Hizi coverage za Ikulu ndio zimekosa ushawishi hivi .? Watanzania 2 tu kwa zaidi ya saa 3 .?T

Ndugu

Kwamba coverage za Ikulu ndio zimekosa watazamaji mpaka kufikia Watanzania 2 kwa zaidi ya saa 3 .?

Inabidi msigwa afanye kitu, aanze kulipia viewers kama Harmoniza na Diamond walivyokuwa wanafanya

View attachment 3356694
hiyo inasaidia nini kwa mfano gentleman, hali ya kua mamilioni ya waTanzania wapo makazini na kwenye baishara wanapiga kazi kwa bidii TV's na radios zikiwa live nchi nzima?🐒
 
Hii ni fursa ,watu wa ikulu wanifuate inbox nitahakikisha wanapata live views minimum 65,000 kila waki stream
Tukio likirushwa hewani kwenye television za kawaida

Watu huwa hawaangalii youtube wanaangalia TV ujue hilo hata kama liko streamed
 
Tukio likirushwa hewani kwenye television za kawaida

Watu huwa hawaangalii youtube wanaangalia TV ujue hilo hata kama liko streamed
TV haina records ila youtube ina records na statistics amka kijana
 
TV haina records ila youtube ina records na statistics amka kijana
Sasa wengi walikuwa TV nikiwemo mimi
Walutheri mamilioni wa Tanzania wenye tukio lao walikuwa wakiangalia Tv

Youtube wakaangalie nini wakati tukio liko live TV tumia akili kidogo

Huko youtube wataangalia wale ambao hawakuangalia TV
 
Siku hizi wanapuuzwa sana kila mtu keshashtukia maigizo yao.
 
Sasa wengi walikuwa TV nikiwemo mimi
Walutheri mamilioni wa Tanzania wenye tukio lao walikuwa wakiangalia Tv

Youtube wakaangalie nini wakati tukio liko live TV tumia akili kidogo

Huko youtube wataangalia wale ambao hawakuangalia TV
Ndugu yangu unafanya kazi wapi ? Maana unaongea kama mtu anayeshinda kijiweni. Unapo stream youtube unafanya ili uone uhalisia wa impact ya kurusha matangazo live. Nimeshasema huko juu
TV haina records ila youtube ina records na statistics
Kwenye TV hawawezi kujua impact ya kurusha matangazo na hivyo kushindwa kujua how their strategies worked. Na kutumia youtube ni kuongeza scope of impact.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…