#COVID19 Hizi chanjo za Corona zinaenda kuondoa herd immunity tuliyoipata nchini

Waliosomea wakianza kuchangia waanzie na kuweka vyeti vya taaluma yao? Hivi ndivyo akili yako inamaanisha.
Kama una swali uliza kama hujaelewa acha kuuliza taaluma
 
Hayati Anne Mughwira aliugua kupitia hiyohyo Heard Immunity akaja kuugua tena na kirusi kimeshabadilika na safari hii kikamchukua forever

Watu wenye umri mkubwa na wenye magonjwa sugu hata kama walishaugua covid huko nyuma waende kwenye chanjo

Heard Immunity ilishafeli huko Sweden na wameanza kudunga Chanjo Raia wao.
 

Una Point hapa Mkuu
Nimekuelewa vema...
Natamani msemakweli aje ajibu hii hoja
 
"Wachunguzi wanasema chimbuko la inayoitwa kwa kiingereza VARIANTS ni matokeo ya chanjo. Hata variants zinaibuka kutokana na aina ya chanjo zinazotolewa kwa watu wa eneo hilo"

Yaani we mtu mmoja hatari sana,inaonyesha hata basic biology imekupitia kushoto. Ivi unajua maana ya variants?? Sababu unaandika vitu kinyume mbele juu chini. Variant inatokea baada ya virus kukaa sehemu kwa mda mrefu, virus vina tabia ya kubadirika (mutate),mabadiriko kwenye 'genetic code' ya virus ndo unaleta new variant.

Sasa sielewi kwa nini huyo mtaalamu wako kasema chanjo ndo zinaleta variant,huyo atakuwa babu wa loliondo sio mwenye taaluma yake.

Kwa nini watu mnaongopa kupita kiasi just to make a point,mnaeneza maelezo yasiyo na ukweli wasojua wanaamini, mnahatarisha maisha ya watu.
.
 

Wewe virologist? Au chawa wa Lumumba tu?



Tunasubiri chanjo kwanza ndipo tuanze kuhangaika na nyie.

Hata jina moja moja kati ya waliokufa kwa upumbavu wenu tusiwasomee kweli?

Aaah wapi!
 

Kafie CHATO
 
Lisu alisema hawatahangaika kumtoa Mbowe, polisi wakitaka wakae nae na wamfanye watakalo!

Bawacha Leo wameandamana ubalozi wa USA kushinikiza Mbowe kuachiwa huru, ina maana wamempuuza Lisu?

We changu unahangaika sana na CHADEMA una mimba Yao?
 
Watu wanakufa wewe unaleta habari za kinga za makundi.

Kwanza umesoma PCB,CBG ama PCM?

Unaelewa molecular biology? Kaa utulie mzee.

Mbona husemi kama wote wakipata chanjo inakuwaje.

Kula dozi mzee tusije tukakupoteza member wetu humu jamvini.
 
Ninachosikitika ni kuwa hizi chanjo ambazo baadhi ya watu watazipa zitaenda kuua herd immunity ambayo watanzania wengi kama sio wote nchini tulikuwa tumeipata.



Mwandishi hajui anacho ongea vizuri. herd immunity hii ni kwa wale waliopata Corona na kupona lakini imeonyesha kukupa kinga kwa miezi miwili tu. Tumeshaona Mama Mwingira alipata Corona mara ya kwanza mwaka jana lakini kapata tena mwaka huu na kwasasa amefariki. Lakini virus wanazidi kupata nguvu kama ulipona haina maana virus akibadilika utapona tena.

Lakini swala lingine Chanjo ni njia mojawapo ya kupata immunity lakini tofauti na ile ya kuumwa mwili wako unakuwa salama. Unaweza kuumwa na kupona Corona lakini ikawa imekuachia matatizo mengine mengi kama ya moyo , figo na mapafu.
 
Lisu alisema hawatahangaika kumtoa Mbowe, polisi wakitaka wakae nae na wamfanye watakalo!

Bawacha Leo wameandamana ubalozi wa USA kushinikiza Mbowe kuachiwa huru, ina maana wamempuuza Lisu?

Kwahiyo ubalozi wa Marekani ni polisi?
 
Elimu wanayotupatia kwenye academic system yetu ndo imejawa sana na mambo hayo
 
Sumu inawezaje kuokoa maisha wewe ngumbaru?

Ukishadungwa hayo machanjo yenye sumu yanaenda kuua kinga asili ya mwili.

Mwisho wake ni kufwaa tu au kuwa zombi.
watu wanaokaa vijijin na kula vyakula vya asili mara nying huwa hawasumbuliw sana na magonjwa na ata wakisumbuliwa na magonjwa hasa kama haya jamii ya mafua huwa wanapona haraka sana ila sisi wa mjin mafua tunatafuta madawa na tunajikuta mara kwa mara tunaumwa so najaribu kurelate na hii.

- Mazao ambayo hayapigw dawa huwa yanakuwa mazur sana ila siku unapoanza tu kupiga insectcides or fungicides ndo tatizo inapoanza hapo unakuta mara kwa mara zao limevamiwa nayo najaribu tu kurelate...

#Take at your own risk.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…