kubwa wa ukanda huo.
Taarifa zinasema kuwa, jana pia Hizbullah iliitwanga kwa makombora kambi ya kijeshi ya utawala wa Kizayuni huko kaskazini mwa ardhi za Palestina zilizopachikwa jina bandia la Israel.
Televisheni ya al Mayadeen imetangaza katika ripoti yake nyingine kwamba, Hizbullah ya Lebanon imejibu jinai za Israel za kushambulia hospitali za Ukanda wa Ghaza kwa kuipiga kwa makombora kambi ya kijeshi ya al Asi ya utawala wa Kizayuni, kaskazini mwa ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na Wazayuni
Wewe na huyo Shetani wenu MKUBWA ALLAH-jidanganyeni tu. Mtakapoanza kupigwa na huko Lebanon msianze tena kulialia kuwa Israel wanauwa mpaka raia
F9Ojc4VagAEb5Ef.png
 
Hizi mada na kushauriana na hawa maamuma wavaa kobazi na vitopu binafsi niliacha baada ya kuona hawajaposti wala andika au kuzungumzia chochote kuhusu mauaji ya watu 770 pale Sudan yaliyotekelezwa na waislamu wenzao. Hapo ndio niliwadharau sana. Nawashangaa mnavyoongea na kushauriana nao. Hawana akili hata moja hawa wavaa makobazi. Unapoteza muda wako, hapo ni sawa na kupigia mbuzi gitaa.
Huwezi kujibizana nao maana Wewe unatumia logic wao wanatumia ubishi na matusi.
Hawaielewi na hawataki kuelewa chochote....Kwahyo Hawa dawa ni kuachana nao tu wapayuke.
 
Mpuuzi mmoja wewe , unajua maana ya multiple entry underground tunnels and bunkers system ?,we unadhani kulipua au kuziba entry point moja ndio unakuwa umeua watu walioko huko mita 20 mpaka thelathini chini ya ardhi ?
Fool
Hasira za nini Ostaz?
 
Aliyekwambia kuwa ni ardhi ya waarabu ni nani.
Hivi ni nani aliyetoa wazo la kwenda kuanzisha nchi ya Israel juu ya ardhi ya waarabu? Ha kama alikuwa amevuta bangi alikuwa chizi. Waarabu na wafilisti ni watu wa visasi na hawasahau vizazi vyao vyote kwa chuki. 1948 wangekuja kuiteka uganda wakajenga juu yake wala kusingekuwa na shida kubwa kama hii ya sasa hivj.
Hakuna namn a yeyote Israeli wataweza wamaliza Palestina.
 
Nimefuatitilia mkutano wa arab league leo jamaa wana kazi ya ziada ila hawana pa kuanzia
 
Hezbollah 2006 iliwachapa Israel ikaomba amani🤣🤣🤣
wayahudi walikufa wangapi, na majengo israel yalibomolewa mangapi? na kwa upande wa pili ninavyokumbuka, Beiruti ilichakaa kabisa magorofa yalisawazishwa na walebanoni including hezbollah walikuwa wengi zaidi. hapo utasema hezbolah walishinda? kama hujui, idadi ya wayahudi 1400 ndio idadi ya wayahudi wengi zaidi kufa katika uvamizi wa magaidi, zamani ulikuwa unakuta muisrael mmoja akifa wapalestina wanakuwa si chini ya 20 au hata 100.na bado kuna watu wanasema israel alishindwa vita.
 
Kwani Israel unadhani hawakui hizo multiple entries? Ziba zote.....wanazijua zote ...supply zote maji na ocygen wanazijuaa....ungetulia .....kusaka amabi Hamas wamelikanyaga....with time systems zaozote za underground zitakuwa compromised....suala muda tu ....hutaki acha
Tumia akili , usiwe kama zezeta , wazayuni Wangekuwa wanazijua hizo entry points za mfumo wa maficho chini ya ardhi wangekuwa wanahangaika kupiga majengo ya hospitali na miundombinu ya kiraia kwa visingizio vya kipuuzi kwamba wanawasaka Hamas ? Huku ikijulikana wazi Hamas operations command centers zao ,maghala ya maji ,chakula ,silaha na kambi ziko chini kwenye hiyo underground metro city ya hapo Gaza na possibly ina extend mpaka nchi za jirani ?
Kama wana uelewa huo Ni nini kimewashinda mpaka wanalipua majengo ya kiraia na kuua watoto na wanawake ? Hali wakijua hawamdhoofishi Hamas kwa namna yoyote kwa kufanya hivyo ?

Hao mashoga kama wana ubavu kweli si wangeingia mguu kwa mguu tangia mwanzoni kwenda direct kwenye entry points na kuingia kwenye maficho na kuwasaka Hamas ?
 
Hivi ni nani aliyetoa wazo la kwenda kuanzisha nchi ya Israel juu ya ardhi ya waarabu? Ha kama alikuwa amevuta bangi alikuwa chizi. Waarabu na wafilisti ni watu wa visasi na hawasahau vizazi vyao vyote kwa chuki. 1948 wangekuja kuiteka uganda wakajenga juu yake wala kusingekuwa na shida kubwa kama hii ya sasa hivj.
Hakuna namn a yeyote Israeli wataweza wamaliza Palestina.
Ile ndiyo nchi ya asili ya Israel. Wangeenda kwingine kama Uganda ingekuwa ni uvamizi halisi
 
Huu ni uongo. Kama wameyapiga na kukimbiwa yakabaki matupu kwanini wasiyakalie. Yaani wanapiga tu yanabaki matupu na wanayaangalia tu. Total rubbish
 
Hivi ni nani aliyetoa wazo la kwenda kuanzisha nchi ya Israel juu ya ardhi ya waarabu? Ha kama alikuwa amevuta bangi alikuwa chizi. Waarabu na wafilisti ni watu wa visasi na hawasahau vizazi vyao vyote kwa chuki. 1948 wangekuja kuiteka uganda wakajenga juu yake wala kusingekuwa na shida kubwa kama hii ya sasa hivj.
Hakuna namn a yeyote Israeli wataweza wamaliza Palestina.
Historia inaongelewa sana unaonesha u mvivu wa kuisoma, ngoja niweke video clips kwa Kiswah8li labda itakuwa wepesi kwako.
 
Jamaa awabahatishi. Na inavyoonekana ata mateka wapo nao humo chini ya hospital pamoja na mabosi wa Hamas. Walichokuwa wanafanya for all last week ni kuziba na kubomoa mahandaki yalio na njia za kutoka. Hamas wanatumia oxygen system za hospital hii ambayo sasa ipo mikononi mwa Israel. Ndani Ntiti nje ntiti
.
IMG_20231108_161925.jpg
 
Kafiri.upo ? Nilidhani umeenda kuwakoa majususi
Mdogo wangu Malaria 2 jitaidi saana kujifunza ku control your Emotional not everyone will agree on your idea matusi kejeli na lugha mbaya inaonesha uwezo wako wa kufikiri trust me through your writing people know who you're
Learn more about Emotional quotient (EQ)

Showing your Emotional is like bleeding next to sharks
 
Back
Top Bottom