Sasa si uzitaje! Unamuogopa nani? Tunajua sana kama wapo. JamiiForums ukishaingia, hutoki. Hata mimi 2015 niliingia kwa jina langu halisi. Baada ya kugundua mpaka vichaa wapo humu jukwaani, niliamua kuja 2016 na ID fake.Imefikia mpaka wanatumia domain ya serikali kujiunga JF.Na wengine wapo ofisi ya raisi.
Kuna siku kuna mmoja hataropoka kuwa kuna mtu tu neno " kuna watu wanajibu mavi" basi ujuwe ni mtu maarufu hapa JF
Tlaatlaah moja wapoSasa si uzitaje! Unamuogopa nani? Tunajua sana kama wapo. JamiiForums ukishaingia, hutoki. Hata mimi 2015 niliingia kwa jina langu halisi. Baada ya kugundua mpaka vichaa wapo humu jukwaani, niliamua kuja 2016 na ID fake.
Watu wameamka na nyagi kichwani mkuu, wanaandika in reverse mode.Mhm nimetoka kapa
Tatizo majina yamekaa kiaina, hujui unachati na nani!Rudia kusoma ulichoandika
Print("Hello,", name)Tumia code kama radio call
"Kuna siku kuna mmoja hataropoka kuwa kuna mtu tu neno "Tumia code kama radio call
Alpha One, Alpha One, this is Bravo Six. Radio check, over.Print("Hello,", name)
gentleman,Tlaatlaah moja wapo
Umetumia lugha stahikiImefikia mpaka wanatumia domain ya serikali kujiunga JF.Na wengine wapo ofisi ya raisi.
Kuna siku kuna mmoja hataropoka kuwa kuna mtu tu neno " kuna watu wanajibu mavi" basi ujuwe ni mtu maarufu hapa JF
Bila kusahau, Lukas mwashambwa na Dr wa Manesi!Tlaatlaah moja wapo
We umo kweli,ofisi Ile.....!gentleman,
acha kupotosha wadau wa heshima wa Jf kwa hisia zako binafsi potofu useless kiasi hicho plz.
huna haja ya kuzusha uongo ikiwa umekosa kabisa hoja kabisa za kupost jukwaani. Ni vizuri kuomba usaidiwe na wadau wenye hoja mahususi za maana na itapendeza zaidi 🐒
Gentleman,We umo kweli,ofisi Ile.....!