#COVID19 Hizi chanjo za Corona zinaenda kuondoa herd immunity tuliyoipata nchini

Una level gani ya elimu?
 
Mtu mzima unaamua kutunga uongo ili kuwaogopesha watu dhidi ya kitu chenye kuokoa maisha. Ni roho gani hiyo?
Sumu inawezaje kuokoa maisha wewe ngumbaru?

Ukishadungwa hayo machanjo yenye sumu yanaenda kuua kinga asili ya mwili.

Mwisho wake ni kufwaa tu au kuwa zombi.
 
Ninachosikitika ni kuwa hizi chanjo ambazo baadhi ya watu watazipa zitaenda kuua herd immunity ambayo watanzania wengi kama sio wote nchini tulikuwa tumeipata.
Acha propaganda....tuonyeshe huo utafiti unaoonyesha raia wa Tz walipata hiyo herd immunity.

Tutaendelea kuunga mkono juhudi za serikali kukabiliana na Uviko-19 hizi propaganda zenu wahafidhina hazitatuyumbisha.
 
We jamaa acha kuandika habari usizoweza kuthibitisha.
 
Mtu mzima unaamua kutunga uongo ili kuwaogopesha watu dhidi ya kitu chenye kuokoa maisha. Ni roho gani hiyo?
Hakuna anayewagopesha watu bali kinachotolewa ni elimu ya suala ambalo ni rejea!
 
Hizo chanjo zinaenda kuua kinga asili ya mfumo mzima wa upumuaji na hivyo kutengeneza jamii ya watu ambao hawana kinga ya asili dhidi ya magonjwa ya mfumo wa upumuaji (susceptible population), kiasi kwamba binadamu wataishi kwa kutegemea kuchanjwa kila baada ya miezi sita........hii imeshatokea kwa wazungu ambao hutakiwa kuchanjwa kuzuia mafua kila mwaka ili wasipate dalili mbaya pindi wanapoambukizwa mafua, muda utaongea......
 
Watu hamna ujuzi wa jinsi ugonjwa ulivyo mnaongea kutokana na maneno ya vijiwen, niko mkoan uku watu wanakufa sabna kwa dalili hizo za Covid wengi sana af unasema itatokea kali zaid, kwetu vijana haina shida ila kwa wazee unashauri iweje labda,
Hapo nahis ata ujui chanjo zinavyofanyaga kaz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…