#COVID19 Hizi chanjo za Corona zinaenda kuondoa herd immunity tuliyoipata nchini

Mjinga ni wewe na subiri korona ikukombe
Hakuna hata kipya ulichotoa tokana na povu lako, ebu jiongeze basi utafuta tusi zuuuri lililo jipya chini ya jua angalau uonekane una akili miongoni mwa wenye akili....[emoji38]
 
Lisu alisema hawatahangaika kumtoa Mbowe, polisi wakitaka wakae nae na wamfanye watakalo!

Bawacha Leo wameandamana ubalozi wa USA kushinikiza Mbowe kuachiwa huru, ina maana wamempuuza Lissu?
Irrelevant. Kweli JF imeacha kuwa home of great thinkers
 

Uko Sahihi Mkuu
Ni Ukweli Usiopingika Kuwa 90% ya Population ya Tz haijachanjwa...
Humo ndani wamo wasomi wa Fani Mbali mbali! Na Viongozi wa Dini!
Watu wengi huwaamini Viongozi especially Magu alivyotangaza kipindi kile wave ya Kwanza though watu wakikufa ila Ikapita Ikaja Wave ya 2 Akatumia Mbinu zile zile za Asili na Maombi ikapita Ikaja ya 3 nk nk,
Sasa Kwa Kuwa watu waliaminishwa na Kiongozi wa Nchi waliemuamini,
Na Baadhi ya Viongozi wa Kipindi kile waliokiwepo wapo na sasa,
Nadhani Nasema Nadhani labda viongozi wangekanusha kwa Meneno yale yaliotokea kipindi kile ili watu wawaamini Nahisi sasa hivi watu hawawaamini ndio maana Kasi ya Uchanjaji iko ndogo,Labda wajitokeze wasema Jamanieee Kipindi kile tulikazimishwa tuu na Mkuu Ila Ukweli ni huu hapa,....
Ingawa watu watajiuliza Mbona Tulikuwa tunavuka kila wave na watu hawakuikotwa barabarani...?
Wayapatie majibu hayo!
Anyway
Unaweza na wewe kutoa maini kwanini Kasi ni ndogo na watu wengi wasomi tena wengine nadhani wanakuzidi usomi hawajachanjwa?
Wanasubiri nini?
 
Afrika kinachotuangusha ni kiburi cha kijinga na ukosefu wa elimu pana juu ya covid19. Kiburi cha kijinga kilianza na JPM mwenyewe aliyekuja na maana zenye kuwapotosha watu kuhusiana na ukubwa wa ugonjwa wenyewe.

Ukosefu wa elimu pana kuhusu covid19, ugonjwa umetoka nje ya nchi ni mgeni na mwaka jana karibu wote ulitumika kuusoma na kuufahamu vyema ugonjwa huu.

Kuchanjwa kuna faida kwa mhusika mwenyewe. Yapo mazingira ambayo yanatulazimisha tuwe kwenye hatari ya kuugua ugonjwa huu pasipo sisi kupenda.

Mimi nilichanja katikati ya mwaka huu na muda mfupi uliofuata nikaugua kiasi cha kulazimika kulazwa Mwaisela ndani ya ward ambayo ugonjwa wa covid19 ulikuwepo tena kwa wingi.

Nisingechanja pengine ningekuwa katika hatari kubwa ya kuambukizwa. Kwa hiyo hakuna cha usomi, ni ule uhalisia wa mambo ndio wenye kuonyesha kama chanjo ni muhimu au ni upotezaji wa muda.
 
Nisingechanja pengine ningekuwa katika hatari kubwa ya kuambukizwa. Kwa hiyo hakuna cha usomi, ni ule uhalisia wa mambo ndio wenye kuonyesha kama chanjo ni muhimu au ni upotezaji wa muda.
Huu ni ukweli ambao raia wengi wanaupuuza.

Isitoshe ukishaugua huwezi kuchanjwa, sana sana watatibu dalili tu na watakuchanja baadae kama utapona.
 
 
Herd immunity Tanzania tuliipata lini? Unaweza kutupa ushahidi huo?
Ushahidi wa mazingira unaonesha Mungu ametujalia kuwa na herd immunity! Watanzania walio wengi hawavai kabiasa barakoa nikiwemo mimi!! Watanzania walio wengi wanajikuta kwenye misongamano mikubwa kama kwenye daladala bila barakoa, kwenye viwanja vya michezo bila barakoa, masokoni bila barakoa, kwenye mikusanyiko na mikesha ya mwenge bila barakoa!! Hao wachache wanaovaa barakoa hawazivai vizuri, muda mwingi barakoa imefunika kidevu!! Hii ilipelekea watanzania walio wengi kuambukizwa kwenye wimbi la kwanza na hapo ndipo jngu alipotuponya na kutupa herd immunity!!
 
Hata definition ya herd immunity huijui
 
Mungu kakupa akili ya kutumia na hekima ya kumwabudu.
Kufa kwa ujinga wako kwa kujitakia hakumtukuzi Mungu.
Pole kwa kujitoa ufahamu!! Huko kwa mabeberu walikochanja sana ndiko wamekufa sana!! Tuseme wamekufa kwa akili zao basi, lakini wamekufa!! Wamechanja chanjo mbili acha hii moja mnayodanganywa nayo kuwa itawalinda! Hawajalindwa na chanjo mbili wewe moja itakulinda? Kila siku kwa taarifa yako Marekani wanakufa kwa corona zaidi ya 1500!! Hao wote wamechanjwa!! Uingereza wametangaza kuchanja ya tatu kama booster maana mbili hazikufua dafu, wewe hiyo moja itakupeleka wapi?? Ukweli ni kwamba wewe si mjinga bali mpumbavu!!
 
Mkuu una boga juu ya mabega!
 

Daah.. sina la kusema..mtaalamu wa mbinguni...kwa ushahidi wako wa kimazingira...
 
Jagina hajaandika Biblia , Sorry

Mbona biblia imeandika haya pia ??


Zaburi sura ya Kwanza.
Na hii mistari ya Neno la Mungu uliyoitumia hapa kwenye upotoshaji wako ikifafanuliwa utashangaa kufuru na kumdharau Mungu wa Mbinguni kuliko pita viwango vyote kwa hawa wapotoshaji. Mungu mwenyewe ashuhulike nao kwa mapenzi yake maana Neema na Rehema/ Huruma yake ni Kuu mno.

Kupoteza muda kufafanua haya Maandiko hapa ni ile Bwana Yesu aliyo iita kuchukua chakula cha watoto na kuwalisha MBWA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…