Mjinga huyo television zilikuwa zinaonyesha live.Watu walitizama tV sio kwenye yputubeTuletee viewers wa vyombo vingine vya habari
Hii ni fursa ,watu wa ikulu wanifuate inbox nitahakikisha wanapata live views minimum 65,000 kila waki streamNdugu
Kwamba coverage za Ikulu ndio zimekosa watazamaji mpaka kufikia Watanzania 2 kwa zaidi ya saa 3 .?
Inabidi msigwa afanye kitu, aanze kulipia viewers kama Harmoniza na Diamond walivyokuwa wanafanya
View attachment 3356694
hiyo inasaidia nini kwa mfano gentleman, hali ya kua mamilioni ya waTanzania wapo makazini na kwenye baishara wanapiga kazi kwa bidii TV's na radios zikiwa live nchi nzima?🐒Ndugu
Kwamba coverage za Ikulu ndio zimekosa watazamaji mpaka kufikia Watanzania 2 kwa zaidi ya saa 3 .?
Inabidi msigwa afanye kitu, aanze kulipia viewers kama Harmoniza na Diamond walivyokuwa wanafanya
View attachment 3356694
Tukio likirushwa hewani kwenye television za kawaidaHii ni fursa ,watu wa ikulu wanifuate inbox nitahakikisha wanapata live views minimum 65,000 kila waki stream
Watu wameichoka hii serikali isiyojali......so raia hawajali tena mambo wanayofanya viongoziNdugu
Kwamba coverage za Ikulu ndio zimekosa watazamaji mpaka kufikia Watanzania 2 kwa zaidi ya saa 3 .?
Inabidi msigwa afanye kitu, aanze kulipia viewers kama Harmoniza na Diamond walivyokuwa wanafanya
View attachment 3356694
mamilioni ya wananchi wachapa kazi hodari nchi nzima, wakiwa makazini na kwenye biashara zao huku radio station na tvs zao zikiwa live, wanafuatilia mambo ya kitaifa bila wasi wasi wowote gentleman 🐒Lucas Mwashambwa na Tlaatlaah wakiangalia basi inatosha. Au nasema uwongo gentlemen? 😂
TV haina records ila youtube ina records na statistics amka kijanaTukio likirushwa hewani kwenye television za kawaida
Watu huwa hawaangalii youtube wanaangalia TV ujue hilo hata kama liko streamed
Ni fedhaha
Sasa wengi walikuwa TV nikiwemo mimiTV haina records ila youtube ina records na statistics amka kijana
😄😄CCM wana wakati mgumu haujawai kutokea hapo kabla
Wamepoteza mvuto, wamechokwa, wanatumia nguvu kubwa kutawala
Wewe utakuwa ni meneja wa TBC mbona umepanic hivyo?Mjinga wewe TBC ilikuwa live television
Wewe ndio mjinga kama uliamua kwenda youtube kupoteza bure bando lako
Ndugu yangu unafanya kazi wapi ? Maana unaongea kama mtu anayeshinda kijiweni. Unapo stream youtube unafanya ili uone uhalisia wa impact ya kurusha matangazo live. Nimeshasema huko juuSasa wengi walikuwa TV nikiwemo mimi
Walutheri mamilioni wa Tanzania wenye tukio lao walikuwa wakiangalia Tv
Youtube wakaangalie nini wakati tukio liko live TV tumia akili kidogo
Huko youtube wataangalia wale ambao hawakuangalia TV