Mlatino Zeshalo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2014
- 2,130
- 3,599
Umezoea kuongea huwezi funga huo mdomo wako. Na ujifunze kusearch mwenyewe. Website nayo unataka uianzishie uziCase ya hapa ni private conversation imekua screenshoted nakuwa shared hapa, leta website nifunge mdomo wangu.
Kwa Tz kubali kataa mabati bora ni ALAF, na yataendelea kuwa bora kwa miaka mingi sana!!Yeah Alaf sio kwamba wako bora kama inavyosemekana.
Wale wana investiment kubwa
Pm yako umefunga kaka. Siwezi kuweka namba ya mtu publicWeka namba mkuu. Kama ni mtu wa pale na mimi nitumie niseme nae
Mkuu hizo bei ni Kwa meter square Moja. mfano kama unataka bati la mita 3 basi zidisha hiyo bei ya mita moja Kwa tatu ndipo unapata bei halisi ya bati Moja la mita 3(futi 10). Let's say 24,100×3= 72,300/= Kwa bei ya bati Moja.View attachment 2855239hawa ni ANDO g30 ni 18500
View attachment 2855243
Hawa ni ALAF g28 ni 23,311
View attachment 2855244hawa ni sunshare g28 ni 24,100 .
Swali:inakuwa vipi uyo wa kwanza bei yake ni ndogo hivyo tofauti na wenzake tena kwa geji hiyo hiyo .?
Last week nlinunua mabati sunshare, nimeenda na vipimo square meter gauge 30 nkipeleka urefu na bati zao zile wanaita sijui 85 amnao ndio upana wa juu wanauza 14000 kwa kila mita moja ya urefu. Nilinunua mita 408Mkuu hizo bei ni Kwa meter square Moja. mfano kama unataka bati la mita 3 basi zidisha hiyo bei ya mita moja Kwa tatu ndipo unapata bei halisi ya bati Moja la mita 3(futi 10). Let's say 24,100×3= 72,300/= Kwa bei ya bati Moja.
Yeah hapo inamaana kuwa walikuuzia bati Kwa bei ya special meter na siyo bati Zima la mita tatu.Last week nlinunua mabati sunshare, nimeenda na vipimo square meter gauge 30 nkipeleka urefu na bati zao zile wanaita sijui 85 amnao ndio upana wa juu wanauza 14000 kwa kila mita moja ya urefu. Nilinunua mita 408
Hivi special meter na mita za kawaida bei inatifautiana... Maana niliona nimetumia oesa nyng zaidi kuliko nilivyotarajiYeah hapo inamaana kuwa walikuuzia bati Kwa bei ya special meter na siyo bati Zima la mita tatu.