Zaburi sura ya Kwanza.
Na hii mistari ya Neno la Mungu uliyoitumia hapa kwenye upotoshaji wako ikifafanuliwa utashangaa kufuru na kumdharau Mungu wa Mbinguni kuliko pita viwango vyote kwa hawa wapotoshaji. Mungu mwenyewe ashuhulike nao kwa mapenzi yake maana Neema na Rehema/ Huruma yake ni Kuu mno.
Kupoteza muda kufafanua haya Maandiko hapa ni ile Bwana Yesu aliyo iita kuchukua chakula cha watoto na kuwalisha MBWA.