Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Aibu sana hii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aibu sana hii
Mjinga ni wewe na subiri korona ikukombeMbona wewe usiye mjinga hukufa zaidi ya kuleta porojo zako tu hapa?
Hakuna hata kipya ulichotoa tokana na povu lako, ebu jiongeze basi utafuta tusi zuuuri lililo jipya chini ya jua angalau uonekane una akili miongoni mwa wenye akili....[emoji38]Mjinga ni wewe na subiri korona ikukombe
Hata aibu hunaHakuna hata kipya ulichotoa tokana na povu lako, ebu jiongeze basi utafuta tusi zuuuri lililo jipya chini ya jua angalau uonekane una akili miongoni mwa wenye akili....[emoji38]
Irrelevant. Kweli JF imeacha kuwa home of great thinkersLisu alisema hawatahangaika kumtoa Mbowe, polisi wakitaka wakae nae na wamfanye watakalo!
Bawacha Leo wameandamana ubalozi wa USA kushinikiza Mbowe kuachiwa huru, ina maana wamempuuza Lissu?
Nimekuelewa ,
![]()
Nimekuelewa ,
![]()
Acha kujitoa akili wewe, kama chanjo ni chapa hata walizopewa watoto wachanga (ikiwemo wewe) ni chapa.
Mjinga ni wewe na subiri korona ikukombe
Wanajifanya kusahau lkn moyoni wanajuuta sanaKwani yule mwamba wake amemsahau?
Mimi nimechanjwa mwezi wa saba mwaka huu ni miezi mitatu imepita sasa na sioni tofauti yoyote ile mwilini mwangu. JPM alikuwa na uoga na vitu vigeni na ulimsumbua mpaka siku ya kifo chake.
Mama Samia alichanjwa kabla yangu kipi kimemtokea mpaka dakika hii?.
Afrika kinachotuangusha ni kiburi cha kijinga na ukosefu wa elimu pana juu ya covid19. Kiburi cha kijinga kilianza na JPM mwenyewe aliyekuja na maana zenye kuwapotosha watu kuhusiana na ukubwa wa ugonjwa wenyewe.Uko Sahihi Mkuu
Ni Ukweli Usiopingika Kuwa 90% ya Population ya Tz haijachanjwa...
Humo ndani wamo wasomi wa Fani Mbali mbali! Na Viongozi wa Dini!
Watu wengi huwaamini Viongozi especially Magu alivyotangaza kipindi kile wave ya Kwanza though watu wakikufa ila Ikapita Ikaja Wave ya 2 Akatumia Mbinu zile zile za Asili na Maombi ikapita Ikaja ya 3 nk nk,
Sasa Kwa Kuwa watu waliaminishwa na Kiongozi wa Nchi waliemuamini,
Na Baadhi ya Viongozi wa Kipindi kile waliokiwepo wapo na sasa,
Nadhani Nasema Nadhani labda viongozi wangekanusha kwa Meneno yale yaliotokea kipindi kile ili watu wawaamini Nahisi sasa hivi watu hawawaamini ndio maana Kasi ya Uchanjaji iko ndogo,Labda wajitokeze wasema Jamanieee Kipindi kile tulikazimishwa tuu na Mkuu Ila Ukweli ni huu hapa,....
Ingawa watu watajiuliza Mbona Tulikuwa tunavuka kila wave na watu hawakuikotwa barabarani...?
Wayapatie majibu hayo!
Anyway
Unaweza na wewe kutoa maini kwanini Kasi ni ndogo na watu wengi wasomi tena wengine nadhani wanakuzidi usomi hawajachanjwa?
Wanasubiri nini?
Huu ni ukweli ambao raia wengi wanaupuuza.Nisingechanja pengine ningekuwa katika hatari kubwa ya kuambukizwa. Kwa hiyo hakuna cha usomi, ni ule uhalisia wa mambo ndio wenye kuonyesha kama chanjo ni muhimu au ni upotezaji wa muda.
Pumbaf
[/QUOTEz
Utakereka sana na hamna namna!! Itabidi muendelee kukereka tu!! Hoja hamna, mlicho nacho ni matusi tu!! Hanjeni wenyewe na waume zenu!! Kama mmekula hela ya mabeberu mjue drones zinawahusu!! Mnatumia nguvu kubwa kulazimisha chanjo lakini hakuna kitu!! Mabeberu washajua hizo data za chanjo mnazotoa ni za kupika! Hakuna namna ambayo mtaweza kuondoa imani yetu kwa Mungu aliyetuponya na tukaweka imani kwa chanjo ambayo haijaweza kumkinga hata mtu mmoja!! Tukana tena!!
Ushahidi wa mazingira unaonesha Mungu ametujalia kuwa na herd immunity! Watanzania walio wengi hawavai kabiasa barakoa nikiwemo mimi!! Watanzania walio wengi wanajikuta kwenye misongamano mikubwa kama kwenye daladala bila barakoa, kwenye viwanja vya michezo bila barakoa, masokoni bila barakoa, kwenye mikusanyiko na mikesha ya mwenge bila barakoa!! Hao wachache wanaovaa barakoa hawazivai vizuri, muda mwingi barakoa imefunika kidevu!! Hii ilipelekea watanzania walio wengi kuambukizwa kwenye wimbi la kwanza na hapo ndipo jngu alipotuponya na kutupa herd immunity!!Herd immunity Tanzania tuliipata lini? Unaweza kutupa ushahidi huo?
Hata definition ya herd immunity huijuiNinachosikitika ni kuwa hizi chanjo ambazo baadhi ya watu watazipa nchi zitaenda kuua herd immunity ambayo watanzania wengi kama sio wote nchini tulikuwa tumeipata kwa muda wa takribani miaka miwili.
Kwa wasiojua, herd immunity kwa lugha ya kawaida huitwa Kinga Kundi, hii ni aina ya kinga isiyo ya moja kwa moja (indirect immunity) dhidi ya ugonjwa inayotokea pale ambapo asilimia kubwa ya watu wana kinga dhidi ya ugonjwa husika iwe kwa njia ya maambukizo ya awali (kuugua kisha mwili ukatengeneza kinga).
Watanzania wengi sana kwa sasa korona kwao imekuwa ni kama ugonjwa wa mafua tu au uchovu kwa sababu miili yao imeishatengeneza kinga ya asili kutokana na kinga kundi(herd immunity). Wengi wanapoipata korona kwa sasa nchini wanapoteza uwezo wa kunusa na pia wanakosa hamu ya chakula na wanaharisha kidogo halafu baada ya siku kadhaa wanapona. Hii hali naamini inaenda kubadilika baada ya chanjo kuanza kutolewa nchini.
Kwa wasiojua ni kuwa kupata chanjo hakumzuii mtu aliyepata chanjo kupata korona lakini madhara yake ni kuwa, huyo aliyechanjwa halafu akapata korona, akimuambikiza mtu asiyechanjwa inakuwa ni korona hatari sana kwa aliyeambukizwa. Hii korona haikuchukui hata siku tatu unaondoka duniani kama hujawahi kupata matibabu haraka. Kibaya zaidi, hii korona inakula kidogo kidogo na inapofikia kwenye hatua za mwisho ndipo mtu unagundua pale unapokosa nguvu kwa ghafla.
Nchi nyingi za Afrika ambazo zilianza kutoa chanjo kwa wananchi wake zilijikuta ikiibuka korona nyingine kali iliyoshika kasi na watu kuanza kupoteza maisha ndio maana nchi hizo ziliamua kurudi tena kwenye lockdown.
Tusishangae baada ya hii chanjo kuanza kutolewa, namba ya watu kuanza kuugua korona au kufa itaongezeka sana nchini.
Wachunguzi wanasema chimbuko la inayoitwa kwa kiingereza VARIANTS ni matokeo ya chanjo. Hata variants zinaibuka kutokana na aina ya chanjo zinazotolewa kwa watu wa eneo hilo. Mfano Saouth Afrika iliibuka variants inayoitwa BETA baada ya wananchi kuanza kupatiwa chanjo ya Johnson and Johnson vaccine. Mpaka leo Afrika Kusini wako katika hali tete.
Kuna watu ninajua watakuja na hoja wakisema, basi ni bora tupate chanjo wote ili variants isitokee. Watakaouliza maswali haya lazima wajue kuwa hizi chanjo zinazokuja kwa nchi zetu hizi za Afrika niza wanasiasa, maofisa waandamizi wa juu serikalini, wafanyakazi wa afya, matajiri na familia zao. Kama hauko kwenye kundi hili utasubiri kupata chanjo kwa muda mrefu sana wakati VARIANT ikifanya kazi zake nchini.
Kwa mfano, Kenya pamoja na kelele zao za kujikinga na korona toka waanze kutoa chanjo wametoa kwa asilimia 1.5 ya wananchi wake wote. Ukichunguza kundi lililopata hizo chanjo ndilo nililolitaja hapo juu!
Watanzania tuko karibia milioni 60 kwa sasa ambapo Sensa ya Watu na Makazi ilisema idadi ya watu nchini ambao wako katika kundi la kufanya kazi ni 53% na pia kundi la wazee ni 6%. Hii inatuambia kuwa watu wanaotakiwa kuchanjwa nchini ni kama 60% ya watanzania kwa sababu watoto hawachanjwi.
Kwa hesabu ya kawaida pale juu, idadi ya Watanzania wanapaswa kupata chanjo ni milioni 36. Batch ya kwanza ya Johnson and Johnson vaccine iliyoingia nchini ni dozi milioni 1 kwa watu milioni 1
Population ya Dar es Salaam pekee ni watu karibia milioni 6 ambapo asilimia 60 ya wanaohitaji chanjo ni watu milioni 3 na laki 6. Hapo hujagusa mikoa mingine!
Mtu yuko kijijini eti unamsikia anasema twende tukachanje, hiyo chanjo utaipata wapi? Mpaka ikufikie ni majaliwa zaidi zaidi kama una bahati mbaya utafikiwa na mtu aliyechanjwa na kupata tena korona ambaye anakuja kueneza korona kali zaidi.
Mungu ibariki Tanzania!
Pole kwa kujitoa ufahamu!! Huko kwa mabeberu walikochanja sana ndiko wamekufa sana!! Tuseme wamekufa kwa akili zao basi, lakini wamekufa!! Wamechanja chanjo mbili acha hii moja mnayodanganywa nayo kuwa itawalinda! Hawajalindwa na chanjo mbili wewe moja itakulinda? Kila siku kwa taarifa yako Marekani wanakufa kwa corona zaidi ya 1500!! Hao wote wamechanjwa!! Uingereza wametangaza kuchanja ya tatu kama booster maana mbili hazikufua dafu, wewe hiyo moja itakupeleka wapi?? Ukweli ni kwamba wewe si mjinga bali mpumbavu!!Mungu kakupa akili ya kutumia na hekima ya kumwabudu.
Kufa kwa ujinga wako kwa kujitakia hakumtukuzi Mungu.
This is a
This is a blasphemy you are going to pay for it dearly in Jesus Name.
Mkuu una boga juu ya mabega!Pole kwa kujitoa ufahamu!! Huko kwa mabeberu walikochanja sana ndiko wamekufa sana!! Tuseme wamekufa kwa akili zao basi, lakini wamekufa!! Wamechanja chanjo mbili acha hii moja mnayodanganywa nayo kuwa itawalinda! Hawajalindwa na chanjo mbili wewe moja itakulinda? Kila siku kwa taarifa yako Marekani wanakufa kwa corona zaidi ya 1500!! Hao wote wamechanjwa!! Uingereza wametangaza kuchanja ya tatu kama booster maana mbili hazikufua dafu, wewe hiyo moja itakupeleka wapi?? Ukweli ni kwamba wewe si mjinga bali mpumbavu!!
Ushahidi wa mazingira unaonesha Mungu ametujalia kuwa na herd immunity! Watanzania walio wengi hawavai kabiasa barakoa nikiwemo mimi!! Watanzania walio wengi wanajikuta kwenye misongamano mikubwa kama kwenye daladala bila barakoa, kwenye viwanja vya michezo bila barakoa, masokoni bila barakoa, kwenye mikusanyiko na mikesha ya mwenge bila barakoa!! Hao wachache wanaovaa barakoa hawazivai vizuri, muda mwingi barakoa imefunika kidevu!! Hii ilipelekea watanzania walio wengi kuambukizwa kwenye wimbi la kwanza na hapo ndipo jngu alipotuponya na kutupa herd immunity!!
Jagina hajaandika Biblia , Sorry
Mbona biblia imeandika haya pia ??
![]()
![]()
![]()