Hizi bei za mabati zinanichanganya, nipeni muongozo

Hizi bei za mabati zinanichanganya, nipeni muongozo

Mwisho wa siku chukua bati lisilopauka au linachukua mda sana kupauka.
 
Bado hujauliza wauzaji kitalaam na hivyo unaweza kudhani huyo wa Kwanza ana bei nzuri au wa pili ana bei kubwa.

Shida dio uchakachuaji wala nini bali ni Upana wa hiyo bati.

Urefu wote ni One Meter lakini Upana mmoja atakua 1100mm naa Mwingine 970mm.

Na wauzaji hawatakwambia ukweli huu.

Wanataka uone kwao ni bei rahisi
Na nadhani bati zote urefu wake ni metre 3 urefu. So kwa bei hiyo aliyopewa siyo bei ya bati moja bali mita moja ikiwa ína maana atakuwa bati linafika hata elfu 40000
 
Sidhani mkuu..hizo bati zipo standardized. Ukisema gauge 28 maana yake ni sawa. Hakuna difference labda difference inaweza kuwa kwenye hizo ingredients zinazotumika kwemye rangi, siyo thickness ya aluminium.

Nenda kasome uzi wangu wa " Elimu kuhusu Mabati" kuna makala iliyoshiba kuhusu hili jambo.

Jipange tu uchuke Alaf au Sunshare, usije ukachukua g30 labda kama unaenda kuezeka frame...
Halafu hizi gauge nazo unazitambuaje kwa macho ya kawaida tu ya haraka haraka, isije kuwa unachukua g28 halafu hawa vijana walevi wanakuchanganyia na kadhaa za g30 wapige cha juu ikifika jioni wakalewe baa.
 
kwa wakala hapana, siamini,
na vile matumizi yangu nayajua kila baada ya miezi kadhaa gesi huisha
Hiyo ni systematic error ngumu sana kuigundua. Kama wameamua kupunguza gram 200 kila mtungi huwezi jua..its just a trust tu kwamba wapo sahihi basi, so suala lanuchakachuaji haliangalii kampuni, kampuni yeyote yaweza fanya hivyo, its matter ya uaminifu wa kampuni kwa wateja wake.
 
Halafu hizi gauge nazo unazitambuaje kwa macho ya kawaida tu ya haraka haraka, isije kuwa unachukua g28 halafu hawa vijana walevi wanakuchanganyia na kadhaa za g30 wapige cha juu ikifika jioni wakalewe baa.

Alaf na Sunshare unaenda nunulia kiwandani kwao kama upo Dar, unakatiwa sheets zako kulingana na vipimo vyako...
 
Halafu hizi gauge nazo unazitambuaje kwa macho ya kawaida tu ya haraka haraka, isije kuwa unachukua g28 halafu hawa vijana walevi wanakuchanganyia na kadhaa za g30 wapige cha juu ikifika jioni wakalewe baa.
Inawezekana kabisa........nilinunua bati 370 na hisi niliibiwa hazikufika....na uuwezi kuhesabu mpja moja kwenye mabando
 
Ishu ni kampuni tu mzee.. Ni sawa na gesi, unakuta oryx wanauza mtungi wa kg 15 kwa 56000 taifa gesi 51000 wakati gesi ni ile ile na zinaingizwa kwa pamoja. But watu bado wanaamini oryx ni bora zaidi wakati gesi huwa inaagizwa pamoja kama petrol.
Mzee issue ya ges na bat ni tofautiiii
 
Ishu ni kampuni tu mzee.. Ni sawa na gesi, unakuta oryx wanauza mtungi wa kg 15 kwa 56000 taifa gesi 51000 wakati gesi ni ile ile na zinaingizwa kwa pamoja. But watu bado wanaamini oryx ni bora zaidi wakati gesi huwa inaagizwa pamoja kama petrol.
Muwe mnajibu kutokana na uzoefu. Kitu hujui nyamaza. dronedrake amejibu ufasaha katika comment ya pil
 
View attachment 2855239hawa ni ANDO g30 ni 18500

View attachment 2855243
Hawa ni ALAF g28 ni 23,311

View attachment 2855244hawa ni sunshare g28 ni 24,100 .

Swali:inakuwa vipi uyo wa kwanza bei yake ni ndogo hivyo tofauti na wenzake tena kwa geji hiyo hiyo .?
Viwango vinatofautiana alafu pia si uungwana kusambaza bei za watu online hivi wewe ungewauliza hukohuko kwanini bei yenu ni tofauti wangrkueleza hapo hapo kwanini konyagi na Hennesy bei si moja
Wakati zote zinalewesha
 
Bei mbona siyo siri mkuu. Alaf bei zapo zipo kwenye tovuti yao na hao wengine wote. Acheni kushtua watu kama vile ni issue illegal.
 
Kaka pole hata mimi niliteseka sana.

Kiukweli, mimi niliezeka Bati Bombo , (shivo fulani hivi)

Nakuhakikishia bati ni ALAF , hapa ofisi kwetu ndio zimetumika, nilipata bahati yakushika bati la alafu la 30g aisee, nikagundua hawa wachina wanatuziia 32g .

Kama unahitaji msaada zaidi nakutumia PM namba ya engineer wa hapo ALAF , mcheki mwambie namba kakupa Ruzige. Jamaa nimesoma nae chuo, atakupa msaada zaidi.

Usidanganyike, bati ni ALAF
 
Weka namba mkuu. Kama ni mtu wa pale na mimi nitumie niseme nae
 
Bei mbona siyo siri mkuu. Alaf bei zapo zipo kwenye tovuti yao na hao wengine wote. Acheni kushtua watu kama vile ni issue illegal.
Case ya hapa ni private conversation imekua screenshoted nakuwa shared hapa, leta website nifunge mdomo wangu.
 
Back
Top Bottom