Hizi bei za mabati zinanichanganya, nipeni muongozo

Hizi bei za mabati zinanichanganya, nipeni muongozo

Case ya hapa ni private conversation imekua screenshoted nakuwa shared hapa, leta website nifunge mdomo wangu.
Umezoea kuongea huwezi funga huo mdomo wako. Na ujifunze kusearch mwenyewe. Website nayo unataka uianzishie uzi
 
Attachments

  • Screenshot_20231228_191242_Chrome.jpg
    Screenshot_20231228_191242_Chrome.jpg
    205.7 KB · Views: 27
View attachment 2855239hawa ni ANDO g30 ni 18500

View attachment 2855243
Hawa ni ALAF g28 ni 23,311

View attachment 2855244hawa ni sunshare g28 ni 24,100 .

Swali:inakuwa vipi uyo wa kwanza bei yake ni ndogo hivyo tofauti na wenzake tena kwa geji hiyo hiyo .?
Mkuu hizo bei ni Kwa meter square Moja. mfano kama unataka bati la mita 3 basi zidisha hiyo bei ya mita moja Kwa tatu ndipo unapata bei halisi ya bati Moja la mita 3(futi 10). Let's say 24,100×3= 72,300/= Kwa bei ya bati Moja.
 
Last week nlinunua mabati sunshare, nimeenda na vipimo square meter gauge 30 nkipeleka urefu na bati zao zile wanaita sijui 85 amnao ndio upana wa juu wanauza 14000 kwa kila mita moja ya urefu. Nilinunua mita 408
 
Yeah hapo inamaana kuwa walikuuzia bati Kwa bei ya special meter na siyo bati Zima la mita tatu.
 
Yeah hapo inamaana kuwa walikuuzia bati Kwa bei ya special meter na siyo bati Zima la mita tatu.
Hivi special meter na mita za kawaida bei inatifautiana... Maana niliona nimetumia oesa nyng zaidi kuliko nilivyotaraji
 
Nilipata sana changamoto wakati wa kuchagua bati, finally niliamua kukata kauli kwa kununua kampuni ya kiboko, bati zao ziko vizuri sana thickness yake nimeipenda kwakwel, pia bei yao ni affordable sana versatile brick red 28g nakumbuka nilinunua 48000tsh hiyo ni mita 3
 
Zinatofautiana. Ukinunua bati ya special meter inamaanisha kuwa unaenda na vipimo vyako kiwandani wanakata kulingana na vipimo vya nyumba Yako tofauti na hizi ambazo unakuta tayari wameshazikata mita 3(futi 10).
 
Back
Top Bottom