Huu ni ukweli ambao raia wengi wanaupuuza.
Isitoshe ukishaugua huwezi kuchanjwa, sana sana watatibu dalili tu na watakuchanja baadae kama utapona.
Sasa kama umeugua na Kupona siutakuwa umeshatengeneza Heard immunity(Kinga)
Ambayo ndio ukichanjwa wanakuwekea?
Sasa Umeugua say Mara 2 ukapona,
Wakikuchanja wanafanyaje tena?
Wakati unakuwa tayari una Kinga?