Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na nadhani bati zote urefu wake ni metre 3 urefu. So kwa bei hiyo aliyopewa siyo bei ya bati moja bali mita moja ikiwa ína maana atakuwa bati linafika hata elfu 40000Bado hujauliza wauzaji kitalaam na hivyo unaweza kudhani huyo wa Kwanza ana bei nzuri au wa pili ana bei kubwa.
Shida dio uchakachuaji wala nini bali ni Upana wa hiyo bati.
Urefu wote ni One Meter lakini Upana mmoja atakua 1100mm naa Mwingine 970mm.
Na wauzaji hawatakwambia ukweli huu.
Wanataka uone kwao ni bei rahisi
Sidhani mkuu..hizo bati zipo standardized. Ukisema gauge 28 maana yake ni sawa. Hakuna difference labda difference inaweza kuwa kwenye hizo ingredients zinazotumika kwemye rangi, siyo thickness ya aluminium.
Nenda kasome uzi wangu wa " Elimu kuhusu Mabati" kuna makala iliyoshiba kuhusu hili jambo.
Halafu hizi gauge nazo unazitambuaje kwa macho ya kawaida tu ya haraka haraka, isije kuwa unachukua g28 halafu hawa vijana walevi wanakuchanganyia na kadhaa za g30 wapige cha juu ikifika jioni wakalewe baa.Jipange tu uchuke Alaf au Sunshare, usije ukachukua g30 labda kama unaenda kuezeka frame...
Hiyo ni systematic error ngumu sana kuigundua. Kama wameamua kupunguza gram 200 kila mtungi huwezi jua..its just a trust tu kwamba wapo sahihi basi, so suala lanuchakachuaji haliangalii kampuni, kampuni yeyote yaweza fanya hivyo, its matter ya uaminifu wa kampuni kwa wateja wake.kwa wakala hapana, siamini,
na vile matumizi yangu nayajua kila baada ya miezi kadhaa gesi huisha
Halafu hizi gauge nazo unazitambuaje kwa macho ya kawaida tu ya haraka haraka, isije kuwa unachukua g28 halafu hawa vijana walevi wanakuchanganyia na kadhaa za g30 wapige cha juu ikifika jioni wakalewe baa.
Inawezekana kabisa........nilinunua bati 370 na hisi niliibiwa hazikufika....na uuwezi kuhesabu mpja moja kwenye mabandoHalafu hizi gauge nazo unazitambuaje kwa macho ya kawaida tu ya haraka haraka, isije kuwa unachukua g28 halafu hawa vijana walevi wanakuchanganyia na kadhaa za g30 wapige cha juu ikifika jioni wakalewe baa.
Mzee issue ya ges na bat ni tofautiiiiIshu ni kampuni tu mzee.. Ni sawa na gesi, unakuta oryx wanauza mtungi wa kg 15 kwa 56000 taifa gesi 51000 wakati gesi ni ile ile na zinaingizwa kwa pamoja. But watu bado wanaamini oryx ni bora zaidi wakati gesi huwa inaagizwa pamoja kama petrol.
Muwe mnajibu kutokana na uzoefu. Kitu hujui nyamaza. dronedrake amejibu ufasaha katika comment ya pilIshu ni kampuni tu mzee.. Ni sawa na gesi, unakuta oryx wanauza mtungi wa kg 15 kwa 56000 taifa gesi 51000 wakati gesi ni ile ile na zinaingizwa kwa pamoja. But watu bado wanaamini oryx ni bora zaidi wakati gesi huwa inaagizwa pamoja kama petrol.
Kila mtu anaouzoefu wake..sasa ni jukumu lako kuchagua uzoefu unaoutakaMuwe mnajibu kutokana na uzoefu. Kitu hujui nyamaza. dronedrake amejibu ufasaha katika comment ya pil
Soma comment zote utajua gesi imeingiajeMzee issue ya ges na bat ni tofautiiii
Viwango vinatofautiana alafu pia si uungwana kusambaza bei za watu online hivi wewe ungewauliza hukohuko kwanini bei yenu ni tofauti wangrkueleza hapo hapo kwanini konyagi na Hennesy bei si mojaView attachment 2855239hawa ni ANDO g30 ni 18500
View attachment 2855243
Hawa ni ALAF g28 ni 23,311
View attachment 2855244hawa ni sunshare g28 ni 24,100 .
Swali:inakuwa vipi uyo wa kwanza bei yake ni ndogo hivyo tofauti na wenzake tena kwa geji hiyo hiyo .?
Bei mbona siyo siri mkuu. Alaf bei zapo zipo kwenye tovuti yao na hao wengine wote. Acheni kushtua watu kama vile ni issue illegal.Viwango vinatofautiana alafu pia si uungwana kusambaza bei za watu online hivi wewe ungewauliza hukohuko kwanini bei yenu ni tofauti wangrkueleza hapo hapo kwanini konyagi na Hennesy bei si moja
Wakati zote zinalewesha
Mkuu nitumie namba zao wote na mimi ni wadodose kwenye bei za versatileView attachment 2855239hawa ni ANDO g30 ni 18500
View attachment 2855243
Hawa ni ALAF g28 ni 23,311
View attachment 2855244hawa ni sunshare g28 ni 24,100 .
Swali:inakuwa vipi uyo wa kwanza bei yake ni ndogo hivyo tofauti na wenzake tena kwa geji hiyo hiyo .?
0742 172 493 Ando roofingMkuu nitumie namba zao wote na mimi ni wadodose kwenye bei za versatile
0622212346 ALAFMkuu nitumie namba zao wote na mimi ni wadodose kwenye bei za versatile
asante0742 172 493 Ando roofing
Weka namba mkuu. Kama ni mtu wa pale na mimi nitumie niseme naeKaka pole hata mimi niliteseka sana.
Kiukweli, mimi niliezeka Bati Bombo , (shivo fulani hivi)
Nakuhakikishia bati ni ALAF , hapa ofisi kwetu ndio zimetumika, nilipata bahati yakushika bati la alafu la 30g aisee, nikagundua hawa wachina wanatuziia 32g .
Kama unahitaji msaada zaidi nakutumia PM namba ya engineer wa hapo ALAF , mcheki mwambie namba kakupa Ruzige. Jamaa nimesoma nae chuo, atakupa msaada zaidi.
Usidanganyike, bati ni ALAF
Case ya hapa ni private conversation imekua screenshoted nakuwa shared hapa, leta website nifunge mdomo wangu.Bei mbona siyo siri mkuu. Alaf bei zapo zipo kwenye tovuti yao na hao wengine wote. Acheni kushtua watu kama vile ni issue illegal.