Hizi bei za mabati zinanichanganya, nipeni muongozo

Hizi bei za mabati zinanichanganya, nipeni muongozo

Kwanini unatumia hiyo? Je unahisi ni bora zaidi ya hizo zingine?
kuna wakala mkubwa kabisa wa Oryx karibu na mie, hao wengine hawapo
Plus naagizia kwa app (ambayo huyu wakala amekuwa registered huko), mtungi unakuja mpaka home
 
Shida ya bati zetu ni Rangi.....mengine Mabati yoote yanafanana.

Ukumbuke Alaf, Sunshare, Dragon, Bati Bomba wote supplier wao ni Mmoja tu na ni China, India, South Africa.
ndo maana nmesema hao jamaa wanamanipulate wateja.
 
Uchakachuzi ni feelings tu za wabongo.. Kiasi cha gesi kinapimwa kwa uzito, unaweza pima uzito wa mtungi wako kama unaogopa kuibiwa. Otherwise kama kuna uchakachuzi mwingine hiyo gesi itakuwa na shida kwenye kuwaka. Na sidhani kama hiyo ni case kwa wanaotumia, thats why utakuta sehemu zote za biashara huwezi kuta wanatumia oryx coz wamegundua siri.
na uchakachu
 
Jipange tu uchuke Alaf au Sunshare, usije ukachukua g30 labda kama unaenda kuezeka frame...
 
wanapunguza gesi mle ndani, wanahamishia kwenye mtungi mwengine
so unakuta tank badala iwe na 30kg, ngoma inasoma 25kg
Hisia tu hizo..utakuja shangaa ata huko oryx wanafanya the same
 
Hapo ishu mmoja ana soko kubwa la uhakika maana yupo sokoni zaidi ya miongo miwili 20+ years and above

Wakati wengine wote wanajitafuta kujaribu ku-penetrate sokoni.

Nyumba yangu ya mwanzo nilitumia bati za ALAF, nyingine zilizofuatia nilitumia bati za SunShare

Ubora ni kama unafanana, maana sijaona utofauti baada ya kuezeka miaka 3 iliyopita.
 
Duh! Noma
noma sana aisee, kuna kiwanda cha uchakachuzi walikidaka kule Kimara, miaka flani ya nyuma
ile mitungi walivyoipanga, inaning'inia upside down mingine iko kwa chini ikipokea, nilibaki nimeshika kichwa
 
Nitag huo uzi
 
Back
Top Bottom