Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Piga tofali tu
Toa mwongozo.
Hao watu maarufu Jf ndio sisi sasaImefikia mpaka wanatumia domain ya serikali kujiunga JF.Na wengine wapo ofisi ya raisi.
Kuna siku kuna mmoja hataropoka kuwa kuna mtu anatumia neno " kuna watu wanajibu mavi" basi ujuwe ni mtu maarufu hapa JF
Anajifunza python mzee 🤣🤣🤣 noma sanaaPrint("Hello,", name)
😁bangi yeeeeeeeh!!!!
Ila mwandiko ukabaki kuwa ule uleSasa si uzitaje! Unamuogopa nani? Tunajua sana kama wapo. JamiiForums ukishaingia, hutoki. Hata mimi 2015 niliingia kwa jina langu halisi. Baada ya kugundua mpaka vichaa wapo humu jukwaani, niliamua kuja 2016 na ID fake.
Mkuu una haraka gani? Hebu kaa chini kwa utulivu uandike uzi vizuri. Sijaelewa unachotaka kusema ijapokuwa unaweza ukawa na hoja ya msingi.Imefikia mpaka wanatumia domain ya serikali kujiunga JF.Na wengine wapo ofisi ya raisi.
Kuna siku kuna mmoja hataropoka kuwa kuna mtu anatumia neno " kuna watu wanajibu mavi" basi ujuwe ni mtu maarufu hapa JF
No.2 Lucas MwashambwaTlaatlaah moja wapo