GIAN JUNIOR
Member
- Mar 9, 2011
- 49
- 55
Mimi hata taarifa ya habari nimeacha kuangaliaTutaangalia taarifa ya habari saa 2
Mimi hata taarifa ya habari nimeacha kuangaliaTutaangalia taarifa ya habari saa 2
Hatari sana... Kwahiyo hao wawili ni Lucas na mkewe sio😅😅😅Hata wafanyakazi wa ikulu wamegoma
wale chawa na wana ccm nao wamegoma
Hawa ndio wale "tupo nyuma yako Mheshimiwa" halafu ukigeuka nyuma huoni mtu.Lucas Mwakuchambwa na Tlaatlah, choicr variable nao hawakuangalia? 😳
Kwani wewe ukitoa hoja ikawa na coverage milioni kumi inapata faida gani?Ndugu
Kwamba coverage za Ikulu ndio zimekosa watazamaji mpaka kufikia Watanzania 2 kwa zaidi ya saa 3 .?
Inabidi msigwa afanye kitu, aanze kulipia viewers kama Harmoniza na Diamond walivyokuwa wanafanya
View attachment 3356694
MusigwaMaajabu hizo 2 views zinatoka kwa lucas mwashambwa na admin wa hiyo account..