Hizi coverage za Ikulu ndio zimekosa ushawishi hivi .? Watanzania 2 tu kwa zaidi ya saa 3 .?T

Ndugu

Kwamba coverage za Ikulu ndio zimekosa watazamaji mpaka kufikia Watanzania 2 kwa zaidi ya saa 3 .?

Inabidi msigwa afanye kitu, aanze kulipia viewers kama Harmoniza na Diamond walivyokuwa wanafanya

View attachment 3356694

Lucas Mwakuchambwa na Tlaatlah, choicr variable nao hawakuangalia? 😳
 
Ndugu

Kwamba coverage za Ikulu ndio zimekosa watazamaji mpaka kufikia Watanzania 2 kwa zaidi ya saa 3 .?

Inabidi msigwa afanye kitu, aanze kulipia viewers kama Harmoniza na Diamond walivyokuwa wanafanya

View attachment 3356694
Mjinga wewe TBC ilikuwa live television
Wewe ndio mjinga kama uliamua kwenda youtube kupoteza bure bando lako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…